rais

  1. R

    JamiiForums Tanzania Tumsaidie Rais kupata majina ya watu wanaofaa kupewa uwaziri, anatusikiliza

    Mhe. Rais anatamamani Sana kupata watu wakumsaidia kwenye uwaziri; lakini may be Hana majina mengi ya watu wanaofaa na hivyo kulazimika kutumia majina yale yale. Great thinkers tunaweza kutumia fursa hii kumsaidia baadhi ya majini anayoweza kuyatupia macho aboreshe Baraza la Mawaziri Uzi huu...
  2. JamiiForums Tanzania Rais wa Benki ya Dunia adai Mikopo ya China kwa Afrika imejaa Mitego na haina uwazi

    Rais wa Benki ya Dunia (WB), David Malpass, amesema ana wasiwasi kuhusu baadhi ya Mikopo inayochukuliwa na Mataifa yanayoendelea Kiuchumi Barani #Afrika kwa maelezo kuwa Masharti yake mengi hayana uwazi. Kauli hiyo inafuatia mvutano wa madeni kwa baadhi ya Nchi zikiwemo #Ghana na #Zambia ambazo...
  3. JamiiForums Tanzania Kikao Kamati Kuu ya CCM Kimeitaka Serikali Kuwachukulia Hatua Haraka Waliotajwa ripoti ya CAG na TAKUKURU

    Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichoketi hii leo tarehe 1 April 2023 chini ya Uenyekiti wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kimetoa maazimio yafuatayo: 1. Ofisi ya CAG na TAKUKURU Zimepongezwa kwa kufanya kazi kwa weledi 2. Serikali...
  4. JamiiForums Tanzania DOKEZO Wana Rorya tunamuomba, Rais Samia aturudishie Utegi Farm

    Habari wazalendo wenzangu! Hope mu wazima wa afya! Katika halmashauri ya Wilaya ya Rorya, kuna eneo lilokuwa likitumika na Utegi Dairy kipindi cha wakoloni sijui. Nimezaliwa miaka ya 80, kiwanda kile kilikuwa hakitumiki mifugo ila walikwepo wachache, walikamuwa maziwa na kwenda kuuza Tarime na...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Walioitwa 'stupid' na Rais bado wapo ofisini wanakula kiyoyozi!

    Lile neno stupid kwenye nchi zilizostaarabika lilipaswa kuambatana na barua yakuomba kukaa pembeni Kwa watu wafuatao; 1. Waziri mwenye dhamana na sekta ya usafiri kwa Tanzania Makame Mbarawa. 2. Afisa Masuuri (Katibu Mkuu wa wizara husika). 3. Waziri wa Fedha ambaye ndiye mlipaji. 4. Maafisa...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nani alikwambia ukiwa Rais au high level position Kuna mashost na marafiki?

    Kuna watu wanadhani ukiwa kiongozi wakitaifa utaendelea kuwa na mashost na marafiki... If Kuna kiongozi anadhani anaweza kuwa na mashost na marafiki ktk kuwa kiongozi basi anachimba shimo refu ktk uongozi wake? Kama unafikiri unapenda mashost na marafiki acha kuwaza kuwa kiongozi wakitaifa maana...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amewezesha wasichana zaidi ya 6,000 kurejea shuleni

    Mradi wa kuimarisha ubora wa elimu ya sekondari kwa njia mbadala (SEQUIP) umefanikiwa kusajili wasichana 3,616 kwa mwaka 2023 na 3,333 kwa mwaka 2022 wenye umri kati ya miaka 13 hadi 21. Wasichana hawa wanatarajia kurudi shule kuendelea na elimu ya sekondari baada ya Rais Samia Suluhu Hassan...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nani atazikwa na hela?

    Ni kauli fupi sana lakini nzito kwelikweli. Akionyesha kukerwa na majizi Rais Samia aliitoa kauli hii. Majizi yote hakuna linalolala kwenye vitanda viwili, vyumba viwili wala kula sahani mbili za ugali kwa wakati mmoja, wanaiba na kurundika pesa ambazo wataziacha wakati wakifa. Pesa hizo mara...
  9. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Museveni asema Uganda itaisaidia Urusi Wanajeshi wake ikiwa itatishiwa na Mabeberu

    Mtoto wa kiume wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni Muhoozi Kainerugaba alitangaza siku ya Alhamisi kwamba nchi yake itatuma wanajeshi kuilinda Moscow ikiwa itakabiliwa na vitisho. "Niite 'Putinist' ukipenda, lakini sisi, Uganda tutatuma wanajeshi kuilinda Moscow ikiwa itawahi kutishiwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Tumsaidie Rais wetu kwa kuwazomea hawa wezi wa Mali ya Umma bila kuchoka

    Tumesikia madudu ya kutisha, kama yalivyobainishwa na CAG, namna watanzania wenzetu, wasio na uzalendo hata kidogo, namna wanavyotafuna fedha zetu za Umma bila woga, Kwa kutuibia mabilioni ya pesa. Hivi Hawa watumishi wachache wa Umma, wanatuona watanzania wote kuwa ni wajinga? Hivi hizi...
  11. JamiiForums Tanzania Ikulu: Rais Samia na viongozi mbalimbali wakati wa futari leo Machi 30, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mgeni wake Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris wakati akiwasili kwa ajili ya Futari Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Machi, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na...
  12. JamiiForums Tanzania SI KWELI Marekani yawawekea vikwazo viongozi Kenya kwa kuchochea vurugu, yumo Naibu Rais

    Kumekuwepo na taarifa kwenye mitandao ya kijamii lakini pia gazeti la Mwananchi limeandika kuwa Serikali ya Marekani imewawekea vikwazo wanasiasa wanne wa Kenya pamoja na familia zao akiwemo Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua baada ya kupata taarifa kuwa wanasiasa hao walipanga na kufadhili...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia alisema wajiuzulu/wapishe nafasi zao. Akina nani hao? ebu tuwataje...

    Wana JF habari zenu. Mh. Rais wetu Mama Samia, jana akiongea baada ya kupokea ripoti ya CAG Ikulu, Dar es Salaam, alisema kwa ukali sana, waliohusika na ongezeko la bei ya ndege ya mizigo ya ATCL kutoka $ 37 mil hadi $ 86 mil wajiuzulu haraka, yaani wapishe nafasi zao haraka sana. JF tuweke...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Kikwete alipodondoka jukwaani mwaka 2005 na jinsi itifaki za Kiusalama zilivyobadilika

    Mwaka 2005 wakati Jakay Mrisho Kikwete akijinadi kuomba kura katika uchaguzi mkuu, siku ya kufunga kampeni alianguka pale Jangwani. Hii ikaleta mabadiliko makubwa ya kiulinzi katika korido za PSU. Kabla ya Kikwete, yaani kuanzia Nyerere, Mwinyi hadi Mkapa walikuwa wakisimama jukwaani...
  15. JamiiForums Tanzania TISS mnatuangusha tunaowaamini kwa kutomsaidia Rais na Mali za Taifa letu

    TISS inawezekana vipi Mtu anakopa au anaiba Pesa za Watanzania na Kukimbia nchi halafu hamjui? TISS kuna Matukio mengi sana yanaendelea nchini ambayo mna Dhamana nayo Kiusalama ila huwa hakuna hatua mnazochukua Kukabiliana nazo. Hivi TISS mnajua kuwa mnaaminika n kuheshimika sana na Watanzania...
  16. JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Ziara ya Makamu Rais wa Marekani, Kamala Harris ina faida gani kwa Tanzania?

    Tanzania ina ugeni wa Makamu Rais wa Marekani, Kamala Harris ambaye amefika akiwa katika ziara yake ya Nchi kadhaa Barani Afrika, ambapo pia ratiba yake ni kupita yatika mataifa ya Ghana na Zambia. Kitendo cha kioongozi huyo ambaye taifa lake lina nguvu kubwa Duniani kuichagua Tanzania kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais, tunakuomba uvunje Baraza la Mawaziri limekuangusha na limetuangusha Watanzania

    Mheshimiwa Rais, ripoti ya jana uliyoipokea imebeba maudhi mengi sana dhidi ya serikali unayoiongoza na Taifa. Kama wasaidizi wako hawajakudokeza basi pokea taarifa kuwa upo ukaribu usio wa kawaida kati ya maafisa masuuli na wakuu wa sera yaani wizara ama mawaziri wako. Ukifuatilia kwa makini...
  18. JamiiForums Tanzania Nimefurahi sana kumuona Rais Samia akiwa amekasirika

    Jana nilifarijika Sana kuona Rais wetu kipenzi Mama Samia Suluhu Hassan akiwa amesarika na kuona hadharani wale wote wanaotafuna Mali za nchi. Alilazimika mpaka kutumia neno '' Stupid'' katika hotuba yake. Siku za nyuma nilikuwa naingia na wasiwasi juu ya kauli zake za ' 'sitafoka" sitaki...
  19. JamiiForums Tanzania Breaking News: Makamu wa Rais wa Marekani aomba kukutana na Washindi wa Majukwaa JamiiForums

    Mwenye Suti Kali naomba aniazime.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kumradhi Rais Samia, kauli yako kuhusu watumishi wa umma wafujaji naona haipo sawa

    Wanajukwaa nawapungia mkono wa salam Leo akipokea ripoti ya CAG iliyoibua madudu lukuki Rais Samia aliongea mengi lakini nimeona nigusie kauli moja ambayo inaonekana kuwapa mwanya wabadhirifu. Amesema kila mwaka kuna madudu na wahusika wa ubadhirifu wanahamishwa tu ofisi. Rais Samia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…