Akizungumza katika Mahojiano yaliyorushwa Septemba 28, 2026, na Council on Foreign Relations (CFR), Rais wa Ghana, John Dramani Mahama, ameeleza sababu zilizofanya nchi hiyo kukataa haraka mkataba wa Msaada wa afya uliopendekezwa na Marekani.
Akijibu swali kuhusu uhuru wa Ghana katika masuala...
Tanzania ilijiondoa kupitia ibara 36(4) yq optional protocol to African court of human rights. Ikipinga raia na non governmental kwenda kuishitaki moja kwa moja kwenye hii mahakamama.
Hii ni kwa sababu kesi nyingi dhidi ya serikali ya CCM juu ukiukwaji wa haki za binadamu ziliibuka na kuiabisha...
Wakuu,
Rais wa Ghana, John Dramani Mahama, ameamuru kufutwa mara moja kwa posho za mafuta ya gari kwa viongozi wote wa Serikali ambao wameteuliwa kama sehemu ya kupunguza matumizi ya serikali na kuelekeza fedha za umma kwenye kuboresha sekta za afya, elimu na kwenye serikali za mitaa...
Wakuu,
Namsalimu Mwigulu Nchemba kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kazi iendelee
===============================
Huko nchini Ghana aliyekuwa Waziri wa Fedha wa Ken Ofori-Atta, anatafutwa na Ofisi ya Mwendesha Mashtaka Maalum ili ajibu tuhuma za rushwa.
Tangazo hilo...
Rais wa Ghana, John Mahama ametangaza marufuku ya safari za Ndege za daraja la kwanza kwa Maafisa wa Serikali wakiwemo Mawaziri ikiwa ni sehemu ya juhudi za kupunguza matumizi ya Serikali.
Aidha Rais Mahama amesisitiza kuwa safari za dharura pekee ndizo zitakubaliwa na lazima zidhinishwe na...
Wakuu,
Huko nchini Ghana sanamu ya kumbukumbu ya Rais wa zamani wa Ghana, Nana Akufo-Addo, iliyojengwa mwishoni mwa mwaka jana, imeangushwa.
Wakati Akufo-Addo akizindua sanamu hilo Januari (11) katika Mkoa wa Magharibi alikumbana na mapokezi mabaya sana kwenye mitandao ya kijamii, huku wengine...
Wakuu,
Huko nchini Ghana, mlinzi wa Rais anayemaliza muda wake Nana Akufo-Addo amezua taharuki baada ya kuzimia na kukata moto wakati Rais huyo anahutubia.
Jarida la Punch, limedokeza kuwa mlinzi huyo alianguka muda mfupi tu baada ya Rais huyo anayemaliza muda wake kuanza kuhutubia...