Assume we ndo rais embu tuweke wazi ungefanyaje katika serikali yako ili rushwa zikome na uratibu kiundani bandarini.
Mimi binafsi ningetoa billion 50 kwa ajili ya camera cctv dar na pia barabara za tanroads kisha kila mwezi NATOA report ya makusanyo na Matumizi.kama taifa tunabaini Lost.
Hii imekaaje wadau, Naona Jaji Mkuu amerudia maraa nyingi sana kuitambua Nafasi ya Makamo wa Rais wa Tanzania Bara kama Makamo wa pili ilhali tuna Nafasi Moja tu ya Makamo wa Raisi kwa Bara , Je matukio haya ni ya bahati mbaya ama alikua anakusudia na kuna Jambo ndani yake ?
Tizama...
Ndugu marais hamjambo (kwa lafudhi ya kihaya), naona wengi wenu mnashida sana, mfano we Trump hutulii kabisa, nimeamua kukupa msaada wa dhahabu tani 1 bure, Tanzania ni Tajiri hatuna njaa.
Halafu we Putin inaelekea huna kazi ya kufanya, ntakuletea Tanzanite utengeneze urembo uuze upate hela...
Alipokubali kushindwa uchaguzi wa uraisi mwaka 2005, akiwa nafsi ya tatu na kwenda kukijenga chama, uungwana wake uliigusa Sheria ya asili na kumpandisha kutoka mwenyekiti wa chama cha siasa cha kawaida mpaka kuwa mwenyekiti wa chama kikuu cha siasa cha upinzani yaani kwa kifupi ndio mkuu wa...
Tanzania inadaiwa kununua ndege mpya ya Gulfstream G700, ambayo ni kwa matumizi ya serikali - bila shaka matumizi ya Rais.
Pichani ni aina ya ndege iliyonunuliwa. Hii ni ndege ilizinduliwa mwaka 2019, na ina uwezo wa kukimbia kwa zaidi ya 990km/hr, karibu sawa na spidi ya Boeing Dreamliner...
nafasi gani Rais wa Tanzania awezi kuingilia kufanya mabadiliko ya viongozi au kuwaondoa kazini?
Hivi ushawahi jiuliza hili awali? Mamlaka ya Rais ukomo wake? Kuna Nafasi hawezi ziingilia? Teua au fanya mabadiliko? Karibu tushirikishane
Mbali na mapungufu ya kibadamu, hawa wote wana uzalendo
Wote ni maradical
Wote ni wanachukia Rushwa
Wote wanachukia uzembe , uvivu
Wote wanamsimamamo mikali
Wote wanahulka ya kusema ukweli.
Wote hawa ni wachapa Kazi hakika taifa letu pendwa la Tanzania litapaaa sana viongozi wote wazembe, wala...
Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja.
Katika orodha ya majaji wa nchi hii...
"Kama mnavyosikia kote wagombea wameenguliwa hata hapa kwetu Ikungi hali ni hivyohivyo, lakini mwamba huu hapa Tundu Lissu umefanya kazi na kazi ya wananchi mwakani nikuchagua Diwani, Ubunge lakini Rais tunaye ambaye ni Tundu Lissu" Mzee, Jumanne Mwiko Kuahanya maarufu kama (Waodimo) kutoka...
Japo simpigii kampeni, nani ajuaye mipango ya Mungu. Katika gombea gombea ikatokea Tundu Lissu akachaguliwa kuwa rais, utanya nini au utajisikiaje? Nakumbuka. Alimuonya Magufuli juu ya uvunjaji wa sheria za mikataba akataka kumuwahisha kuzima akaishia kuwahi yeye. Alinusurika kuuliwa. Hakuuguzwa...
Kumekuwa na watu wanaohoji kwanini rais anasifiwa sana ila hakosolewi.
Kwanza, ana mamlaka makubwa kikatiba. Anaweza kufanya lolote atakalo asivunje sheria. Mfano, alipomteua Makonda wengi walistuka na kulaumu lakini aliwapuuza.
Pili, alipomteua mkwewe na kumpa jukumu la kuchakachua, sorry...
Ndugu zangu Watanzania,
Nikiri wazi na kwa dhati ya Moyo Wangu kuwa Rais Samia ni kiongozi Ambaye namkubali sana utendaji kazi wake,uchapa kazi wake, unyenyekevu wake,upendo wake kwa watanzania, uzalendo wake,hekima na busara zake,moyo wake wa kujitoa na kujitolea kwa ajili ya watanzania...
Akizungumza na mwanablog Magendela kupitia SALMA MADAI IT ANAYETEMBEA NA NDOTO ZA RAIS DKT SAMIA
Novemba, 2023, mdada mrembo wa sura na umbo, ameelezea ndoto za kuwa Rais wa Tanzania siku baadae.
Salma ambaye amekuwa akijiita Salama wa Samia Suluh katika mtandao instagram, amedai kuwa na asili...
Rais wa Tanzania kwa mwaka 2025 ili awe na ufanisi zaidi awe na umri upi kati ya:
1. 18 hadi 25
2. 26 hadi 35
3. 36 hadi 55 au
4. 56 hadi 75?
Umri wa Kiongozi yeyote ni muhimu sana katika ufanisi kwa kuwa na nguvu ya kutosha, kumbukumbu na fikra mpya katika ujenzi wa Nchi. Tujibu bila ushabiki...
Tanzania ni Moja chini ya muungano. Kwanini Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania lazima akae bara hata kama ni mzanzibar? Hawezi kukaa Zanzibar na kuiongoza nchi?
Amani iwe nanyi wanabodi!
Kupitia Northen Corridor Kenya anataka kuingia DRC, Rwanda, Uganda na Sudan Kusini kwa Reli ya SGR.
Sisi Tanzania tunajenga SGR yetu kuingia Burundi na baadae Congo.
Kwa hesabu za haraka huko mbeleni SGR ya Kenya ndo itakayoleta faida zaidi kwa Kenya kuliko SGR yetu...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewaomba Wakazi wa Ukonga kumshika Mbunge wa Jimbo hilo ambaye pia ni Waziri wa Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Jerry Silaa kwakuwa ni Waziri anayefanya kazi vizuri.
Rais Samia amesema hayo leo August 01,2024 akiwa Pugu njiani kuelekea Dodoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.