rais ruto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Rais Ruto: Mtaniua kwa majina, kutoka Zakayo hadi Kasongo

    Rais wa Kenya, William Ruto: “Mtaniua na majina. Mlianza na hustler, mkaenda Zakayo alafu kasongo,” President Ruto jokes days after Kenyans gave him a new nickname, El Chapo
  2. U

    Mke wa Rais wa Kenya bi Rachel Ruto akutana na kufanya mazungumzo na mke wa Naibu wa Rais Dkt. Joyce Kithure

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: First Lady Rachel Ruto held a meeting with Dr. Joyce Kithure, spouse of the DP which focused on promoting sustainable school feeding in Kenya through food production on school grounds
  3. Mkalukungone mwamba

    Rais Ruto awasili Dar kuhudhuria Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya za EAC na SADC

    Rais wa Jamhuri ya Kenya na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) William Samoei Ruto amewasili Nchini Tanzania na kupokelewa na Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso. Rais Ruto amewasili kuhudhuria Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya za EAC na SADC utakaofanyika...
  4. Mtoa Taarifa

    Rais Ruto akiri kuna matumizi ya nguvu kubwa kwenye vikosi vya ulinzi vinapokabiliana na Wananchi

    President William Ruto on Tuesday acknowledged abuses by Kenya's security forces, in the wake of demonstrations against a recent wave of alleged kidnappings that have sparked outrage in the country. Security forces in the East African nation have been accused of carrying out dozens of illegal...
  5. Mtoa Taarifa

    Wanasiasa, Wananchi wanamtaka Rais Ruto kukemea na kukomesha Matukio ya Utekaji, Mauaji ya Wakosoaji wake

    Wadau mbalimbali wa masuala ya Haki za Binadamu wakiwemo Wanasiasa wametoa wito kwa Rais William Ruto kukemea na kukomesha Vitendo vya Utekaji wa Wananchi wengi wakiwa ni wakosoaji wa Serikali yake. Miongoni mwa waliotoa wito huo ni pamoja na Mahakama, Wanasiasa Raila Odinga, Kalonzo Musyoka...
  6. Waufukweni

    Rais Ruto amtembelea Rais mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta nyumbani kwake Gatundu

    Rais William Ruto leo Jumatatu, Desemba 9 alimtembelea aliyekuwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta nyumbani kwake Gatundu katika Kaunti ya Kiambu. Katika andiko la aliyekuwa Msemaji wa Ikulu Kanze Dena, amesema wawili hao walijadili masuala yenye maslahi ya taifa.
  7. Waufukweni

    Gavana Kenneth Lusaka akabidhi KSh Milioni 5 (TSh Milioni 102) zilizotolewa na Rais Ruto kwa Kanisa la Anglikana la ACK St. Crispinus Bungoma

    Gavana Kenneth Lusaka akabidhi KSh Milioni 5 (TSh Milioni 102) zilizotolewa na Rais Ruto kwa Kanisa la Anglikana la ACK St. Crispinus Bungoma, wiki kadhaa baada ya Maaskofu wa Katoliki wakataa mchango wa Shilingi milioni 5.6 kutoka kwa Ruto kwa kanisa la Soweto Soma, Pia: Maaskofu wa Katoliki...
  8. W

    Ulinzi na Usalama waimarishwa Kenya baada ya funu za Maandamano kufanyika leo Rais Ruto akiwa anahutubia Wananchi

    Vikosi vya Usalama vimeongezwa maeneo ya Ikulu na Bunge kabla ya Rais William Ruto kutoa hotuba yake leo mchana Novemba 21, 2024 baada ya taarifa za Maandamano yaliyopangwa kufanyika leo kusambaa mitandaoni Aidha, Jeshi la Polisi (NPS) nchini humo lilitangaza Novemba 20, 2024 kuwa Maandamano...
  9. Suley2019

    Maaskofu wa Katoliki wakataa mchango wa Shilingi milioni 5.6 kutoka kwa Ruto kwa kanisa la Soweto

    Baraza la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limekataa michango yote iliyotolewa na Rais William Ruto na Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja wakati wa ibada katika Kanisa Katoliki la Soweto Jumapili. Katika taarifa yao, Maaskofu walieleza wasiwasi juu ya kutumia majukwaa ya kanisa kwa faida za...
  10. Mindyou

    Rais Ruto wa Kenya ampigia simu Rais mteule wa Marekani Donald Trump

    Rais wa Kenya, William Ruto, amefanya mawasiliano ya simu na Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, ili kujadili masuala ya uwezekano wa kuimarisha uhusiano kati ya mataifa hayo mawili. Rais Ruto alimtaka Trump kuendelea kuangazia maeneo ya kipaumbele katika uhusiano wao, ikiwemo fursa za...
  11. Kidagaa kimemwozea

    Rais Ruto ampendekeza Prof. Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais baada ya Rigathi Gachagua kuondolewa madarakani

    Rais William Ruto amemchagua Waziri wa Usalama wa Ndani, Kithure Kindiki (52), kuwa Naibu Rais mpya baada ya Rigathi Gachagua (59), kuondolewa madarakani Alhamisi usiku. Jina la Kindiki limepelekwa Bungeni ambapo wabunge wanatarajiwa kulipigia kura. Spika Moses Wetang'ula alitangaza uteuzi huo...
  12. J

    Ruto asema Kanisa Katoliki ndio Mshirika Mkuu wa Serikali. Ingekuwa Tanzania pasingekalika!

    Rais Ruto amelishukuru Kanisa Moja Takatifu la Mitume Katoliki kwa kuwalea Kiroho Wanajeshi wa Kenya Ruto amesema Kanisa Katoliki ndio mshirika Mkuu wa Serikali wakati wote Source: Citizen tv Ingekuwa Bongo sasa 🐼😂
  13. Pdidy

    Gachagua: Wakenya na Rais Ruto naomba mnisamehe na familia yangu kwa makosa yoyote ambayo huenda aliyatenda akiwa ofisini

    Ruto wewe ni mkritsto Unampenda Mungu achana na mambo ya kuharibu hioo nchi kaa chini malizana na naibu wako Hakuna sifa mtu atatoa kwa kelele zinazoendelea huoo kenya Naibu Rais Gachagua leo ameomba radhi kanisani Ameomba kama binadamu na kama kuna sehemu amekosea anaomba wamsamehe Kama...
  14. Waufukweni

    Kenya: Naibu Rais Rigathi Gachagua Aomba Rais Ruto Amsamehe

    Naibu Rais Rigathi Gachagua amemuomba Rais William Ruto amsamehe iwapo amemkosea kwa namna yoyote. Akihutubia kwenye ibada ya maombi ofisini kwake Karen, Gachagua pia aliwaomba radhi wabunge wote, siku moja kabla ya kuanza kwa mchakato wa kumtimua kwenye Bunge la Taifa la Kenya.
  15. J

    Ruto abadili gia angani aomba kukutana na Maboss wa Ford Foundation awamwagia Sifa kedekede!

    Rais Ruto baada ya kuwananga Ford Foundation na kuwatuhumu Kuwa walifadhili maandamano ya Gen Z sasa amegeuka na kuwamwagia Sifa kedekede Ruto amesema Ford Foundation ndio inayoongoza kwa kufadhili miradi mingi Nchini humo hivyo amewashukuru Mno --- President William Ruto Monday held talks with...
  16. GENTAMYCINE

    Haya Kampuni ya Mafuta ya STABEX ni ya Rais Ruto na ya Rubis ya Rais Mstaafu Uhuru je, ile ya Lake Oil mahala fulani ni ya nani?

    Leo ninataka tu Kumjua huyu mwenye hii Kampuni ya Mafuta ya Lake Oil mahala fulani (nimepasahau kwa sasa) kwani Stabex ni ya Rais Ruto na Rubis ni ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta.
  17. K

    Sio aibu kutafutia vijana kazi nje ya nchi kama Raisi wa Kenya

    Ili mradi kuna win win situation
  18. mwanamwana

    SI KWELI Video: Rais Ruto amtambulisha Waziri Soipan Tuya kama girlfriend wake wa zamani ndio maana wanang'ang'ana

    Nimeona kipande cha video kikimuonesha Rais wa Kenya William Ruto akiwa katika katika zoezi la upandaji miti akimtambulisha Waziri wa Mazingira Bibi Soipan Tuya kuwa alikuwa girlfriend wake. Binafsi kauli ya Rais Ruto imenishangaza sana ukizingatia kwenye tukio hili alikuwa kaambatana na mkewe...
  19. Teko Modise

    Rais Ruto anafanya ziara ya kuwatembelea wakenya majumbani kwao

    Rais Ruto anaendelea na ziara yake ya kuwatembelea Wakenya majumbani mwao. Leo alikuwa Kisii na kama kawaida ameinza siku kwa kupata chai ya maziwa na Mkate akiwa na wenyeji wake. Ingekuwa bongo, tungeambiwa hao wote pichani ni TISS
  20. BARD AI

    Rais Ruto asaini Mpango wa Kupunguza Fedha kwenye Bajeti za baadhi ya Taasisi

    Rais William Ruto ameidhinisha Muswada wa Matumizi ya Ziada na Mpango wa Kupunguza Matumizi ya takriaban Tsh. Trilioni 3.02 (Ksh. Bilioni 145) katika Bajeti iliyotengwa kwaajili ya Serikali. Bajeti za Wizara zitapunguzwa kwa Tsh. Trilioni 2.90, Bunge Tsh. Bil. 77.27, Mahakama Tsh. Bil. 43.86...
Back
Top Bottom