Tayukwa
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 2,185
- 4,425
Muumba wa mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake.huyo mungu wako ni yupi??
Muumba wa mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake.huyo mungu wako ni yupi??
Ila inabidi ili suala waliangalie upya,yani rais azikwe tu chap chap kama raia wa kawaida ? Imagine kama Magufuli angekuwa muislamu ,yani tungemzika saa 4 asubuhi ya tarehe 18 sidhani kama kiu ya watanzania ingekatika kirahisi.
Uongo refer kifo cha Maalim Seif Makamu wa Raisi wa Zanzibar
Kweli kabisa mwili kuzungushwa sidhani kama ni heshima, ingekuwa aagwe Dar alikofia walio Dodoma, Zanzibar sijui Tandahimba, waufuate mwili Dar, kisha kutoka Dar ni Chato mazishi.Sasa wewe unaona kumzungusha marehem wiki nzima ndo heshima?..
Why watu wasingefata mwili ulipo??
Why mwili uzungushwe wiki nzima??..
Ni Bora mwili ungekaa chato wiki nzima
Watu waende kuliko kuuzungusha wiki nzima.
Halafu nimekumiss sana.kwa mujibu wa dini yetu ya kiislam tumeamrishwa kufanya haraka mambo makuu matatu kwa mwanadamu pindi yatokeapo
kwanza, mtu mwenye kutaka kuslimu akitokea lazima iwe haraka asilimishwe
pili, mwenye kutaka kuoa, ikitokea mtu amefata taratibu zote za kuanzia barua ya posa mpaka mahari bas ndoa yatakiwa ifanyike kwa haraka haina kusubiri
tatu, mtu akifariki hatumueki dini imeamrisha mtu azikwe haraka na wala asinadishwe kama marehem raisi anavofanywa, kuna aibu ndogo ndogo za maiti lazima zisitiriwe na bahati nzuri wanaobahatika kukuona ni baadhi ya ndugu zake sio wote
kwa hiyi tunafata vile tumeamrishwa na Allah S.W
mwengine anaruhusiwa kunisahihisha
Marehemu SHAABAN ALLY MHOJA KISHIWA alias TX MOSHI WILLIAM... Asubuhi anatangazwa anafariki... mpk saa 10 kashazikwaWaislam ukifariki asubui,Jioni Tunazika pale Kisutu [emoji120]
Duuuh bonge 1 la ideaSasa wewe unaona kumzungusha marehem wiki nzima ndo heshima?..
Why watu wasingefata mwili ulipo??
Why mwili uzungushwe wiki nzima??..
Ni Bora mwili ungekaa chato wiki nzima
Watu waende kuliko kuuzungusha wiki nzima.
Ila inabidi ili suala waliangalie upya,yani rais azikwe tu chap chap kama raia wa kawaida ? Imagine kama Magufuli angekuwa muislamu ,yani tungemzika saa 4 asubuhi ya tarehe 18 sidhani kama kiu ya watanzania ingekatika kirahisi.
Hata akipata itamsaidia nn ?Ninahitaji kufahamu kama ikiwa tumepata msiba wa rais ambaye ni muislamu,je atapata heshima ya kuagwa kama anayoipata rais ambaye si muislamu ?
Au taratibu za kidini zitafuata mkondo wake ,mf rais afariki asubuhi mchana wa saa saba azikwe na habari yake iishie hapo?
ulishawahi kumuona? au ni hadithi za kufikilika tuMuumba wa mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake.
Alizungushwa kwa siku nyingi kama huyu anayezikwa leo jioni? Kwa siku ngapi? Kutoka wapi kwenda wapi? Naomba ufafanuzi tafadhali.Uongo refer kifo cha Maalim Seif Makamu wa Raisi wa Zanzibar
Sijawahi kumuona, si hadithi za kufikirika.ulishawahi kumuona? au ni hadithi za kufikilika tu
Alizungushwa kwa siku nyingi kama huyu anayezikwa leo jioni? Kwa siku ngapi? Kutoka wapi kwenda wapi? Naomba ufafanuzi tafadhali.
Marehemu anatakiwa azikwe harakaIla inabidi ili suala waliangalie upya, yaani rais azikwe tu chap chap kama raia wa kawaida? Imagine kama Magufuli angekuwa muislamu, yani tungemzika saa 4 asubuhi ya tarehe 18 sidhani kama kiu ya Watanzania ingekatika kirahisi.
wanazikwa kwenye jeneza?atakuwa ndani ya jeneza