rais

  1. JamiiForums Tanzania Majizzo: Nimeumia sana Hayati Rais Magufuli alikubali kuja kuzindua jengo letu la Efm

    Kupitia ukurasa wa Instagram wa mkurugenzi wa kituo cha habari cha Efm na TVE, Mbwana Francis Ciza alimaarufu Majizzo ameeleza namna alivyokamilisha taratibu zote za hayati Magufuli kuja kulizindua jengo lao la kituo hicho cha habari, Majizzo ameeleza kuwa – “Moyo wangu umejawa na maumivu...
  2. JamiiForums Tanzania Hoja ya kuongezewa muda wa Rais kubakia madarakani itaendelea kwa Rais Samia Suluhu Hassan?

    Awali ya yote tupeane pole kwa msiba mkubwa wa kuondokewa na Mh Rais John Pombe Magufuli,hakika hayakuwa haya maisha ya dunian ila ni kitu chenye kupita tu. Hapa karibuni kulikuwa na hoja ya kumuongezea muda wa kubakia madarakani Mh Rais John Pombe Magufuli na wengine wakaenda mbali na kusema...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Rais Kenyatta katika ubora wake na funzo jingine kwetu

    Mabibi na mabwana huyu ndiye aliye tutoa ushamba pale Dodoma majuzi: Nafasi hizi za kujifunza huwa haziko siku zote. Janga hili linahitaji jitihada za makusudi sana na hasa kutokea juu. Eeh mola wetu umjalie mama Samia hekima ya kutambua kwanini umempa wadhifa huu sasa. Bila shaka huyu...
  4. JamiiForums Tanzania Uongozi ni hekima na busara, Rais Samia ana sifa zote mbili

    Uongozi sio misuli au kubobea sana kwenye fani fulani. Uongozi hauhusiani na kunyanyua vitu vizito au kufanya vitu mwenyewe mwenyewe, bali uwezo wa kuunganisha watu na kuwasaidia kufikia malengo ya pamoja. Dunia haina tatizo la wataalam wa vitu mbalimbali, bali ina tatizo kubwa la uhaba wa watu...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina. Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki. Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Maneno haya ya Kikwete kwa Rais Samia yana ujumbe mzito mno

    Katika hotuba yake kwenye mazishi ya JPM, Jakaya alisema: "Mimi na wenzangu tuko na wewe. Tutume tutaitika. Usipotutuma tutaendelea na mambo yetu"- JK My Take: wenzake kina nani? Mambo yao yepi?
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu, tunamuomba Kigwangalla tena Wizara ya utalii, anaweza

    Pole kwa msiba mzito wa hayati baba yetu. Naomba kudeclare interest. Mimi ni Tour Guide nipo Arusha. Katika kikao Cha Bunge lililopita kwa Mara ya Kwanza nilimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii akijibu maswali hasa la Mbunge wa Arusha Mjini Mh Gambo nilishtuka Mh Ndumbaro hajui, narudia...
  8. JamiiForums Tanzania Ungekuwa Rais Samia nani ungeanza kumtimua?

    Hakuna ubishi Rais Samia Suluhu Hassan angependa awe na timu yake itakayomwezesha kutawala bila hofu hadi muhula aliorithi uishe. Hivyo, wapi wengi watakaoangukiwa na shoka lake kwa mamlaka aliyopewa kikatiba. Mie ningependekeza aanze na Dk Bashiru Ally Kakurwa ambaye alikaririwa akisema kuwa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mahesabu msiyopenda kusikia kuhusu Makamu mpya wa Rais

    Sequence of events: Suppose Kundi mojawapo katika wanaotaka nafasi hiyo wana mshikamano na Spika. Halafu mtu wao anateuliwa kuwa makamu wa rais. Bunge linampitisha kwa kauli moja, anaapishwa kuwa makamu wa rais Baada ya miezi michache wabunge wanaanza kuhoji ufanisi wa rais. Hoja ya...
  10. JamiiForums Tanzania Kama taifa tuna katiba isiyofaa, tumuombe Mungu Rais Samia Suluhu asipate kiburi. Vinginevyo ni majanga

    Taifa letu lina katiba mbaya sana maana imemrundikia Rais madaraka makubwa mno. Sioni umuhimu wa kutaja ibara zilizompa ais mamlaka makubwa. Lakini toka ibara ya kwanza mpaka ya mwisho rais wa JMT ana mamlaka makubwa sana. Anaweza kufanya chochota anachotaka na hakuna wa kumuuliza. Na hii huwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu Walinzi wa Hayati Rais Magufuli

    Ningependa kufahamu weledi wa hawa walinzi wawili wa Hayati Rais John Pombe Magufuli. Naona huyu mlinzi mweusi na huyo mwenye sigjda wamekuwa wakipokea sifa kemkemu kutoka kwa Watanzania kwenye mitandao ya kijamii. Mwenye kujua chochote kuhusu taaluma yao atujuze.
  12. JamiiForums Tanzania Zimebaki siku nne tu kwa mujibu wa katiba kumtangaza, kuthibitishwa na bunge na kuapishwa kwa Makamu wa Rais

    Salamu wakuu Kuanzia tarehe 17/3/2021 mpaka leo ni siku kumi. Kwakuwa katiba inatamka ndani ya siku 14 makamu awe amepatikana, basi sasa Rais na chama wamebakiwa na siku 4 kutuletea makamu. Niwatakie kila la heri na watuletee mtu mwenye uwezo.
  13. JamiiForums Tanzania Buriani Rais magufuli, till we meet again

    BURIANI RAIS MAGUFULI,TILL WE MEET AGAIN. Leo 18:30hrs 26/03/2021 Yapo maisha baada ya kifo,kuthibitisha hilo,turejee kufa na kufufuka kwa Bwana wetu Yesu Kristo,Death is not a full stop but a comma,there is life after death,Rais Magufuli umeenda kimwili tuu ila kwa kazi ulizofanya katika...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu: Mkikidhi vigezo, Chato tutaifanya kuwa Mkoa

    Kajibu hivi 'Suala la Chato kuwa Mkoa nimeambiwa tayari mchakato umeanza naelekeza lishughulikiwe kama vigezo vimekidhi Chato iwe Mkoa na kama vigezo havijakidhi tuwaelekeze nini cha kufanya ili viweze kukidhi na tumuenzi Hayati Magufuli.' Ni jibu zuri sana sana na nijibu la kiuongozi na sio...
  15. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

    Fuatilia mbashara hapa RAIS Samia Suluhu Hassan leo ataongoza waombolezaji kumzika Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, John Magufuli. Jeneza lililobeba mwili wa Hayati Dkt. Magufuli likiwa Kanisani kwa ajili ya Misa ya Mazishi Kaburi la Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli Mama Janeth...
  16. JamiiForums Tanzania Mambo matatu aliyokuwa nayo Hayati Dk. John Pombe Magufuli kulingana na Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete

    Bila kuzungusha sana uzi mambo hayo ni; (i) Kugusa maisha ya wengi (ii) Kusifiwa akiwa hai (iv) Kuondoka wakati bado anahitajika. Mambo haya kwa ujumla wake kulingana na hotuba iliyosomwa na Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete leo ni bahati aliyokuwa nayo Hayati D.k John Pombe Joseph Magufuli.
  17. JamiiForums Tanzania Kuna siri gani ambayo Jenerali Venance Mabeyo anataka kumpa Rais Samia Suluhu?

    Wakati wa hotuba yake fupi huko Chato, General Mabeyo alitaka kuzungumza kitu ila akajizuia badala yake akamwambia Rais Samia kuwa suala hilo atamuona ofisini wataliongea. Je, ni suala gani hilo au ni siri gani hiyo kubwa namna hiyo?
  18. JamiiForums Tanzania Sababu 6 kwanini makamu wa Rais awe Mwanamke

    Sababu... 1: Kuhofu uwezo wa mwanamke ni kuvunja katiba. Maana katiba inamtambua na nchi haingozwi kwa tahadhari za kitamaduni bali kikatiba. 2: Tunaowanawake waliowahi kushika vyeo zaidi ya rais. Getruda Mongera spika wa afrika, Mh Migiro katibu UN, lkn waliofanya vzri katika nafasi kubwa...
  19. JamiiForums Tanzania Je, ikitokea Rais Muislam amefariki, atapewa heshima zote kama heshima anayoipata Rais asiye Muislam?

    Ninahitaji kufahamu kama ikiwa tumepata msiba wa rais ambaye ni muislamu,je atapata heshima ya kuagwa kama anayoipata rais ambaye si muislamu? Au taratibu za kidini zitafuata mkondo wake? Mfano Rais afariki asubuhi mchana wa saa saba azikwe na habari yake iishie hapo?
  20. B

    JamiiForums Tanzania Protocol: Kwanini Mama Janeth Magufuli kuondoka uwanjani kwenda Makaburini kabla ya Mhe. Rais?

    Nimefuatilia matangazo kuhusu utaratibu wa kesho msibani, pia nimepitia ratiba. Naomba majuzi wa protocol watupe elimu, kwanini Mama Janeth ataondoka wa Kwanza uwanjani kwenda Makaburini nakumwacha Rais? Tumezoea kumwona Rais akitangulia kuondoka maeneo mengi anayofika kikazi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…