Nilicheka sana nilipoona vituko vya handshakeee
Baada ya kuungana mzee wetu aka Baba akaenda mkutanoni leo.
kufika babaaaaa anataka kuanza kuongeaaa baba kuhamaki akashtukiaa kundizima la mkutano linamzomeaa toka shujaa shukaa tokaa mbariki wewee. Baba akasita kuendelea akajua wakitulia...
Rais William Ruto ametangaza kuwa atashirikiana na Waziri Mkuu wa zamani, Raila Odinga, ili kufanikisha ajenda za maendeleo za serikali.
Akimpokea Raila Odinga katika Ikulu ya Mombasa siku ya Jumatatu, baada ya kushindwa kwenye kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC), Rais...
Niwapongeze sana wapiga kura wote walioshiriki kumkataa huyu bwana uchaguzi wa AU, Wengi walijiaminisha baba anakuwa mwenyekiti Ruto akamwingiza chaka eac wamejipanga na atashinda.
Haha baadhi ya mambo yaliyomfanya asishinde ni
1.Nchi yake kuruhusu ofisi za RFS za waasi kuwepo huko kenya
Src...
Cornelius K. Ronoh
@itskipronoh
It’s confirmed: President Mama Samia Suluhu Hassan and Paul Kagame voted for Mahmoud Ali Youssouf. Interests come first, not neighborhood or friendship.
GENTAMYCINE siongezi kitu wala sipunguzi kitu ila Raila Odinga Yeye ajue tu kuwa Waafrika UNAFIKI ni TUNU...
Waziri wa Mambo ya nje wa Djibouti Mahamoud Ali Youssouf ameshinda nafasi ya Uenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika maarufu (AUC).
Katika Uchaguzi ambao ulikuwa nchini Ethiopia Mahamoud alishinda dhidi ya Raila Odinga ambaye alikuwa mwakilishi pekee kutoka Afrika Mashariki
Raila alishinda...
Mabadiliko na pumzi mpya inatarajiwa wakati wowote tangua waziri mkuu wa zama ni wa kenya Raila Odinga atakapotua Kenya. Matarajio na matumaini yalikua makubwa mno na ya kiwango cha juu sana kwamba kiongozi huyo wa upinzani Kenya angeshinda nafasi ya kua mwenyekiti wa Kamisheni ya Umaoja wa...
Ndugu zangu uchaguzi wa Mwenyekiti wa AU unafanyika siku ya Jumamosi na wagombea wa kiti hicho wanatoka nchi za Kenya, Madagascar na Djibouti. Mgombea kutoka Kenya ni Mhe. Raila Amol;o Odinga ambaye pia anatoka Afrika Mashariki.
Tumwombee Ndugu Raila aweze kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti , Kwanza...
Wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) watapiga kura jumamosi kumchagua mwenyekiti wa Commission hii. Kwa wanaojua alivyosaliti mapinduzi yaliyolenga kumuondoa mwizi Ruto, Raila anakashifiwa na wakenya kwa kuwa msaliti na nyemelezi mkubwa. Tumuombee ashindwe ili ima kiumane au tuone atakwenda wapi baada...
Kinara wa upinzani Raila Odinga amekiri kuwa hajapeana mkono 'handshake' yoyote na rais William Ruto. Katika mahojiano, alisema; "Sijakuwa na handshake yoyote na Ruto kwa sababu hatujakubaliana kimaandishi."
Mgombea huyo wa uenyekiti wa muungano wa mataifa ya Afrika (AU) aliendelea kusema kuwa...
Raial Odinga amkeuwa kiongozi wa chama chake miaka na miaka na hadi juzi kamkabidhi Gava wa Kisumu ili aongoze ODM kwa sababu yeye anagomvania cgeo kule AU, kumbuka cheo cha Raial hakigombaniwi hakipigiwi kura. Sasa sipati picha ingekuwa ndio Tanzania.
Sasa basi Raial mbali ya kuwa kwenye...
Wakati uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika Au Chairman Ukiwa umekaribia,joto linazidi kupanda.
Wagombea Wakuu ni Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani wa Djibouti Mahamoud Ali Yousouf na Raila Odinga wa Kenya ambae Aliwahi kuwa Waziri na Kinara wa vurugu za Kila mara za uchaguzi...
Raila Odinga ametoka kwenye uongozi wa chama cha ODM naona
ni maandalizi ya kwenda AU hapo February 2025.
Je ikitokea amekosa uenyikiti wa AU atarudi kwenye nafasi yake ya
Kiongozi wa ODM au atabaki kama mshauri na mzee wa chama ?
Salamu kwenu watu wa Sayansi ya Siasa.
I listened to the analysis by this gentleman and I seem to agree with him that Raisa will lose again, and this must come out as a terrible frustrating blow to him.
https://www.youtube.com/watch?v=5Cx69oaGrlI
Katika Dunia ambapo ushirikiano wa kimataifa unazidi kuongozwa na maslahi ya kijiografia na kiuchumi, Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amejitokeza kama mwangaza wa Uzalendo wa Afrika.
Akiwa Kiongozi pekee wa Kike wa Nchi na Serikali barani, uongozi wake siyo tu ishara ya ushirikishwaji wa...
Rais Samia amesema Tanzania inamuunga mkono Raila Odinga kama Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya AU
Rais Samia amesema Watanzania wanasema " baba anatosha"
Soma Pia: Rais Samia kwenda Kenya kushiriki katika Hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Raila Odinga
Source Citizen TV
Wakuu, hivi hii ziara ina manufaa gani kwetu kama nchi? Rais kabisa unakwenda kwenye ufunguzi wa kampeni? Tunajua uchaguzi wetu Mkuu ni mwakani tu hapo, ndio naye anatafuta uungwaji mkono kwenye kampeni yake? Mambo yatakuwa yanatokota huko. Wacha tuone itakuwaje. Lucas Mwashambwa...
hii ni kutokana na namna alivyofanikiwa kushughulikia na kuzima hasira za vijana wa gen z na kuwanyakua baadhi waandamizi machachari wa Raila Odinga na kuwapa kazi ndani ya serikali yake ya muungano wa Kenya Kwanza, huku nje akiwaacha viongozi wa upinzani ambao ni dhaifu, wepesi na wasio na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.