raila odinga

  1. U

    Binti wa Raila Odinga, Rosemary ni mfano wa kuigwa

    Rosemary ni Binti mkubwa wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mhesh Raila Odinga Ni mfano wa kuigwa kwa namna anavyojishughulisha kiuchumi bila kujali nafasi kubwa ya Babake anayeongoza kwa kura za maoni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Kenya Agosti 2022. Hongera Kwake
  2. JanguKamaJangu

    Kenya 2022 Raila Odinga amzidi William Ruto kwa umaarufu kuelekea uchaguzi mkuu

    Umaarufu wa Mgombea Urais Nchini Kenya anayewakilisha Azimio la Umoja One Kenya, Raila Odinga, umeongezeka mara baada ya kumchagua Martha Karua kuwa mgombea Mwenza. Odinga amepata kura 39% wakati mpinzani wake katika uchaguzi huo William Ruto ambaye alimtaja Rigathi Gachagua kuwa Mgombea...
  3. Chachu Ombara

    Kenya 2022 Raila Odinga Names His 'Dream Team'

    Azimio La Umoja coalition leader Raila Odinga has announced a list of nominees who will be part of his Cabinet if he ascends into power in the August General Election. He was speaking on Monday at the Kenyatta International Conference Center (KICC) as he unveiled his presidential running mate...
  4. Chachu Ombara

    Kenya 2022 Martha Karua ateuliwa kuwa mgombea mwenza wa Raila Odinga

    Akizungumza katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Kenyatta, Bw Odinga alimsifu Bi Karua kwa bidii na rekodi yake ya haki za binadamu. "Nilimhitaji Joshua wa kweli kwenye kando yangu, ambaye hatakuwa koti la ziada. Baada ya kutafuta na kutafakari, pamoja na mashauriano, nimefikia uamuzi...
  5. Feld Marshal Tantawi

    Kenya 2022 Kati ya Raila Odinga na William Ruto - nani yuko juu hadi sasa?

    Mwaka huu kenya moto utawaka moto kati ya wapinzan wawil wakubwa Luto na Odinga huku Odinga akiungwa mkono na Rais aliepo madarakani. Kinachonogesha siasa za safar hii ni kitendo cha rais na makamu wake kutofautiana hadharan na kila mtu kuamua kufata njia yake Najua mlimpo kenya mna wakat mgum...
  6. J

    Kwa kauli hii Raila Odinga ataiharibu Kenya kama Magufuli alivyoharibu Tz

    Eti kuna mtu kakamatwa anaiba chakula, na kushtakiwa kwa mujibu wa sheria zao Jamaa anaamrisha mtu huyo aachiwe haraka kisa eti kuna wanasisa wezi wapo free mtaani Njia sahihi nafikiri ingekuwa kumlipia faini asifungwe na kama kuna haja ya kurekebisha sheria aahidi kufanya hivyo akiingia...
  7. Kifurukutu

    Raila Odinga apigwa mawe huko kenya, Ruto kuchukua nchi

    Hakika Kenya haiko na unafiki! Raila hatakiwi na wakenya mpaka wameamua kumpiga mawe kwamba hawamtaki Hii inaonesha dhahiri kwamba Ruto anaenda kujichukulia kiti cha urais kiulaini
  8. The Sheriff

    Kenya 2022 Kalonzo's tough new terms for Raila deal

    Kalonzo's tough new terms for Raila deal The Wiper boss is reportedly pushing for a raft of demands, including allowing One Kenya Alliance to negotiate as a team with Azimio. This comes amid the possibility of deal between Kalonzo Musyoka and Raila Odinga. At the centre of Kalonzo’s demands...
  9. The Sheriff

    Kenya 2022 Jimmy Kibaki: We'll follow Uhuru’s advice to support Raila

    Jimmy Kibaki has hinted at supporting ODM leader Raila Odinga’s presidential bid in the upcoming poll. In short statement sent out soon after President Uhuru Kenyatta rallied Mt Kenya residents to back Raila’s presidency, Jimmy said they would follow the President’s advice. “We have listened...
  10. The Palm Tree

    Kenya 2022 Siasa za Kenya: Rais Uhuru Kenyatta atangaza rasmi kumuunga mkono Raila Odinga uchaguzi mkuu, August - 2022

    Ni ajabu na kweli... Na kwa wafuatiliaji wa siasa zà Kenya, hivi Kenyatta na Odinga wanatokea chama kimoja cha siasa au ni wanachama wa vyama tofauti...? Anyway, vyovyote iwavyo. Ila iko hivi; Kwamba, kwa mujibu wa taarifa ya habari ya leo saa 2 usiku huu ya ITV - Tanzania, Uhuru Kenyatta...
  11. The Sheriff

    Kenya 2022 Raila Odinga awaonya Wakenya dhidi ya kumchagua Ruto, amuita "Mr Promise"

    Kinara wa ODM Raila Odinga na kikosi chake cha Azimio wamewaonya Wakenya dhidi ya kumchagua Naibu Rais William Ruto. Waziri Mkuu huyo wa zamani alimtaja Ruto kuwa ni ‘Bw Promise’ ambaye anatumia ahadi ‘tupu’ kuwashawishi wapiga kura, na kukataa ahadi hizo baada ya kuingia madarakani. "Yote...
  12. Chachu Ombara

    Kenya 2022 Raila Odinga atoa wimbo wakati kampeni za uchaguzi zikishika kasi

    Magombea Urais nchini Kenya, Raila Odinga ametoa video ya wimbo alioshirikishwa, wakati kampeni za uchaguzi nchini humo zikishika kasi. Odinga ambaye ndiye mpinzani mkuu kwenye uchaguzi huo ametoa video hiyo ya wimbo unaokwenda kwa jina la Leo ni Leo (Remix).
  13. Poker

    Happy birthday baba Raila Odinga

    Mataga mjifunze kupitia siasa za kenya!
  14. J

    Chato ni Wilaya pekee nje ya Dar iliyotembelewa na Marais na Viongozi mashuhuri wa dunia, ni halali kuifanya mkoa sasa

    Marais waliowahi kuitembelea Chato ni pamoja na yule wa Ethiopia, Uganda, Rwanda, Kenya, Msumbiji, Sudan kusini, Burundi na Zanzibar. Viongozi wengine wa kidunia ni pamoja na Waziri wa mambo ya nje wa China na Raila Odinga wa Kenya. Pia mh Tundu Lisu kutokea Ubelgiji ambaye alikuja kugombea...
  15. U

    Ikulu Dar es Salaam: Rais Samia akutana na Raila Odinga

    Ikulu ya Magogoni leo Mchana Rais Samia Suluhu Hassani leo Jumatano Agosti 25 amefanya mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Kenya Mheshimiwa Raila Odinga
  16. Jumbe Brown

    Uchaguzi Mkuu August 2022: Je, ni zamu ya Raila Amollo Odinga?

    Maisha ni safari ndefu sana "Never say never" Hatimaye vingunge wawili nchini Kenya Mh. Rais Uhuru Kenyatta na mtunduizi RAO (Raila Amollo Odinga) wanakutana huko PWANI kupanga mipango ya kwenda pamoja uchaguzi mkuu ujao. Ni mipango ya kutengeneza mwamvuli utakaokuwa na vyama vya JUBILEE na...
  17. Suley2019

    Raila Odinga anusurika Kwenye ajali ya Chopa Kisumu

    Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga yuko salama kufuatia ajali ya Chopa iliyotokea katika Kaunti ya Siaya Jumapili jioni. Chopa hiyo ilikuwa imemsafirisha kutoka Kisumu hadi Gem katika Kaunti ya Siaya ilipoanguka. Taarifa kutoka kwa Msemaji wake Dennis Onyango ilisema Chopa ilianguka...
Back
Top Bottom