Sasa kutokujengea kaburi ndio uzuri. Kuna uzuri gani sasa kwenye hilo?Mzee uzuri wa uislamu hata kama wew ni malkia elizabeth zitafuatwa tu, tena kama wazee wameshika dini hata kaburi lako halitajengewa kama maalim seif,kwa upande wa wenzetu ukienda kwenye makaburi yao unajua kabisa huyu alkuwa anajiweza huyu hajiwez a njoo huku kwetu makaburi yote udongo tu labda umjue mtu kutokana na kibao chake cha kaburi
Nyie watu huwa mnachekesha sometimes.
Ni sawa na mtu aanze kujisifu kukaa kwenye nyumba ya nyasi huku akimcheka anayekaa kwenye ghorofa.