Huyu dada ni kichwa haswa, amenyooka kiakili kama rula. Hababaiki wala hababaishi.
Wakili Msomi Dr. Tulia Ackson atatufaa sana mwaka 2025. Samia akae kando atupishe tujipatie chuma hiki cha kisheria.
Sijaona mwanamke mwingine yeyote nchini mwenye uwezo wa kitaaluma na kisiasa unaofua dafu kwa...