Nakubaliana kabisa na Rais Magufuli kwamba kwa sasa wizara zisimamiwe na makatibu wakuu chini ya usimamizi wa Waziri mkuu mh Majaliwa.
Maswala ya ulinzi na usalama wa ndani yaendelee kusimamiwa na CDF Mabeyo na IGP Sirro wanaoripoti moja kwa moja kwa Amiri jeshi mkuu.
Mambo muhimu ya Fedha na...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba Kabudi amefafanua vizuri kauli yake ya kutoka jalalani mpaka kuwa Waziri.
Ikumbukwe hapo awali wafuasi wa CHADEMA kwa upofu wa kutokujua neno la Mungu nikimaanisha Biblia wengi walisema kwamba, Prof. Kabudi alimaanisha...
Baada ya kumteua kisha kuthibitishwa na Bunge mwishoni mwa wiki, leo asubuhi Rais John Magufuli atamwapisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
Majaliwa ataapishwa ili kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa kipindi cha pili ikiwa ni siku tatu baada ya Bunge kumthibitisha.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara...
Nianze mada yangu kwa kutoa tafsiri ya neno Demokrasia, ni serikali ya watu iliyochaguliwa na watu katika uchaguzi ulio huru na wa haki
Hata hivyo Rais Magufuli ametoa tafsiri tofauti katika hotuba aliyotoa Bungeni Jana kwa kudai kuwa Demokrasia ni kuleta maendeleo na kuwataka viongozi Wa...
Kuna wakati wapinzani walidai serikali ya awamu ya 5 haitaki kukosolewa bali inataka kusifiwa tu. Kumbe walikuwa waongo.
Rais Magufuli amewataka wabunge wote bila kujali itikadi zao kuikosoa serikali na kuleta solutions za changamoto na siyo ilimradi kukosoa tu.
Huu ni ujumbe wa kijasiri sana...
Kwa sasa anaeongea ni spika wa Bunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na anasema kikatiba wabunge wanaotakiwa ni 393 jumla na waliopo ni 359 wakisubiri wabunge watano kutoka baraza la wawakilishi, wateule 10 wa Rais, viti maaum kutoka vyama vingine.
Kwa sasa spika anamkaribisha Rais Magufuli...
Namnukuu
On behalf of the Government and the people of Tanzania, I congratulate President-elect
@JoeBiden
and Vice President-elect
@KamalaHarris
on your victory in the US General Election. Be assured that Tanzania will continue to cherish the relationship that exist between our countries...
Kauli ya Mwanasiasa GENTAMYCINE wiki Mbili zilizopita....
"Namalizia Kampeni zangu za Kupambana na Magufuli ila Uchaguzi Mkuu ukiisha tu naenda Kijijini Butiama Mkoani Mara Kutibiwa zangu Kienyeji kutokana na Matatizo makubwa sana niliyoyapata ya Kung'atwa na Mbwa Mkali wa Ziwani na Meno yake...
Prof. Adelardus Lubango Kilangi amekuwa mtu wa kwanza kuteuliwa na Rais John Magufuli kwa kipindi cha muhula wa pili wa Uongozi wa Rias Magufuli.
Prof. Kilangi ameteuliwa na kuapishwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, ambapo amesema hii imeonesha Rais ana imani naye kwa hivyo ameahidi...
Hotuba ya Rais Museveni kwenye Kuapishwa kwa Rais Magufuli, imenitafarisha mambo 4; karibu tujadili tukiwa na open mind.
Naomba ku-declare interest ninamuunga mkono JPM kwa nafasi ya Urasi 2020-25. Kama unaidhika usiendelee kusoma huko chini.
Ila kama una imani ya kusifu tu, pia usisome ili...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la swali, Bunge letu jipya linalokwenda kuundwa hivi karibuni baada ya uchaguzi Mkuu, lina hali mbaya sana ya kuwa liko kwenye hati hati ya kutokuwepo kwa kambi rasmi ya upinzani Bungeni.
Swali ni Jee NEC, Rais Dr. Mwinyi na Rais Dr. Magufuli wataingia huruma na...
Mimi ni Mwana CHADEMA ila msema ukweli na ukweli unampa mtu uhuru.
Uchaguzi umeisha ila tumeshuhudia mambo mabaya sana hasa huko Zanzibar Pemba. Tumeshuhudia picha za maiti zikiwa zinatisha na ndugu wa marehemu wakisema ndugu zao waliuliwa na polisi.
Kwa jeshi linalofanya kazi kwa weledi sisi...
Leo Rais Mteule wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi anaapishwa kuyatwaa Rasmi madaraka ya kuingoza Zanzibar akimrithi Dr. Ali Mohamed Shein. Kwa sasa tayari wananchi na viongozi wameshawasili ikiwemo marais wastaafu, Ali Hassan Mwinyi na Dkt. Jakaya Kikwete.
=======
3:35 Asubuhi: Amewasili mkuu...
UPDATES:
05:55 Asubuhi: Viongozi wa vyama vya ACT na CHADEMA wakiongozwa na Freeman Mbowe, Tundu Lissu na Zitto Kabwe wanaingia kwenye ukumbi ambapo watafanya mkutano na waandishi wa habari.
MNYIKA: Viongozi wakuu wa vyama vyetu tumekuwa kwenye vikao vya mashauriano na vimeendelea leo asubuhi...
Kama tunavojua Rais wetu mpendwa ni Rais msikivu na mchapakazi, kila alichoahidi anajitahidi kukitekeleza, aliahidi kufikia 2020 Upinzani utakuwa umekwisha Tanzania, watu wengi hawakuelewa atatumia njia gani, wengine walivyoona watu wanahudhuria mikutano ya kampeni ya upinzani walibeza kuwa...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imemtangaza Dkt. John Magufuli, aliyekuwa mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM kuwa mshindi wa Uchaguzi uliofanyika Oktoba 28. Pia imemtangaza Mama Samia Suluhu Hassan kuwa Makamu wa Rais Mteule.
Dkt. Magufuli ameshinda kwa kupata kura...
MATOKEO - LIVE:
Wakuu,
Tunawaletea matukio na matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yatakavyokuwa yakitangazwa.
Orodha rasmi ya wagombea wanaowania Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kama ilivyo kwenye karatasi ya kupigia kura)
1...
bunge
ccm
chadema
ded
kampeni
kura
lissu
maendeleo
magufuli
matokeo
mshindi
raisraismagufuli
tanzania
tundu lissu
ubunge
uchaguzi
uchaguzi mkuu
uchaguzi mkuu 2020
upinzani
urais
ushindi
vyama
vyombo vya habari
watanzania
zitto
Licha ya kwamba Rais Magufuli hajafanya vizuri katika suala la ajira ila binafsi bado nna Imani naye kuelekea tarehe 28/10/2020 hivyo anastahili kupewa miaka mitano tena katika utawala wake.
Kafanya mengi mazuri yakujivunia ukilinganisha na suala zima la uhaba wa ajira nchini.
Ni ukweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.