Raila is a part of Kibera slum in Nairobi. Other parts of Kibera include Laini Saba, Lindi, Makina, Kianda, Gatwekera, Soweto East, Kichinjio, Kisumu Ndogo, Makongeni and Mashimoni.
Maandamano hayo ni wito wa Kiongozi huyo wa Upinzani kutoka Muungano wa Azimio kuelekea Jijini Nairobi yakiwa na lengo la kupinga gharama kubwa za maisha na Utawala wa Rais Ruto.
Pia, Raila Odinga ameanzisha kampeni ya kukusanya Saini Milioni 10 za wananchi ili kupata uungwaji mkono wa...
Kupitia ujumbe uliochapishwa na Dennis Itumbi, alikuwa Kampeni Meneja wa Rais William Ruto, amesema taarifa za Kiintelijensia kutoka kwa Maafisa wa Hustler Nation Intelligence Bureua (HNIB) zimeeleza kuwa Rais Mtaafu Uhuru Kenyatta amefanya Kikao maalum cha SIRI nyumbani kwa kiongozi wa Upinzani...
Kiongozi huyo wa Muungano wa Vyama vya Upinzani kupitia Azimio la Umoja One Kenya, amesema wamefuta mazungumzo yote na Serikali baada ya Rais William Ruto kusaini Sheria ya Fedha inayolalamikiwa na wananchi wengi.
Amesema wanarejea katika kampeni za kuhamasisha migomo ya wananchi dhidi ya jambo...
Rais wa Kenya, William Ruto na Naibu wake, Rigathi Gachagua wakisalimiana kwa kupeana mkono na Kiongozi wa Azimio Raila Odinga wakati walipokutana kwenye msiba wa Mukami Kimathi ambaye alikuwa mke wa marehemu Dedan Kimathi ambaye alikuwa ni mpigania uhuru wakati wa Ukoloni.
Akiwa msibani hapo...
Kongozi wa Umoja wa Azimio, Raila Odinga amesema anachukua uamuzi huo dhidi ya Rais wa Kenya, William Ruto ambaye ameunda Kamati ya kuchukunguza miili 110 iliyofukuliwa katika eneo la #Shakahola lilipo katika Kanisa la Good News International Church, ambapo takribani Watu 320 wameripotiwa...
Raila Odinga ni mpigania haki nguli wa wakati wetu. Amaarufu GOAT, kama alivyotambuliwa Messi Qatar, 2023.
Maneno ya Odinga kwa wafuasi wake ni sheria.
Leo wako mapumziko, kujipanga na kuja na nguvu mpya na kasi mpya. Tukutane kesho Tahrir.
Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir...
Kiongozi huyo wa Upinzani unaoongozwa na Muungano wa Azimio la Umoja One, amesema maandamano ya kupinga Utawala wa Rais Ruto na Serikali yake yatafanyika leo Mei 2, 2023 licha ya Polisi kukataa kuwapa kibali.
Odinga amesema watawasilisha Pingamizi kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Agosti 2022, Malalamiko...
Kimeendelea kunuka Kenya. Hakuna anayekioanisha na ukabila isipokuwa kutokea Tanzania.
Leo Raila alikuwa kapigwa kalamu kufanya vitu vyake Murang'a Ukikuyuni huko.
Unamsimamisha vipi Tutu, Mandela, Nyerere au Seif kutokuitumia haki yake ya kikatiba?
Raila and Azimio leaders defy police...
Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua ametoa masharti hayo kwa Kiongozi wa Azimio La Umoja One Kenya, Raila Odinga na kusisitiza kuwa anatakiwa akiri hadharani kuwa anamtambua William Ruto kuwa ndiye Rais wa Kenya.
Amesema “Unazungumzaje na mtu ambaye hatambui utawala wako? Yeye ni nani hapa...
Akihutubia Taifa leo April 2, 2023, Rais #WilliamRuto amemtaka Odinga kuruhusu mchakato wa Majadiliano ya Wabunge wa pande zote kushughulikia madai ya Upinzani, ikiwemo uteuzi wa Makamishna wa Tume ya Uchaguzi (IEBC).
Pia, Ruto amevihakikishia #VyomboVyaHabari usalama baada ya kuwepo kwa...
Nadhani jirani zetu hawa wana jambo lao ambalo inaonekana ni tofauti na siasa.
Nilisema kama ni siasa basi wafungue server ila hawataki na hiki wanachotambiana kina nwisho mbaya.
DP Rigathi anasema ‘Jumatatu itakuwa siku ya mwisho’ kwa Odinga kufanya maonyesho nchini Kenya, anasema haitakuwa...
Kamanda wa Polisi wa Kaunti ya Kisumu, Alphonse Wambua amesema Koplo Ben Oduor, alikimbizwa katika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospitali ya Aga Khan saa 10 jioni na kufariki wakati akipata matibabu.
Afisa huyo kutoka katika Kituo cha Polisi cha Keroka katika Kaunti ya Nyamira...
Mwanasiasa mkongwe wa Kenya, Raila Odinga anasema kuwa polisi wa Tanzania wanapitia kwenye mafunzo ya kufundishwa utu kwa wananchi hata wakitaka kuja kukukamata lazima waombe Kwanza na wakikuta upo na kazi watakusubiri mpaka umalize ndipo wakuchukue.
Polisi wa Tanzania ni Kama wa ya Ulaya...
"Katikati ya lindi la yaliyotukuta Kagera, Mola atufanyie wepesi janga hili lituepuke."
Hata hivyo maisha lazima yaendelee.
Kutokea kwa majirani zetu:
Ilikuwa wiki yenye mengi kutokea Jumatatu iliyopita iliyoshuhudia kimbembe cha kufa mtu, pata shika nguo kuchanika.
Miamba miwili kila mtu...
VIONGOZI WA UPINZANI WAKAMATWA, RAIA APIGWA RISASI
Seneta wa Kilifi, Stewart Madzayo pamoja na Wabunge Amina Mnyazi na Ken Chonga, wanaripotiwa kushikiliwa na Polisi kwa kushiriki maandamano ya kuipinga Serikali katika Mji Mkuu, Nairobi
Hadi hivi sasa Raia kadhaa wanaripotiwa kushikiliwa huku...
Kimenuka! Kama Ampiclox vile doze kamili 2 x 1.
Kwa kinachoitwa kuitikia shinikizo la waliochoshwa na ya bwana Ruto, sasa Tahrir mara mbili kwa wiki.
Kwamba si Jumatatu peke yake ila rasmi na Alhamisi pia.
Mola amsimamie Raila Amolo Odinga kuendelea kutoa masomo ya uzalendo kwa pande za...
Kinachotokea 254 kwa sasa ni ishara na lama tosha ya kuonesha uimara wa upinzani nchini Kenya. Lakini uimara huu haukuja hivihivi , ulikuja kwa gharama, jasho na maumivu.
Raila licha ya ndoto zake za kuukwaa uraisi pamoja na kuwa anaongoza ngome yabupinzani yenye nguvu kabisa huko KE kuliko...
Yapo mengi ya kujifunza kwa nguli mpigania haki huyu:
1. Kutambua siasa ni sayansi yenye kubadilika kulingana na mazingira.
2. Hakuna rafiki wala adui wa kudumu bali agenda.
3. Maandamano yasiyo na ukomo ndiyo njia pekee ya kupata tunachohitaji na kwa wakati.
4. Hakuna nguvu iliyo kuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.