Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Ndo maana sio ndugu yako,na hata angekua ndugu yako usingefanya chochote. Alikua Rais wa Jamuhuri ya Muungano
Familia hao hapo chato wala hawana malalamiko ila madebe tupu mnapiga kelele mitandaoni.
Familia hao hapo chato wala hawana malalamiko ila madebe tupu mnapiga kelele mitandaoni.
Yaani mbembelezw muungano kwa mwili wa marehemu?? Mwenyewe alisema anataka afanywe hivyo?? Nadhn nashukuru si ndugu yangu vinginevyo angekiwa ndugu yangu ningeweka historia ktk taifa!!,huwez mzungusha marehemu Kama sanamu la maonesho kwa faida zenu mnaobaki,yy kashamaliza ya duniani,Ni Haki yake kupumzika haraka,kwanza hata wafiwa wanapata faraja mapema ndugu Yao anapohifadhiwa,siku zote za kumzungusha Ni kuwaongezea majonzi wanafamilia
Sent from my CPH1909 using JamiiForums mobile app