Mlinzi huyo aliyefahamika kwa jina la Barrack Jaraha ameuawa leo Ijumaa Oktoba 14, 2022 nyumbani kwake huko Riat, Kaunti Ndogo ya Kisumu saa 11 alfajiri.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Nyanza, Karanja Muiruri amethibitisha kutokea kwa tukio hilo, akisema uchunguzi unaendelea ili kubaini sababu za...