Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,504
- 20,293
Na sababu yenye mashiko ya kuzungusha maiti barabarani wiki moja ni ipi?Unaweza nipa sababu ya why mnazika mapema? Sababu yenye mantiki na sio sababu ya utamaduni kama kufuga ndevu, au kuvaa suruali fupi au kuvaa kanzu.
Nipe kitu chenye mashiko like, why so necessary
Au ya kukaa na marehemu hata siku 5 ni ipi kama sio huo huo utamaduni?