DOKTA Salim Ahmed Salim, alipoteuliwa kuwa Waziri Mkuu, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kilikuwa kipindi cha uhaba mkubwa wa bidhaa. Nguo, viatu, sabuni, dawa za meno, vilikuwa adimu.
Alikalia kiti baada ya kifo cha Edward Moringe Sikoine, aliyeendesha vita ya uhujumu uchumi. Mazingira ya...
Kichwa cha habari kimeeleweka.
Kwa faida ya wengi, waliokuwepo na wasiokuwepo awamu zilizopita. kila mmoja wetu ana mtazamo wake tofauti na wa mwengine, tujadili mafanikio na madudu ya awamu zilizopita.
Binafsi nashukuru, nimeziishi awamu kadhaa za Tanganyika kuanzia tupo utawala wa...
Habari wana jamvi,
Nimetafakari mambo mengi kisiasa, mwisho nimeridhika kuwa hakuna Rais wa Tanzania awezaye kushinda Tuzo ya Mo Ibrahim.
Nimefikiria mambo anayo fanya Rais Samia, utadhani ameshahakikishiwa kwamba 2025 hatoboi. Anauza rasilimali za Nchi kwa bei chee, lakini za chini chini ni...
Huyu jamaa amewaacha mbali wanasiasa karibia wote.
Nikimaanisha kwamba CCM sijaona mtu mwenye ubavu wa kupambana na Mwambukusi, kawaacha mbali wapinzani wote akina Mbowe, Lissu, Lema e.tc
Ukimsikiliza Wakili Mwabukusi ni kama unamsikiliza Magufuli. Uwezo alionao Mwambukusi siyo wa kubeza...
Hello JF,
Sup ya kimangungo version II ya sakata la Bandari.
Kimuundo CCM ni chama ambacho mtu akiwa Rais na mwenyekiti anakuwa mungu wa nchi na wana CCM wenyewe, ni zaidi ya Mfalme.
Kwa maana hiyo secretariat ya CCM huko kwenye majukwaa hawa akina Chongolo na mapopoma wengine wote wa CCM...
Ni vema tukaangalia tulijikwaa wapi na wala siyo tulipoangukia.
Siasa za matusi na dharau hazijaanza leo na hata kumkejeli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuna awamu aliitwa Dhaifu tena bungeni na watu wakakaa kimya. Shujaa Magufuli aliitwa Dikteta Uchwara na huyu huyu ni yeye CCM...
Wanabodi habari za siku
Nimekaa nikaangalia namna nchi yetu tunavyoendesha Chaguzi zetu hasa huu Uchaguzi mkuu, na zaidi hapo kwenye Urais.
Urais ni level kubwa sana ya Kiutawala na Uongozi nchi hii na karibu nchi zote Duniani. Rais hatakiwi kupatikana kirahisi rahisi tu.
Mchakato wa kumpata...
Tumeshazoea Rais wetu akibanwa anampeleka Mwinyi kumuwakilisha katika shughuli na vikao vya nje ya nchi,
Mfano leo Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar kuelekea nchini Qatar kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Jukwaa la Kimataifa la tatu la...
Ndugu wapendwa JF wasalam. Hodi Jukwaani.
Darubini yangu imeona dalili na Ishara ziko wazi kwamba huyu mjamaa anaandaliwa na kwakweli he has all possible qualifications for the post. Just check, uadilifu, uaminifu katika utendaji na utekelezaji mipango SUK, bidii na uchapakazi, hana makundi...
Mtoto Georgina Magesa mwenye miaka 8 leo amekutana na Rais Samia na kukumbatiana naye ikiwa ni Ndoto yake kuongea na Rais pamoja na kutaka kuja kuwa Rais hapo baadaye. Tukio hilo limefanyika kwenye uzinduzi wa Mnara wa Matangazo wa Azam Media Limited leo Mei 18, 2023.
Mimi ni Mtanzania wa kuzaliwa, Nina haki ya kutoa maoni yangu kama ilivyowekwa katika katiba yetu na tamko la Haki za Binadamu. Kwanini nasema unafaa kwasasa?
1. Nimekufuatilia nimeona una uthubutu,
2. Ni mjamaa mbepari, falsafa nzuri kuongoza taifa kama letu.
3.Ni mzalendo na mwadilifu
4...
Kiukweli pamoja na kazi nzuri anazofanya Mh Rais Dr Samia Suluhu Hassan pamoja na watumishi wema na wanaomshauri vizuri juu ya ustawi wa Taida letu la Tamzania ni vizuri tuliangalie na hili.
Mpaka sasa yayumukinika kuwa Wizi na upotevu wa pesa za umma zinazoishia mikononi mwa watu wachache hasa...
Mungu ulie chanzo cha Taifa la Tanzania watu wako tunakuja mbele yako kwa sala na maombi maalumu juu ya Taifa letu Tanzania.
Mungu Baba tunasema Asante kwa kila kiongozi ulie tupa ktk jamuhuri yetu ya Tanzania. Mungu Baba tuna sema Asante kwa kutupa Mashujaa walio lipigania Taifa hili kwa dam...
Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri.
Inashangaza Rais Samia kumfutia mharifu makosa
Hii ni kinyume na katiba.
👇
Barua ya Wazi kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh.Dkt. Samia Suluhu Hassan; Pendekezo la Kuanzishwa kwa Benki ya Wahitimu wa Elimu ya Juu (HEGB).
Mpendwa Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan,
Ni imani yangu kuwa barua hii inakufikia ukiwa na afya njema na mwenye nguvu...
Nimeanza kumfuatilia Tundu Lisu nimegundua kuwa amezeeka ni mzee WA miaka 56 na katika umri huu akiwa babu bado ana aikli za kitoto kabisa yaani mtu mzima lakini muigizaji balaa hafu ukiwalinganisha na anayetembelea nyota yake hawafanani hata kidogo kwa umri huo Tundu Lisu hajajenga hata Choo...
Mjadala ulioshika kasi nchini ni madai ya Katiba mpya, hasa kutoka vyama vya upinzani.
Naweka bandiko hili baada ya kusoma michango wa ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza. Nanukuu baadhi ya michango yake:
Hoja ya...
Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Mambo ya China ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Humphrey Moshi amesema, ziara ya rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan nchini China itaimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili.
Profesa Moshi amesema, ziara ya rais Samia nchini China si kama tu ni...
Najua aliye rithi uraia yupo Maputo, Makamu wake yupo nje ya Africa amepeleka umbea wake yakuwa samaki wa ziwa Victoria wanaoshwa na maji ya mahitii
Sasa anashikia Ikulu ni Kassimu Majaliwa na ndio maana na Tozo ameziondoa Jana mbona TBC mnalipoti KUWA ni Waziri mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.