Francis Ndulane alikuwa Mhasibu Mkuu wa Tanroads Mkoa Lindi, Magufuli alipo ingia Madarakani kama Rais akamteua kuwa Mkurugenzi wa Mji Ifakara.
Mwaka huu akagombea ubunge, kwenye kura za maoni ndani ya chama akashika nafasi ya tatu kwa kupata kura 21 nyuma ya Ahmed Raphael Bongi aliyekuwa...
Nakiri wazi 100% ya wakosoaji humu hawana uwezo wa kukabiliana na rais siku wakikutana nae ana kwa ana yale mamlaka yanatisha usiombe kukutana na magufuli akiwa kwenye full gear halafu ukiwa na matatizo yanayoathiri utendaji.
Kiufupi simlaumu yule waziri alieshindwa kula kiapo alitawaliwa na...
Rais Magufuli amesema kuna Mbunge vyeti vyake ni " hewa" na historia yake ya elimu imejaa ujanja ujanja.
Rais Magufuli amesema huyo Mbunge asingeweza kupata teuzi ya uwaziri lakini kwa Bungeni atawafaa kwa sababu sifa kuu ya Mbunge ni kujua kusoma na kuandika.
Bado najiuliza ni nani huyo? Au...
Siku ya leo katika Hotuba ya Mhe. Rais hii teknolojia (anavyoiita) ya WhatsApp amelitaja sana jina hili zaidi ya mara 6 akituhumu kuwa inavujisha sana Siri za Serikali.
Jambo la kufikiria kidogo nyuma ya pazia ni nini kinaendelea au tutegemee nini hapo mbeleni ambacho hatukijui bado kipo jikoni...
Wanabodi
Anza na kumsikiliza
Kufuatia kilichotokea tokea leo Zanzibar kwa Maalim Seif kuapishwa kuwa Makamu wa Kwanza wa rais Zanzibar, nimefarijika sana, na kurudisha matumaini kuwa angalau Tanzania japo hatuna any serious and credible opposition, lakini angalau tunao responsible opposition...
Spika wa Bunge Mhesh Job Ndugai ataendesha shughuli hiyo kwa mujibu wa Kanuni za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Watakaoapishwa ni Dkt Dorothy Gwajima na Mhandisi Leonard Chamuriho.
Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma kuhusu Uteuzi uliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo tarehe 05 Desemba 2020
========
Rais Magufuli pia amewateua kuwa Wabunge Dkt. Dorothy Gwajima(Alikuwa Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI -...
Rais wa Ufaransa Emanuel Macron amuandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa kati miaka mitano kabla ya muda uliopangwa
Serikali imesema katika kipindi cha pili cha awamu ya pili ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Dkt John Pombe...
Mheshimiwa rais na serikali yako tunaomba uitupie macho TAZARA.
Kumekua na utendaji mmbovu mnoo na kwa muda mrefu kwenye hii taasisi.
Watendaji wakuu wamekua chanzo cha migogoro na mazingira magumu kwa wafanyakazi na wateja.
Shirika limejaa urasimu unaoharibu utendaji bora wa watendaji wa...
Rais, najua huamini kama maisha ni magumu labda kwa sababu wewe una kila kitu, hujawahi kukosa hela ya kuilisha familia yako, mbaya zaidi wanaokuzunguka hawakuambii ukweli, pengine nao kwa sababu nao wana kila kitu kama wewe.
Ukweli ni kwamba maisha ni magumu sana iwe kwa wasomi waliokosa ajira...
Kuna mambo mengi sana ya msingi ambayo sikubaliani na aina ya utawala wa rais Magufuli. Mathalani sikubalini na matendo yake ya kuminya haki za msingi za wananchi kujichagulia viongozi wao kwa ridhaa zao, kwa mfano yaliyotokea kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka 2019 kisha yaliyofanywa...
Wewe ni msimamizi mzuri na ukiamua kitu kinafanyika mifano ipo hai kama Makao makuu yetu kuhamia Dodoma wengine hawakuamini na walifikiri ni usanii lakini sasa hivi Mji wetu Mkuu Kikatiba kabisa ni Dodoma.
Hivyo basi binafsi naamini kama Halmashauri zetu nchi nzima zikiweza kutumia sehemu ya...
Katibu Tawala mstaafu wa mkoa wa Songwe David Kafulila yuko mubashara Clouds TV akielezea mafanikio ya awamu ya 5 chini ya Rais Magufuli na makandokando ya upinzani hususani CHADEMA na ACT-Wazalendo.
Karibu.
Chanzo: Clouds TV.
Maendeleo hayana vyama!
Rais wangu mpendwa naomba ukiona inafaa nikupenyezee ushauri wangu. Yawezekana wasaidizi wako wanaogopa kukushauri....
Kama mwananchi na mdau wa maendeleo kuna mambo mengi sana yanekwama huku katika wizara since July mchakato wa kura za ndani CCM ilivyoanza basi mawaziri wakawa vey much busy...
Waziri mkuu ametembelea kwa ghafla hospital ya Uhuru iliyopo Chamwino mkoani Dodoma na hajaridhishwa na hatua iliyofikiwa katika ujenzi wake.
Akiwa amekasirishwa mh. Majaliwa ameuagiza uongozi wa mkoa kuhakikisha ujenzi unakamilika ndani ya siku 15 ili mh. Rais Magufuli aje aifungue siku ya...
Kiukweli sehemu moja muhimu ya kupunguza matumizi ya Serikali ni kuwaondoa manaibu waziri kwani zaidi ya kujibu maswali bungeni huwa sioni kazi nyingine ya maana wanayofanya.
Katika hili nakubaliana kabisa na Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi la kutoteua manaibu Waziri katika baraza lake.
Ni imani...
Tulimsikia Rais Magufuli wakati akimwapisha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisema kuwa Profesa Kabudi na William Lukuvi hawawezi kuwa miongoni ya wagombea wa Urais wa CCM kwa mwaka 2025, kwa kuwa tu umri wao hauwaruhusu, kwa kuwa watakuwa na umri mkubwa, kwa kuwa ameeleza kuwa Rais ajaye atakuwa...
Na Abbas Mwalimu | Jumamosi tarehe 14 Novemba, 2020
Uwanja wa Diplomasia tumepokea maswali mengi sana kuhusu tai alizovaa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli wakati wa kuapishwa kwake Alhamisi tarehe 5 Novemba, 2020 na siki ya kulifungua Bunge la 12 na Ijumaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.