Kumekuchwa!
Askofu Gwajima, naona umezunguka sana kwenye hiyo press yako.
Pakiwa na Sheria isemayo watu wote nchini akiwemo Rais wapo chini ya sheria, na Rais ashtakiwe iwe akiwa Rais, au baada ya kustaafu Urais.
Hakuna mtu asiyejulikana ambaye atahatarisha usalama wake kwa mtu anayeshtakiwa...