raila

Raila is a part of Kibera slum in Nairobi. Other parts of Kibera include Laini Saba, Lindi, Makina, Kianda, Gatwekera, Soweto East, Kichinjio, Kisumu Ndogo, Makongeni and Mashimoni.

View More On Wikipedia.org
  1. The Sheriff

    Kenya 2022 Raila Odinga akataa kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa Rais

    Aliyekuwa Mgombea wa Kiti cha Urais nchini Kenya na kiongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja, Raila Odinga anatarajiwa kuzungumza na Wakenya kupitia vyombo vya habari leo Jumanne, Agosti 16, 2022. Taarifa hiyo iliyotolewa na Dennis Onsarigo ambaye amekuwa msimamizi wa mawasiliano katika kampeni...
  2. M

    Tumwelewe Raila Odinga: Anachokifanya ni kujaribu kufunika aibu ya kushindwa katika mazingira aliyoandaliwa kushinda

    Aibu yake kubwa ni mbele ya Uhuru Kenyatta. Uhuru Kenyatta amembeba sana, serikali ya Kenyatta imembeba sana!! Ruto akapakwa matope hadharani na mkuu wa nchi kuwa hawezi na hana jipya maana alipewa nafasi ya kuwa makamu wa rais lakini hakufanya chochote!!. Ukizingatia kuwa Kenyatta yuko nyuma ya...
  3. chiembe

    Kenya 2022 Kilichomponza Raila ni urafiki na ufuasi wake wa sera za Hayati Magufuli, Chato Dynasty waangua kilio, walitarajia awape support 2025

    William Samoei Rutto ameshinda urais. Ushindi wake ni pigo kubwa kwa Chato Dynasty ambao walidhani kwamba Raila angeshinda, basi angetoa support kwa mtu ambaye angegombea urais kwa kundi la JPM hapa Tanzania. Nadhani mfumo nchini Kenya, baada ya kuona Raila yuko karibu sana na JPM, waliona...
  4. R

    Kenya 2022 Support ya Uhuru Kenyatta kwa Raila ilikuwa ni chenga ya mwili au?

    Habari wana JF, hivi ile support ya Uhuru kwa Raila ni siasa, chenga ya mwili kwa Raila? Kulingana na historia na siasa za Kenya, Uhuru alikuwa tayari Raila kuwa Mjaluo wa kwanza kuingia Ikulu au chenga tu?
  5. Roving Journalist

    Kenya 2022 IEBC: William Ruto ameshinda Urais kwa 50.4% dhidi ya 48.8% za Raila Odinga

    Tume ya Uchaguzi Huru na Mipaka (IEBC) imemtangaza aliyekuwa Naibu Rais, William Ruto (55) kuwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano kwa tiketi ya Chama cha UDA kufuatia Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 9, 2022 Tume imesema Ruto amepata Kura 7,176,141 sawa na asilimia 50.49 huku akifuatiwa na Raila...
  6. Nobunaga

    Kenya 2022 Raila Odinga agoma kushiriki hafla ya IEBC kutangaza matokeo ya Urais kabla hajayaona na kujiridhisha

    Raila Odinga kwa sasa ndiye anasubiriwa kwenye ukumbi wa IEBC yatakapotangazwa matokeo ya mshindi wa Urais kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Ikiwa Mgombea wa Kenya Kwanza Coalition, Willium Ruto ameshawasili zaidi ya saa moja iliyopita, hali ni tofauti kwa mpinzani wake mkuu Raila Odinga ambaye...
  7. Poppy Hatonn

    Kenya 2022 Raila Odinga ni chaguo la Mbinguni. Chebukatii amtangaze kuwa Rais

    Nilikuwa Kenya wakati ule, kulikuwa na kampeni na mimi nilikuwa Nairobi, nadhani just for a day and a night. Kulikuwa na some complaints kuhusu Raila, complaints in the media,na mimi nilikuwa very dejected,natafakari hayo mambo as I was falling asleep. Nilikuwa katika guest house. Nikaamka...
  8. BARD AI

    Kenya 2022 Raila Odinga apindua matokeo mchana huu Ruto aporomoka

    Mgombea Urais kupitia Azimio, Raila Odinga amefanikiwa kumpita William Ruto kwa idadi ya Kura baada ya kuwa nyuma kwa masaa kadhaa Hadi kufikia leo saa 6:30 mchana Odinga alikua na kura 6,431,752 (49.46) akifuatiwa na William Ruto mwenye Kura 6,389,957 (49.14%) Prof. Wajackoyah Kura 56,430...
  9. M

    Kenya 2022 Raila Odinga: King'ang'anizi katika kuutaka urais wa Kenya, uchaguzi huu anagombea kwa mara ya tano (5)

    Raila Odinga alijiapiza kuwa lazima awe rais wa kenya kabla hajafa!! Leo anagombea kwa mara ya tano akiwa na miaka 77. Na jamaa huyu hujaribu bahati yake kupitia vyama mbali mbali, na mwaka huu anagombea kupitia umoja wa vyama uitwao AZIMIA LA UMOJA. Swali, je akiangukia pua mwaka huu ataweza...
  10. Poppy Hatonn

    Kenya 2022 Uchaguzi wa Kenya leo matatizo Ni prana. Raila amechoshwa sana na kampeni

    Prana ni neno la Kihindi,maana yake 'pumzi'. Raila amefanya kampeni kwa bidii na anechoka sana. Hatujawahi kumuona Raila anechoka namna Ile. Lakini sasa kampeni imekwisha nadhani he will get his breath back. Siyo rahisi kutabiri nani atashinda. Hata Wainjilisti wanaopenda kutabiri wameshindwa...
  11. BARD AI

    Diamond amelipwa Tsh. Milioni 233.3 kumfanyia kampeni Raila

    Weekend iliyopita ilikuwa siku nzuri kwa Diamond Platnumz wakati mgombea Urais Raila Odinga aliposimama mbele ya Wakenya na kuwaomba kumpigia kura kama Rais ajaye kabla ya Uchaguzi Mkuu unaofanyika kesho August 9. Diamond, pamoja na mpenzi wake wa zamani Zari Hassan, walikuwa bize kupanga...
  12. Roving Journalist

    Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo na Wagombea Urais William Ruto kutokea Umoja wa Vyama vya Kenya na Raila Odinga

    Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akiwa Kiongozi ya Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya, ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, kwa nyakati tofauti, amekutana na kufanya mazungumzo na Wagombea Urais William Ruto kutokea Umoja wa Vyama vya Kenya Kwanza, na Raila Odinga wa Umoja wa Vyama vya...
  13. BARD AI

    Eric Omondi akerwa na Diamond Platinumz kufanya show ya Kampeni Kenya

    Mchekeshaji Eric Omondi kutoka Kenya ameonesha kukerwa na kitendo cha Mgombea Urais kupitia Azimio nchini Kenya, Raila Odinga kumwalika Diamond Platinumz kufanya show kwenye kampeni zake leo. Diamond ameingia Kenya leo akitokea Afrika Kusini alikoenda kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mtoto wake...
  14. crankshaft

    Diamond Platnumz kutumbuiza mkutano wa Raila Odinga

    Msanii Diamond Platnumz yupo nchini Kenya na anatarajiwa kutumbuiza katika mkutano wa mwisho wa kampeni wa azimio la umoja wa Raila Odinga. Source:bbc swahili
  15. masopakyindi

    Kenya 2022 Namtakia Raila Odinga ushindi mwema na wa uhakika.

    Ni wazi Raia Odinga 'Baba' atashinda uchaguzi mkuu utakaofanyika huko Kenya hivi karibuni. Raila amepigana hiyo vita toka enzi za baba yake Oginga Odinga, na sasa inafika hitimisho. Nampongeza na Uhuru kwa kufanya uteuzi wa mgombea ulio sahihi kwa Kenya. Miaka 10-20 ijayo sifa hii iatwabeba...
  16. Willima

    Kenya 2022 Wajackoya: Sijamuidhinisha Raila Odinga

    Mgombeaji wa urais wa chama cha Roots George Wajackoya amekana madai kwamba amemuidhinisha mgombea wa muungano wa Azimio la Umoja Raila Odinga. Kupitia taarifa ,Wajackoya amedai kwamba video inayosambazwa mitandaoni ikimuinyesha akimuidhinisha Odinga imebadilishwa ili kuwapotosha wafuasi wake ...
  17. Singo Batan

    Kenya 2022 Bi. Martha Karua na siri ya Ushindi wa Urais wa Mzee Raila (Baba)

    Nchi ya Kenya inatarajia kufanya uchaguzi wa Rais wa awamu ya 5 mapema mwezi Agosti 2022. Duru za uchaguzi zinaonesha kumpa nafasi zaidi Bwana Raila Odinga ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo. Idadi kubwa ya Wapiga kura wa Kenya, wana imani zaidi na kambi ya Mzee Raila sio kwasababu ya...
Back
Top Bottom