Je, ikitokea Rais Muislam amefariki, atapewa heshima zote kama heshima anayoipata Rais asiye Muislam?

Je, ikitokea Rais Muislam amefariki, atapewa heshima zote kama heshima anayoipata Rais asiye Muislam?

Naja naja

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
747
Reaction score
1,559
Ninahitaji kufahamu kama ikiwa tumepata msiba wa rais ambaye ni muislamu,je atapata heshima ya kuagwa kama anayoipata rais ambaye si muislamu?

Au taratibu za kidini zitafuata mkondo wake? Mfano Rais afariki asubuhi mchana wa saa saba azikwe na habari yake iishie hapo?
 
Yah iko hivyo mkuu kwa rais muislamu mkusanyiko unaweza kuwa sehemu moja tu au mbili kama ni kuaga but atakuwa ndani ya jeneza hakuna atakayemuona au familia inaweza kukataa hata hivyo ila wananchi wakatoa heshima ya kumzka tu hasa kumsindikiza njiani na kama akiwa ni rais mwislamu hasa anaweza kufa asubuhi saa 10 tukazika hatunaga mbwe mbwe waislamu refer kifo cha maalim seif
 
Ila inabidi ili suala waliangalie upya, yaani rais azikwe tu chap chap kama raia wa kawaida? Imagine kama Magufuli angekuwa muislamu, yani tungemzika saa 4 asubuhi ya tarehe 18 sidhani kama kiu ya Watanzania ingekatika kirahisi.
 
Ila inabidi ili suala waliangalie upya,yani rais azikwe tu chap chap kama raia wa kawaida ? Imagine kama Magufuli angekuwa muislamu ,yani tungemzika saa 4 asubuhi ya tarehe 18 sidhani kama kiu ya watanzania ingekatika kirahisi.
Takwa la Mungu ni bora kuliko Kiu ya kiumbe chochote achana na baadhi ya wanafiki.

Hakuna bora ktk kumridhisha kiumbe na kumuasi muumba.
 
Utaratibu wa dini na msimamo wa familia utamfanya maiti azikwe mapema sana.

Wakati mwingine hizi mbwembwe za kusubirishana zinatokana na udhaifu wa ndg wa marehemu na kukosa msimamo wa kutawala msiba.

Maafsa akifa mkubwa kwao ni dili la kutengeneza hela, wapo tayari kumuacha maiti hata asizikwe milele kama farao ili abaki maonesho watengeneze hela.

Angalia walivyo mtaabisha maksudi MamaJaneth.
 
Umesahau haraka Maalim Seif makamu wa Raisi Zanzibar uliona alivyozungushwa?
 
Yah iko hivyo mkuu kwa rais muislamu mkusanyiko unaweza kuwa sehemu moja tu au mbili kama ni kuaga but atakuwa ndani ya jeneza hakuna atakayemuona au familia inaweza kukataa hata hivyo ila wananchi wakatoa heshima ya kumzka tu hasa kumsindikiza njiani na kama akiwa ni rais mwislamu hasa anaweza kufa asubuhi saa 10 tukazika hatunaga mbwe mbwe waislamu refer kifo cha maalim seif
Unaweza nipa sababu ya why mnazika mapema? Sababu yenye mantiki na sio sababu ya utamaduni kama kufuga ndevu, au kuvaa suruali fupi au kuvaa kanzu.

Nipe kitu chenye mashiko like, why so necessary
 
Ninahitaji kufahamu kama ikiwa tumepata msiba wa rais ambaye ni muislamu,je atapata heshima ya kuagwa kama anayoipata rais ambaye si muislamu ?

Au taratibu za kidini zitafuata mkondo wake ,mf rais afariki asubuhi mchana wa saa saba azikwe na habari yake iishie hapo?
Ngoja akifa utajua. Sijui hapa dini inaingiaje kama siyo watu kuwaza yasiyowazika na kuleta mambo nje ya wakati wake.
 
Ila inabidi ili suala waliangalie upya,yani rais azikwe tu chap chap kama raia wa kawaida ? Imagine kama Magufuli angekuwa muislamu ,yani tungemzika saa 4 asubuhi ya tarehe 18 sidhani kama kiu ya watanzania ingekatika kirahisi.
Imani yake itafuatwa ambayo ni muhimu zaidi kuliko mapenzi yenu kwake.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Nini hasa dhamira ya mada yako? Unataka mipangilio ya kiserikali ichukue kipaumbele juu ya imani ya mhusika au kinyume chake? Unataka kugonganisha vyombo tofauti kabisa. Tusubiri, ikitokea hivyo viongozi wa wakati huo wataona kipi kinafaa.

Siyo lazima kuandika kwenye 'Standing Orders' kwamba kiongozi akifariki ifanyike kadha wa kadha. Hayo yaishie kwenye kutafuta mrithi na si kuhusu mazishi. Hekima ya viongozi wa wakati husika itumike kufikia muafaka.
 
Unaweza nipa sababu ya y mnazika mapema?sabab yenye mantiki na sio sababu ya utamaduni kama kufuga ndevu. Au kuvaa surual fupi..au kuvaa kanzu
Nipe kitu chenye mashiko like..y soo necessary
kwa mujibu wa dini yetu ya kiislam tumeamrishwa kufanya haraka mambo makuu matatu kwa mwanadamu pindi yatokeapo

kwanza, mtu mwenye kutaka kuslimu akitokea lazima iwe haraka asilimishwe

pili, mwenye kutaka kuoa, ikitokea mtu amefata taratibu zote za kuanzia barua ya posa mpaka mahari bas ndoa yatakiwa ifanyike kwa haraka haina kusubiri

tatu, mtu akifariki hatumueki dini imeamrisha mtu azikwe haraka na wala asinadishwe kama marehem raisi anavofanywa, kuna aibu ndogo ndogo za maiti lazima zisitiriwe na bahati nzuri wanaobahatika kukuona ni baadhi ya ndugu zake sio wote

kwa hiyi tunafata vile tumeamrishwa na Allah S.W

mwengine anaruhusiwa kunisahihisha
 
Sasa wewe unaona kumzungusha marehem wiki nzima ndo heshima?

Why watu wasingefata mwili ulipo?
Why mwili uzungushwe wiki nzima?

Ni Bora mwili ungekaa chato wiki nzima
Watu waende kuliko kuuzungusha wiki nzima.
 
kwa mujibu wa dini yetu ya kiislam tumeamrishwa kufanya haraka mambo makuu matatu kwa mwanadamu pindi yatokeapo

kwanza, mtu mwenye kutaka kuslimu akitokea lazima iwe haraka asilimishwe

pili, mwenye kutaka kuoa, ikitokea mtu amefata taratibu zote za kuanzia barua ya posa mpaka mahari bas ndoa yatakiwa ifanyike kwa haraka haina kusubiri

tatu, mtu akifariki hatumueki dini imeamrisha mtu azikwe haraka na wala asinadishwe kama marehem raisi anavofanywa, kuna aibu ndogo ndogo za maiti lazima zisitiriwe na bahati nzuri wanaobahatika kukuona ni baadhi ya ndugu zake sio wote

kwa hiyi tunafata vile tumeamrishwa na Allah S.W

mwengine anaruhusiwa kunisahihisha
Upo sahihi dada.
 
Back
Top Bottom