rais wa tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Rais Samia arejea nchini akitokea Afrika Kusini kuhudhuria uapisho wa Rais Cyril Ramaphosa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, amerejea na kuwasili salama kabisa akiwa mwenye furaha, bashasha na tabasamu katika ardhi ya nchi yake usiku huu akitokea Afrika ya Kusini. Ambako alikwenda kuhudhuria sherehe za...
  2. U

    Ikitokea Makonda amekuwa rais wa Tanzania huko mbeleni unashauri mambo gani yawe kipaumbele chake siku 100 za kwanza madarakani?

    Wadau hamjamboni nyote? Hakuna ajuaye ya kesho na mipango ya Mungu siyo mipango ya mwanadamu Ni kuhusu Mheshimiwa Paulo Makonda Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa sasa. Naomba maoni yenu kuhusu mambo kumi (10) ya kipaumbele unayopendekeza Mheshimiwa Makonda aanze nayo miaka ijayo ikitokea...
  3. Meneja Wa Makampuni

    Kwanini Rais wa Tanzania hajawahi kutoka kwenye royal family?

    Haya ni maswali tunapaswa kujiuliza na kuyaweka kichwani. Ni kwanini Rais wa taifa letu hajawahi kutoka Royal family. Yaani ngoja niweke picha ya Ruto:
  4. mchawi wa kusini

    Natabiri Paul Makonda atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2030

    Habari Wana JF Nisipende kuzunguka Sana Ni Kwamba PAUL MAKONDA anaenda Kuwa Raisi Wa Jamuhuri Ya Muungano wa Tanzania mwaka 2030 tuombeni uhai Ukweli Ni kwamba Paul makonda anapitia wakati mgumu sana ila huwa anakuwa na uvumilivu wa Kuyabeba wengi Wenu Mnamchukia sana Huyu Mwamba naamini Mungu...
  5. J

    Pre GE2025 Zitto Kabwe kugombea Urais wa Tanzania 2025, Jimbo la Ubunge Kigoma mjini anawaachia Vijana wa ACT Wazalendo

    KC Mstaafu wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amekubali ombi la Mh. Ismail Jussa wa Zanzibar aliyemtaka agombee Urais wa JMT 2025 badala ya kurejea bungeni kama ilivyopangwa. Zitto Kabwe amekubaliana na ombi hilo na kusema Sasa yuko tayari kuwa Rais wa JMT mnamo Uchaguzi mkuu wa 2025 na kwamba Ubunge...
  6. Ketoka

    Siku akitokea Mzanzibar mwenye hila mbaya akawa Rais wa Tanzania, nani atalinda maslahi ya Tanganyika?

    Kuna haja kwa kipindi hiki kuangalia katiba zetu upya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hairuhusu Rais aliyopo madarakani au kustaafu kushtakiwa kwa kosa lolote lile Je siku akitokea Mzanzibar akawa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa makusudi ya kulindwa kisheria na...
  7. Pang Fung Mi

    Kwanini Rais wa Tanzania amefanya upendeleo wa makusudi kwa mikoa ya Pwani na Tanga kuwa na Mawaziri wengi kuliko mikoa mingine?

    Shalom, Tafadhari nakaribisha mjadala wa wazi katika hili. Rais amethubutu vipi kuvunja kwa makusudi utaratibu wa uwiano wa uwakilishi kimimkoa na kikanda katika uteuzi wa Baraza la Mawaziri, kuna udhaifu gani dhidi ushauri katika misingi ya mila na desturi. Kuna nini nyuma upendeleo huo wa...
  8. Pang Fung Mi

    Kwanini Rais wa Tanzania amefanya upendeleo wa makusudi kwa mikoa ya Pwani na Tanga kwenye Baraza la Mawaziri?

    Shalom, Tafadhari nakaribisha mjadala wa wazi katika hili. Rais amethubutu vipi kuvunja kwa makusudi utaratibu wa uwiano wa uwakilishi kimimkoa na kikanda katika uteuzi wa Baraza la Mawaziri, kuna udhaifu gani dhidi ushauri katika misingi ya mila na desturi. Kuna nini nyuma upendeleo huo wa...
  9. Stephano Mgendanyi

    Ludewa Press Conference - Miaka Mitatu ya Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan

    kuu wa Wilaya ya Ludewa- Mhe Victoria Mwanziva ameunga na Uongozi wa Chama na Serikali Wilayani Ludewa kuzungumza na vyombo vya Habari juu ya Miaka Mitatu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan- Wilayani Ludewa. Mheshimiwa Rais ameendelea kuonekana katika...
  10. R

    Ni wakina nani walitaka Samia asiapishwe Rais wa Tanzania? Walitaka nani aapishwe? Kama CDF asingesimama imara nini kingetokea?

    Awali akina Lissu waliwahi kusema kuna watu walitaka SSH asiapishwe kama Rais wa Tanzania. Lakini katika mahojiano yake hakuna Sehemu Jaji Mkuu wala Spika anatajwa kushiriki mashauriano ya kumwapisha Mhe. Samia. Kwa kauli ya CDF Mabeyo ni kweli kwamba wapo watu walitaka asiapishwe kama Rais...
  11. I

    Kwanini wapo watu wanamuomba Rais Samia Suluhu kuendelea kuwa Rais wa Tanzania?

    Na Mwl Udadis, DSM-CBD Kwa sisi waumini wa makanisa ya Orthodox tunaamini sana katika kweli isiyochanganywa na busara za waja japo tunaheshimu sana imani za watu wengine. Natumia falsafa ya kweli hiyo ninayoiishi kukupa ujumbe ambao unaoweza kukupa picha ya yajayo katika uga wa siasa za...
  12. E

    Ina maana Hayati Ali Hassan Mwinyi alikuwa Rais wa Tanzania bila kugombea ubunge

    Habari. Jana nimefatilia historia ya mzee Mwinyi, sikuona sehemu yeyote alipogombea ubunge. Amefanikiwa kuwa Rais wa Zanzibar na Tanzania bila kugombea ubunge wa Jimbo sehemu yeyote ile. Huyu mzee alikuwa na bahati sana Nawasilisha
  13. Mjanja M1

    Rais wa Tanzania Samia aagiza majeruhi wote waliotokana na ajali iliyoua watu 25 mkoani Arusha watibiwe bure

    Naibu Waziri wa Afya Dkt Godwin Mollel amesema Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameagiza majeruhi wote waliotokana na ajali iliyoua watu 25 mkoani Arusha watibiwe bure Dkt Godwin Mollel amesema hayo leo Februari, 25, 2024 alipowajulia hali majeruhi wa ajali hiyo iliyohusisha magari manne...
  14. BICHWA KOMWE -

    Dkt. Tulia Ackson anastahili kuwa Rais wa Tanzania

    Huyu dada ni kichwa haswa, amenyooka kiakili kama rula. Hababaiki wala hababaishi.   Wakili Msomi Dr. Tulia Ackson atatufaa sana mwaka 2025. Samia akae kando atupishe tujipatie chuma hiki cha kisheria. Sijaona mwanamke mwingine yeyote nchini mwenye uwezo wa kitaaluma na kisiasa unaofua dafu kwa...
  15. mwanamwana

    Pre GE2025 Makonda: CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa. Lissu hawezi kuwa Rais wa Tanzania, anaishi nje na kuja nchini kimatukio

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi, Uenezi na Mafunzo Paul Makonda akiwa mkoani singida Makonda Januari 25, 2024 amesema kuwa ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuna mgawanyiko unaochochewa na uwepo wa makundi mawili ambayo yote yanataka kumuweka Mwenyekiti wa Chama hicho...
  16. Mohamed Said

    Suala la Bandari TEC hawakupata kama walivyozoea

    Anachojaribu kukifanya huyu msemaji ni kutaka wasiokuwa Wakatoliki waamini kuwa Kanisa Katoliki bado lina nguvu ile ile iliyokuwanayo kabla ya sakata la "Waarabu" na Bandari ya Dar-es-Salaam. Kanisa Katoliki katika sakata hili halikupata kile ambacho wamezoea kupata kuanzia wakati wa ukoloni...
  17. Kijana LOGICS

    Rais Samia huwa haongelei ajira kwa vijana wasio na kazi kama marais wa Kenya na Rwanda

    Huwezi kusikia hâta siku MOJA rais Samia akisema serikali itafanya moja MBILI Tatu kuajiri vijana jobless Tanzania. Ni kama vijana wamesahalika kabsa hâta ajira zikitoka zinakua chache mno. Kama VP serikali iongeze Kodi vijana jobless wapatiwe ajira kutokana n'a pesa za tozo Mfano rais wa...
  18. J

    Wanaomkosoa sana Samia sasa hivi ndio watakaomkumbuka siku Mwigulu au Makonda ndio Rais wa Tanzania

    Tanzania ina matatizo mengi, na Samia anastahili lawama kwa baadhi ya matatizo yanayoikabiki Tanzania kwa sasa kama hili la mgao wa umeme n.k Lakini kama wewe unaamini kama mimi kuwa maendeleo ya watu yanapaswa kuendana na uhuru, umoja na mshikamano wa taifa yafaa tukumbuke tulikotoka na ku...
  19. Lord denning

    Rais wa Tanzania 2030, kipaumbele chako kiwe mipango miji

    Kusema kweli kwa asilimia 98 nina amini bila shaka kuwa Jamii kubwa ya Watanzania wana mtindio wa ubongo, yaaani hawawezi kuwaza na kufikiri vizuri. Jambo kuu linalonifanya kuamini hivi ni kwa namna ninapotembea mikoa mbalimbali nchini na kuona jinsi wananchi wanavyojenga bila mpangilio na wala...
  20. GENTAMYCINE

    Mwana JamiiForums anayehoji kwanini Rais wa Tanzania akiwa ni Mkristo lazima awe ni Mkatoliki anatuaibisha 'Lake Zone Geniuses' wote

    Hili linajulikana tokea nchi hii inapata Uhuru na lipo katika Makubaliano ya Siri yenye Kiapo Kikali tena chenye Laana Kubwa kama likikiukwa / kikikiukwa ( ukibisha hili Huna Akili ) Inasikitisha sana na GENTAMYCINE nimesikitika kumuona Mtu ambaye amezaliwa katika Familia ya Mfumo ( System ) na...
Back
Top Bottom