Askofu Gwajima umezunguka Sana. Ushauri wa kuzuia Utekaji, mauaji ni huu; Rais naye ashtakiwe kama raia wengine

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
Kumekuchwa!

Askofu Gwajima, naona umezunguka sana kwenye hiyo press yako.

Pakiwa na Sheria isemayo watu wote nchini akiwemo Rais wapo chini ya sheria, na Rais ashtakiwe iwe akiwa Rais, au baada ya kustaafu Urais.

Hakuna mtu asiyejulikana ambaye atahatarisha usalama wake kwa mtu anayeshtakiwa. Huyo mtu hayupo.
Wapo wenye tamaa wanaweza kuchukua baadhi ya tenda lakini vyombo vya Dola vitakuwa na nguvu ya kufuatilia.

Huko jeshini wapo watu waaminifu, wapenda haki. Tatizo linakuja hata ukiwa mwaminifu na mpenda haki, hauwezi kuwa na tija ikiwa kuna watu wapo juu ya sheria.

Rais kushtakiwa ndio njia sahihi ya kila mhimili kufanya KAZI kwa ufanisi. Sio Bunge, mahakama au serikali yenyewe.

Rais kushtakiwa huwezi kusikia kauli ya maagizo kutoka Juu. Hakuna cha maagizo.
Kila kitu kifuate utaratibu na Sheria.

Na ili kila kitu kifuate utaratibu na sheria basi lazima watu wote wawe chini ya Sheria.

Rais kushtakiwa ni tafsiri ya vyombo vya Dola kutokuwa vibaraka vya watawala. Vyombo vya Dola vitatumikia wananchi na nchi kwa weledi.

Wasiojulikana nguvu yao kubwa IPO kwenye Sheria za nchi.
Unaposema Rais hashtakiwi ni unajaribu kueleza nchi IPO mikononi mwa kukundi kidogo ambacho ni untouchable.

Kama Rais hashtakiw unafikiri marafiki zake utaweza kuwashtaki? Watoto wake je? Wabia wake wabiashara je? Hawara na michepuko yake je? Wakwe zake je?

Gwajima, ushauri ulikuwa, tunahitaji Katiba Mpya. Basi!

Jioni njema
 
Rais kushtakiwa huwezi kusikia kauli ya maagizo kutoka Juu.
Hakuna cha maagizo.
Kila kitu kifuate utaratibu na Sheria.
Na ili kila kitu kifuate utaratibu na sheria basi lazima watu wote wawe chini ya Sheria.

Rais kushtakiwa ni tafsiri ya vyombo vya Dola kutokuwa vibaraka vya watawala. Vyombo vya Dola vitatumikia wananchi na nchi kwa weledi.

Wasiojulikana nguvu yao kubwa IPO kwenye Sheria za nchi.
Unaposema Rais hashtakiwi ni unajaribu kueleza nchi IPO mikononi mwa kukundi kidogo ambacho ni untouchable.

Kama Rais hashtakiw unafikiri marafiki zake utaweza kuwashtaki? Watoto wake je? Wabia wake wabiashara je? Hawara na michepuko yake je? Wakwe zake je?

Gwajima, ushauri ulikuwa, tunahitaji Katiba Mpya. Basi!

Jioni njema
Hakika wanazunguka Mbuyu huyu Gwajima mjinga Sana tangu alipojiingiza katika siasa za sisiemu nilimuona ni mchumia tumbo tu.
 
kwa suala la kuongeza mishahar akwa vyombo hivyo halikutakiwa kuongelewa kabisa, halitasaidia, labda wapunguziwe kwa sababu wakiongezwa mishahar andio watakuwa royal zaidi kwa wateule wao. ukiongezwa mshahara ukatumwa chochote ukakataa? si utaogopa watapiga panga? ila nimefurahi amenyoosha kidole moja kwa moja kwamba tatizo ni mamlaka ya uteuzi ambayo haiwezi kujikosoa ndio maana yeye anashauri, kwamba hiyo ndio panga pangua na ndiyo yenye mamlaka makubwa kuliko hao wote. nchi imefika pabaya sana kwa uchafu huu wa kutekateka.
 
imagine, ukiongea tu unaambiwa wewe ni kamdomo utashughulikiwa. ukikosoa rais tu unapewa vitisho. kwani rais ni malaika huwa hakosei? nani atamkosoa sasa akikosea?
 
Kumekuchwa!

Askofu Gwajima, naona umezunguka sana kwenye hiyo press yako.

Pakiwa na Sheria isemayo watu wote nchini akiwemo Rais wapo chini ya sheria, na Rais ashtakiwe iwe akiwa Rais, au baada ya kustaafu Urais.

Hakuna mtu asiyejulikana ambaye atahatarisha usalama wake kwa mtu anayeshtakiwa. Huyo mtu hayupo.
Wapo wenye tamaa wanaweza kuchukua baadhi ya tenda lakini vyombo vya Dola vitakuwa na nguvu ya kufuatilia.

Huko jeshini wapo watu waaminifu, wapenda haki. Tatizo linakuja hata ukiwa mwaminifu na mpenda haki, hauwezi kuwa na tija ikiwa kuna watu wapo juu ya sheria.

Rais kushtakiwa ndio njia sahihi ya kila mhimili kufanya KAZI kwa ufanisi. Sio Bunge, mahakama au serikali yenyewe.

Rais kushtakiwa huwezi kusikia kauli ya maagizo kutoka Juu. Hakuna cha maagizo.
Kila kitu kifuate utaratibu na Sheria.

Na ili kila kitu kifuate utaratibu na sheria basi lazima watu wote wawe chini ya Sheria.

Rais kushtakiwa ni tafsiri ya vyombo vya Dola kutokuwa vibaraka vya watawala. Vyombo vya Dola vitatumikia wananchi na nchi kwa weledi.

Wasiojulikana nguvu yao kubwa IPO kwenye Sheria za nchi.
Unaposema Rais hashtakiwi ni unajaribu kueleza nchi IPO mikononi mwa kukundi kidogo ambacho ni untouchable.

Kama Rais hashtakiw unafikiri marafiki zake utaweza kuwashtaki? Watoto wake je? Wabia wake wabiashara je? Hawara na michepuko yake je? Wakwe zake je?

Gwajima, ushauri ulikuwa, tunahitaji Katiba Mpya. Basi!

Jioni njema
Hiyo aigipi amewekewa 1b kwenye account yake ili kumnyamazisha
 
Niliwahi kusema siku za nyuma, iwapo kifungu cha kutoshitakiwa kwa rais hakitakuwepo, basi mifumo yote itakuwa dhaifu, maana sheria zote zitatekelezwa kwa amri toka juu. Kwa sasa hapa nchini amri toka juu ina nguvu kuliko katiba na sheria.
 
Kama Kongo DRC - Joswoh Kabila kaondelewa kinga na senate jana, hata hapa Bongo itaondolewa tu- wakae mguu pande , mguu sawa, kinga itaondolewa tu siku moja
Kabisa, na hapo nchi yetu itaanza kufuata sheria na katiba na sio amri toka juu.
 
Back
Top Bottom