Kwa wanaofuatilia Siasa za Kanda ya Ziwa mtakua pamoja namm kuiona pattern inayojichora ya Paul kagame,Mseveni na Ruto
Hatimaye Ruto kaingia kwene 18 za hawa jamaa saizi nayeye kaanza kupambana na wabantu.
Anahakikisha kenya haitakuja kutawaliwa na wabantu milele kwa kuwaweka mawazili wenye...
Nafikiri ili ufiti vizuri kwenye siasa za panda shuka ukanda huu wa Afrika Mashariki, inabidi uwe mnafiki na unajitoa ufahamu kweli kweli.
"Handshake" ya Raila na Ruto haikutegemewa kabisa kutokana na msimamo wa wafuasi na viongozi wa ODM, kama ilivyo kwa upande wa Ruto, mvulana kutoka Sugoi...
Rais William Ruto amewataka wanaosababisha machafuko kwa kufadhili watu kufanya vurugu nchini humo wajitokeze hadharani na washauri Serikali ifanye nini ili kuondokana na hali iliyopo.
Akizungumza baada ya Ibada ya Jumapili, Ruto amesema "Wale wanaofadhili, kuandaa na kufadhili ghasia hizi...
Wadau hamjamboni nyote?
Rais William Ruto wa Kenya atangaza Baraza jipya la mawaziri huku akiwarejesha baadhi ya mawaziri aliowaondoa kwenye mabadilko ya awali
President William Ruto has named his new Cabinet members nominees a week after announcing the dismissal of the entire cabinet save...
Anaongoza Serikali yenye viongozi wakuu waandamizi watatu tu serikali kuu, yaani Naibu wa Rais RigyG, Musalia Mudavadi Prime Cabinet Secretary ambae pia ni Waziri wa mambo ya nje na kaimu wa waziri wa wizara zote Kenya zilizovunjwa majuzi..
Ni katika harakati za kubana matumizi, lakini pia...
16 July 2024
Nakuru, Kenya
Mheshimiwa rais William S. Ruto wa Jamhuri ya Kenya alaumu mashirika ya kijamii yasiyo ya kiserikali pamoja NGOs kama mfuko wa wakfu wa US-Funded Ford Foundation.
NGOs nyenye makao yake katika nchi za kibeberu kwa kufadhili maandamano yasiyo na kikomo ya vijana wa...
William Ruto ameagiza mamlaka husika kuharakisha uchunguzi kuhusu miili iliyopatikana ikiwa imefungwa kwenye mifuko ya plastiki kwenye dampo la Kware huko Mukuru kwa Njenga, Jijini Nairobi ili wahusika washughulikiwe kwa Mujibu wa Sheria za Nchi
Ruto amesema hakuna sababu yoyote inayoweza...
Hatimaye Rais Ruto amesema ataunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa itakayokuwa na Mawaziri kutoka vyama vyote vya Siasa na Taasisi za Kijamii na Kidini.
---
Ruto To Form Inclusive Govt:
President pledges to form an all-inclusive CabinetRuto says new Cabinet will have the face of Kenya
Ruto...
Rais Ruto atangaza siku 6 za mazungumzo ya kitaifa. Mazungumzo kujumuisha wadau mbalimbali nchini. Kikao hicho kuanzia Julai 15 kujumuisha pia vijanaRais: Kikao hiki kitaangazia mustakabali wa taifa
Gen Z wamegoma kujumuishwa kwenye Kikosi Kazi cha Maridhiano na Serikali
Raila Odinga akubali...
Rais Ruto anatakiwa aje kujifunza nchini Tanzania ambapo Maafisa wote wenye huo Umri wa miaka 60 hakuna aliyeko bado Serikakini katika Utumishi wa Umma na kwamba Waajiriwa wote Tanzania ni Vijana watupu wa kuanzia miaka 25 hadi 45 walioko huko.
Na ndiyo maana Utawala wa Rais Samia unafanya...
Hii nimeona ni kali zaidi yaani Ruto amebanwa hadi amefuta Bajeti ya Ofisi ya Mke wa Rais
Kwa sasa Gen Z ndio wanatengeneza Sera za Nchi yao, Wazee wamepumzishwa.
---
Rais wa Kenya, William Ruto ameondoa bajeti ya fedha zilizotengwa kwa ajili ya ofisi ya Mke wa Rais, Mke wa Naibu Rais na Mke...
President William Ruto is reportedly set to conduct a major Cabinet reshuffle which will result in the abolition of about seven ministries.
A front-page publication by a local media house citing State House sources suggests that the current 22 ministries will be reduced to 15 in the...
Ni dhahiri sasa,
Kumbe nia na dhamira ya vijana wahalifu nyuma ya Gen Z haikuwa kupinga ushuru, kodi, na tozo zilizokuwako kwenye muswada wa sheria ya fedha kwa mwaka 2024/2025 ulioipitishwa na Bunge la Kenya.
Muswada ule umefutwa tayari na Mh. William Samoei Ruto.
Ni nini kingine mnahitaji...
Wadau hamjamboni nyote?
Huu ni wito wangu binafsi kwa Mheshimiwa William Ruto Rais wa Jamhuri ya Kenya ambao umezingatia maslahi mapana ya nchi hiyo!
Mheshimiwa
Nikuombe Ndugu yangu usione aibu wala fedhea, chutama, zika ufahari wako, usisite, usijali, usiogope, usione aibu wala fedhea ...
President Ruto Denies Extra-Judicial Killings, Confirms 6 Deaths, 14 Injuries In Protests
President William Ruto has announced that a total of six people lost their lives during the anti-Finance Bill 2024 protests, contrary to reports that more than 20 people have been confirmed dead...
Akihutubia kutoka Ikulu rais Ruto amewapongeza vijana wa Kenya kwa kuthubutu kuitumia demokrasia ya nchi yao, wakati huohuo ametangaza kuufuta muswada wa bajeti mwaka 24/25 na kusema Kenya itaendelea na ule wa 23/24, pia ametoa pole kwa wote walioathirika kwenye kadhia iliyosabsbishwa na muswada...
Salaam,Shalom!!
Ile Hali ya wanasiasa kujifanya viziwi Kwa kutosikiza MAONI ya wananchi ambao ndio hasa boss wao, imesababisha Bunge kutekwa kuchomwa na waandamanaji baada ya Polisi kuzidiwa nguvu na namba.
Swali: Tutegemee athari gani kiuchumi,Kijamii, na hasa KIUSALAMA mipakani Kwa siku...
Namshauri mr president ajifunze mbinu za jpm za kuweka usalama.wa taifa mpaka kwenye dalaldala ukiisema serikali tu unakamatwa na unapotezwa mazima.na waliobaki wanaogopa.
Hata samia ajifunze mbinu za jpm ili hawa chadema wanaoshawishi maandamano wakimbie nchi tena watarudi baadae. Kama jpm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.