Askofu Gwajima umezunguka Sana. Ushauri wa kuzuia Utekaji, mauaji ni huu; Rais naye ashtakiwe kama raia wengine

Niliwahi kusema siku za nyuma, iwapo kifungu cha kutoshitakiwa kwa rais hakitakuwepo, basi mifumo yote itakuwa dhaifu, maana sheria zote zitatekelezwa kwa amri toka juu. Kwa sasa hapa nchini amri toka juu ina nguvu kuliko katiba na sheria.

Sahihi Kabisa
 
Kumekuchwa!

Askofu Gwajima, naona umezunguka sana kwenye hiyo press yako.

Pakiwa na Sheria isemayo watu wote nchini akiwemo Rais wapo chini ya sheria, na Rais ashtakiwe iwe akiwa Rais, au baada ya kustaafu Urais.

Hakuna mtu asiyejulikana ambaye atahatarisha usalama wake kwa mtu anayeshtakiwa. Huyo mtu hayupo.
Wapo wenye tamaa wanaweza kuchukua baadhi ya tenda lakini vyombo vya Dola vitakuwa na nguvu ya kufuatilia.

Huko jeshini wapo watu waaminifu, wapenda haki. Tatizo linakuja hata ukiwa mwaminifu na mpenda haki, hauwezi kuwa na tija ikiwa kuna watu wapo juu ya sheria.

Rais kushtakiwa ndio njia sahihi ya kila mhimili kufanya KAZI kwa ufanisi. Sio Bunge, mahakama au serikali yenyewe.

Rais kushtakiwa huwezi kusikia kauli ya maagizo kutoka Juu. Hakuna cha maagizo.
Kila kitu kifuate utaratibu na Sheria.

Na ili kila kitu kifuate utaratibu na sheria basi lazima watu wote wawe chini ya Sheria.

Rais kushtakiwa ni tafsiri ya vyombo vya Dola kutokuwa vibaraka vya watawala. Vyombo vya Dola vitatumikia wananchi na nchi kwa weledi.

Wasiojulikana nguvu yao kubwa IPO kwenye Sheria za nchi.
Unaposema Rais hashtakiwi ni unajaribu kueleza nchi IPO mikononi mwa kukundi kidogo ambacho ni untouchable.

Kama Rais hashtakiw unafikiri marafiki zake utaweza kuwashtaki? Watoto wake je? Wabia wake wabiashara je? Hawara na michepuko yake je? Wakwe zake je?

Gwajima, ushauri ulikuwa, tunahitaji Katiba Mpya. Basi!

Jioni njema
Kwani vyombo vyenyewe vikiwa na interest za siasa unadhani halo itakuaje?

Bora Rais asishitakiwe Ili vyombo viwe na hofu kuliko vyombo kushika hatamu ni hatari mara buku kuliko hii mnayoisema Sasa hivi.
 
Kwani vyombo vyenyewe vikiwa Uuna interest za siasa unadhani halo itakuaje?

Bora Rais asishitakiwe Ili vyombo viwe na hofu kuliko vyombo kushika hatamu ni hatari mara buku kuliko hii mnayoisema Sasa hivi.
Huu upuuzi mlioufanya tumefika mwisho,acha tuumie wote ikiwa hivyo, kuliko tuumie wenyewe nyie machawa mjione mko salama. Acha tuumie wote mjue tunaposema haki tunamaanisha nini.
 
Umia wewe Sasa peke Yako ,nyie ndio wale nyumbu mlikuwaga mnada Nchi inatakiwa kutawaliwa kidikteta.

Mlipoonjeshwa kidogo tuu na Mwendazake mkaanza kumwaga makamasi.

Hakuna Mtanzania angetaka kuwa kama Sudan,ni Bora tubakie hivi hivi Ili nyie mnaotafuta madaraka hata mkiuana au kuuwawa hakuna shida yeyote Cha msingi sisi wengine tuwe na amani tuendelee kulima na kulisha Watoto
 
Hakuna ambaye angekuwa na tatizo na dhalimu magu kama angekuwa dictator neutral. Unakuwa dictator halafu unatulazimisha tukikubali chama chako. Ukitaka kuwa dictator weka chama pembeni tumikia taifa, hata ukiingia utawala wa kijeshi tutawapa support wakiwa neutral, wakileta habari za uvyama hawana bahati.
 
Toa upumbavu wako hapa,dikteta awe neutral? Una kichaa? Huoni wal kusikia?

Wakija hao hata hiyo mikutano mnayoita Haki za binadamu mtaishia kusoma kwenye historia.
 
Ndio tunataka aje, tuone nyie machawa mtaishije.
 
kwa suala la kuongeza mishahar akwa vyombo hivyo halikutakiwa kuongelewa kabisa, halitasaidia, labda wapunguziwe kwa sababu wakiongezwa mishahar andio watakuwa royal zaidi kwa wateule wao. ukiongezwa mshahara ukatumwa chochote ukakataa? si utaogopa watapiga panga? ila nimefurahi amenyoosha kidole moja kwa moja kwamba tatizo ni mamlaka ya uteuzi ambayo haiwezi kujikosoa ndio maana yeye anashauri, kwamba hiyo ndio panga pangua na ndiyo yenye mamlaka makubwa kuliko hao wote. nchi imefika pabaya sana kwa uchafu huu wa kutekateka.
Suala liko kwenye katiba.
 
Kwani vyombo vyenyewe vikiwa na interest za siasa unadhani halo itakuaje?

Bora Rais asishitakiwe Ili vyombo viwe na hofu kuliko vyombo kushika hatamu ni hatari mara buku kuliko hii mnayoisema Sasa hivi.

Kwani kila mtu akishtakiwa hivyo vyombo vya dola vyenyewe si navyo vitashtakiwa?

Watu wanapaswa kuwa na hofu ya sheria tena Sheria zilizotungaa na watu wote. Na sio kuwa na hofu ya kumwogopa Rais
 
Japo ni kweli lakini ni mwanzo mzuri wa kumtoa nyoka pangoni mwake, kwa mtu yeyote mwenye busara hawezi kuingia vitani akamwaga silaha zote at once! Tumpongeze kwa hili, ni wanasisiemu wachache sana wanaweza kukana njaa zao na kuongea kitu namna hii na kwa ujasiri! Hata kama ndugu zao wamechinjwa watajichekesha tu kumpetipeti boss wao mchengelwa

Kasema akijibiwa atajibu, wakati ni muda mzuri sana tusubiri na tuone! Huenda wasira atafufuka huko alipo atoe boko lake, pashangamka sasa! Kule lumumba sasa hivi zinaundwa sentensi tu kama wataweza kuzitoa tutaona!
 
Kumekuchwa!

Askofu Gwajima, naona umezunguka sana kwenye hiyo press yako.

Pakiwa na Sheria isemayo watu wote nchini akiwemo Rais wapo chini ya sheria, na Rais ashtakiwe iwe akiwa Rais, au baada ya kustaafu Urais.

Hakuna mtu asiyejulikana ambaye atahatarisha usalama wake kwa mtu anayeshtakiwa. Huyo mtu hayupo.
Wapo wenye tamaa wanaweza kuchukua baadhi ya tenda lakini vyombo vya Dola vitakuwa na nguvu ya kufuatilia.

Huko jeshini wapo watu waaminifu, wapenda haki. Tatizo linakuja hata ukiwa mwaminifu na mpenda haki, hauwezi kuwa na tija ikiwa kuna watu wapo juu ya sheria.

Rais kushtakiwa ndio njia sahihi ya kila mhimili kufanya KAZI kwa ufanisi. Sio Bunge, mahakama au serikali yenyewe.

Rais kushtakiwa huwezi kusikia kauli ya maagizo kutoka Juu. Hakuna cha maagizo.
Kila kitu kifuate utaratibu na Sheria.

Na ili kila kitu kifuate utaratibu na sheria basi lazima watu wote wawe chini ya Sheria.

Rais kushtakiwa ni tafsiri ya vyombo vya Dola kutokuwa vibaraka vya watawala. Vyombo vya Dola vitatumikia wananchi na nchi kwa weledi.

Wasiojulikana nguvu yao kubwa IPO kwenye Sheria za nchi.
Unaposema Rais hashtakiwi ni unajaribu kueleza nchi IPO mikononi mwa kukundi kidogo ambacho ni untouchable.

Kama Rais hashtakiw unafikiri marafiki zake utaweza kuwashtaki? Watoto wake je? Wabia wake wabiashara je? Hawara na michepuko yake je? Wakwe zake je?

Gwajima, ushauri ulikuwa, tunahitaji Katiba Mpya. Basi!

Jioni njema

Lakini inavyoonekana kama bado hamjui kiini au sababu hasa ya kuwepo kwa majanga haya ya Utekaji, Utesaji, Mauaji, kupoteza watu, n.k.

Sababu halisi inayosababisha majanga yote haya ni kuwepo kwa Katiba mbaya Sana pamoja na kuwepo kwa Sheria mbaya Sana ambazo ni kandamizi. Bila ya Katiba ya nchi kubadilishwa, Bila ya Sheria Mbaya na Kandamizi kufutwa, kamwe vitendo vya Utekaji watu, Utesaji, na Mauaji ya watu kiholela havitakoma hata kama Rais atakuwa nani.

Suluhisho sahihi ni Kubadilisha Katiba ya nchi, Kufuta Sheria zote kabisa mbaya Sana na kandamizi, pamoja na kumuweka kila Mtu katika nchi kuwa yupo chini ya Sheria. Nobody is above the law.
 
Back
Top Bottom