raila odinga

  1. TODAYS

    Dunia haina usawa, Miguna Miguna kaamua kulianzisha dhidi ya Raila Odinga

    Huyu jamaa kama mnakumbukumbu ndiye aliyemwapisha aliyekuwa jamaa yake wakati huo ndugu Raila Odinga baada ya uchaguzi uliompatia ushindi Rais mstaafu Uhuru Kenyatta. Jamaa baada ya kuona mambo magumu alikimbilia uhamishoni Canada. Katika hali isiyokuwa ya kawaida jana amempiga na kitu kizito...
  2. BARD AI

    Kenya: Mlinzi wa mke wa Raila Odinga auawa kwa kupigwa risasi

    Mlinzi huyo aliyefahamika kwa jina la Barrack Jaraha ameuawa leo Ijumaa Oktoba 14, 2022 nyumbani kwake huko Riat, Kaunti Ndogo ya Kisumu saa 11 alfajiri. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Nyanza, Karanja Muiruri amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, akisema uchunguzi unaendelea ili kubaini sababu za...
  3. BARD AI

    Raila Odinga: Nimekubali matokeo kuepusha umwagaji Damu na kushitakiwa ICC

    Ni takriban wiki mbili zimepita Tangu Rais William Ruto aidhinishwe na Mahakama ya Juu kuwa Rais Mteule na kuapishwa kuwa Rais wa 5, Raila Odinga ametoka hadharani na kusema hofu ya kifo na machafuko imefanya akubali kushindwa Urais. Odinga aliyegombea Urais mara 5 na kupoteza mara zote amesema...
  4. BARD AI

    Mfalme wa Marathon! Rais Ruto na Raila Odinga wampongeza Eliud Kipchoge

    Mshindi mara mbili wa Olimpiki, Mkenya Eliud Kipchoge, ameshinda kwa kuvunja rekodi yake mwenyewe na kuweka rekodi mpya ya dunia katika mbio za Berlin marathon Jumapili. Akivuka mstari ndani ya saa mbili tu, dakika moja na sekunde tisa aliwahi kwa sekunde 30 kutoka kwenye rekodi yake ya awali...
  5. BARD AI

    Mfalme wa Marathon! Rais Ruto na Raila Odinga wampongeza Eliud Kipchoge

    Bingwa wa mbio za Marathon za Olimpiki mara mbili Eliud Kipchoge ameshinda mbio za Berlin Marathon kwa kuweka rekodi mpya. Kipchoge alishinda mbio hizo kwa kukimbia saa 2:01:09 katika mbio za maili 26.2. Ameshinda rekodi yake ya Dunia kwa tofauti ya sekunde 30 dhidi ya Mark Korir aliyeibuka wa...
  6. BARD AI

    Raila Odinga: Nilikwenda Zanzibar kuondoa mshtuko wa kupoteza Uchaguzi

    Aliyekuwa Mgombea Urais wa Azimio la Umoja Raila Odinga alieleza kwamba alisafiri kwenda Zanzibar pamoja na familia yake yote ili kupata nafuu baada ya kushindwa Uchaguzi wa Agosti 9, 2022. Waziri Mkuu huyo wa zamani alibainisha kuwa safari ya nje ya nchi ilikuwa muhimu kuwezesha familia yake...
  7. J

    Aisee kumbe Mawakili wa Raila Odinga ni vilaza kiasi hiki?

    Kuna wakili wa Odinga anaitwa Julie Soweto, huyu wakili tangia siku ya kwanza ya kesi alikuwa akitoa data za hatari bila woga ambapo kwa mtu wa kawaida ukimsikiliza bila ku fact check madai yake basi utaamini uchaguzi uliibiwa waziwazi Leo tena huyu wakili kaja na kituko kingine, kwenye...
  8. BARD AI

    Kenya 2022 Tume ya Uchaguzi IEBC yamshutumu Raila Odinga kughushi nyaraka za ushahidi

    Wakili wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Mahat Somane, amesema kiongozi wa Azimio, Raila Odinga ameghushi nyaraka za ushahidi alizowasilisha mbele ya Mahakama Kuu katika ombi lake la Kupinga Matokeo ya Urais Katika mawasilisho yake leo Septemba 1,2022 Wakili Somane aliitaka Mahakama Kuu...
  9. J

    Kenya 2022 Jaji amuumbua Raila Odinga kwa swali gumu

    Kwa mnaofuatilia mnakumbuka wale makamishna 4 wa IEBC walivyotoka saa ya mwisho matokeo yakitaka kutangazwa na kusema hawayatambui Jaji anawauliza mawakili wa Odinga kwa nini muda wote walikuwepo na kuonekana kusoma matokeo kwenye Tv ila baada ya kuona Raila anashindwa wakasema hawayatambui?
  10. BARD AI

    Kenya 2022 Maswali na Majibu yote kutoka Mahakama Kuu kuhusu Pingamizi la Matokeo ya Urais

    Githu Muigai: Waangalizi wote walirudi na hitimisho moja. Huu ulikuwa uchaguzi wa wazi na wazi. Githu Muigai: Ningekuhimiza uwaulize mawakili ikiwa wanafurahia uchaguzi wao wenyewe. Ikiwa wamefurahi, basi inakuwaje uchaguzi huu una dosari? Githu Muigai: Katika mahakama hii, kuna magavana...
  11. Lady Whistledown

    Kenya 2022 Raila Odinga kukagua Server za Tume ya Uchaguzi leo

    Mahakama ya Juu imeamuru Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) iruhusu Azimio la Umoja kufikia seva zinazotumiwa kutuma matokeo katika Kituo cha Kitaifa cha Kujumlisha Kura ikiwa ni pamoja na kutoa nenosiri la usimamizi wa mfumo Zoezi hilo limeratibiwa kufanyika leo, Jumatano, Agosti 31...
  12. Lady Whistledown

    Kenya 2022 Raila Odinga aahidi kuheshimu uamuzi wa Mahakama juu ya Matokeo ya Urais

    Raila Odinga amesema ana ushahidi thabiti kwamba alishinda katika kura za Urais na ana imani kwamba Mahakama ya Juu itakubali ombi lake la kutengua matokeo ya uchaguzi wa Agosti 9, ambapo William Ruto alitangazwa Mshindi kwa Kura 50.5% dhidi ya 48.8% Ameongeza kuwa ataheshimu matokeo ya uamuzi...
  13. BARD AI

    Kenya: Mwanasheria Mkuu asema hapingani na Pingamizi la Raila Odinga

    Paul Kihara Kariuki amewasilisha andiko hilo Mahakama Kuu akionesha kwamba hatosimama kupinga na maombi 8 ya Pingamizi lililowekwa na Raila Odinga la kutaka kubatilishwa Matokeo wa Urais. Wakili Mkuu, Kennedy Ogeto, akizungumza kwa niaba ya Mwanasheria Mkuu, alithibitisha hatua hiyo katika...
  14. Mganguzi

    Kenya 2022 Kushindwa Kwa Raila Odinga ni pigo kubwa kwa Kenyatta, labda Mahakama itamnusuru na aibu

    Huyu jamaa kwa sasa usingizi wake ni mbaya, siku zote aliyemadarakani ndie hulalamikiwa Kwa kuiba kura lakini Kwa Kenya imekuwa tofauti aliyepo madarakani ndie analalamika kuibiwa. Kama ruto ataapishwa na kuwa Rais wa Kenya ,basi ujue ati uhuru atajipata mpweke sana. Na sio tu kuwa mpweke Bali...
  15. M

    Kenya 2022 Raila Odinga anatapatapa: Ameibuka na hoja tofauti, sasa anadai Ruto hakufikisha kura 50% + 1

    Ruto did not attain 50+1 threshold, Azimio says in court papers! Matokeo ni haya hapa: Last updated: 15/08/2022, 18:59:28 local time (GMT+3) Final results from IEBC Candidates Vote William Ruto 50% 50.5% 7,176,141 Raila Odinga 48.8% 6,942,930 Other Candidates 0.6% 93,956...
  16. BARD AI

    Haya hapa Mambo 14 anayotaka Raila Odinga kwenye Pingamizi la Urais

    Mgombea Urais wa Muungano wa Azimio la Umoja One Raila Odinga na Mgombea Mwenza Martha Karua leo Agosti 22, 2022 waliwasilisha ombi katika Mahakama ya Juu, wakitaka kupinga matokeo ya Uchaguzi wa Urais wa 2022. Katika ombi lao, Raila Odinga (mlalamikaji wa kwanza) na Martha Karua (mlalamikaji...
  17. BARD AI

    Kenya 2022 Kinachofuata baada ya Raila Odinga kufungua Pingamizi la Urais

    Ndani ya saa 24 baada ya jibu la ombi kuwasilishwa, kiambatanisho kitawasilishwa na kutolewa uamuzi, ambapo upande wa Mawakili wa Rais Mteule William Ruto utakuwa na siku 4 kuwasilisha na kutoa majibu kufuatia ombi hilo. Mkutano wa kabla ya kesi utafanyika ndani ya Mahakama Kuu kwa siku 8...
  18. 666 chata

    Kenya 2022 Raila Odinga afungua kesi Mahakama ya Juu Kupinga matokeo ya Urais

    Akiongea na vituo vya KTN na Al Jazeera, mwanasheria wa kambi ya Odinga, Wakili Daniel Maanzo, amesema tayari leo asubuhi wamekwisha fungua kesi ktk Mahakama ya Juu 'Supreme Court' kwa njia ya ki electronic, na wapinzani wao, tume ya uchaguzi pamoja na bw. Ruto mwenyewe wana siku 4 za kujibu...
  19. BARD AI

    Kenya 2022 Raila Odinga kuwasilisha Mahakama Kuu Pingamizi la Matokeo ya Urais leo

    Aliyekuwa Mgombea wa Urais kupitia Azimio La Umoja One, Raila Odinga leo anatarajia kuwasilisha Pingamizi la Matokeo ya Urais yaliyotangzwa na Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC) na kumpa ushindi William Ruto Odinga akiwa na Mgombea Mwenza Martha Karua, na Kiongozi wa Wiper Party Kalonzo Musyoka...
  20. BARD AI

    Kenya 2022 Raila Odinga: Tulieni, tunafungua kesi kupinga Matokeo ya Urais

    Raila Odinga amewataka wafuasi wake kuwa na amani wakati chama hicho kikijiandaa kuwasilisha Mahakama Kuu ombi la kupinga matokeo ya Uchaguzi wa Urais uliofanyika Agosti 9 Akizungumza kwenye makazi yake huko Karen leo baada ya kutembelewa na viongozi wa kidini, Odinga ameshikilia msimamo wake...
Back
Top Bottom