rais kushitakiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kutatua matatizo ya taifa letu tupate Katiba ambayo itaruhu rais kushitakiwa akiwa madarakani na hata atapokuwa amemaliza muda wake kama mkuu wa nchi

    Hii kinga ya rais kutoshitakiwa inamfanya rais kutumia madaraka yake vibaya sana. Watanganyika tupamnane tupate katiba ambayo itatupa madaraka sisi wananchi. Rais akijigeuza yeye sultani na familia yake aweze kupelekwa mahakamani na kushitakiwa. Hata akifanya makosa na kawa amestaafu...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima umezunguka Sana. Ushauri wa kuzuia Utekaji, mauaji ni huu; Rais naye ashtakiwe kama raia wengine

    Kumekuchwa! Askofu Gwajima, naona umezunguka sana kwenye hiyo press yako. Pakiwa na Sheria isemayo watu wote nchini akiwemo Rais wapo chini ya sheria, na Rais ashtakiwe iwe akiwa Rais, au baada ya kustaafu Urais. Hakuna mtu asiyejulikana ambaye atahatarisha usalama wake kwa mtu anayeshtakiwa...
Back
Top Bottom