Je, ikitokea Rais Muislam amefariki, atapewa heshima zote kama heshima anayoipata Rais asiye Muislam?

Je, ikitokea Rais Muislam amefariki, atapewa heshima zote kama heshima anayoipata Rais asiye Muislam?

Mfano ni marehemu Dr Omary Juma makamo wa rais enzi za mkapsa
Yah iko hivyo mkuu kwa rais muislamu mkusanyiko unaweza kuwa sehemu moja tu au mbili kama ni kuaga but atakuwa ndani ya jeneza hakuna atakayemuona au familia inaweza kukataa hata hivyo ila wananchi wakatoa heshima ya kumzka tu hasa kumsindikiza njiani na kama akiwa ni rais mwislamu hasa anaweza kufa asubuhi saa 10 tukazika hatunaga mbwe mbwe waislamu refer kifo cha maalim seif
 
Tumien akili..Mungu kawapa akil muweze kuchakata mambo sio mnaenda kama maroboti..tumien akili muslim..ndomana dunia nzima iko against nyiny sabab ni kama maroboti..mnaambiwa jilipue unajilipua kwel.[emoji16]
Just in an ignore list like many others.

Pita ivi
 
Ila inabidi ili suala waliangalie upya, yaani rais azikwe tu chap chap kama raia wa kawaida? Imagine kama Magufuli angekuwa muislamu, yani tungemzika saa 4 asubuhi ya tarehe 18 sidhani kama kiu ya Watanzania ingekatika kirahisi.
Umeona wengine wamekufa kwa kumlilia yeye. Angezikwa faster unadhani yangetokea yaliyotokea?
 
Kwamba yan nataka saana nibishane na nyie...kwakua nyie ni kina nan labda..hunijui skujui hyo kutaka inatoka wap ndugu,.hili ni jukwaa huru
Screenshot_20210326-161458_Chrome.jpg


Shubaamit
 
Umesahau haraka Maalim Seif makamu wa Raisi Zanzibar uliona alivyozungushwa?
Mazingira ndiyo yanakufanya uone kama "alizungushwa". Seif alifia Dar, na kilichotokea ni kusaliwa msikitini Dar na baada ya hapo moja kwa moja akasafirishwa hadi Zanzibar (Unguja). Kutokana na hilo, Unguja pasingekwepeka, kwahiyo napo ikafanyika sala kwenye viwanja vya Mnazi MMoja na shughuli yenyewe ilifanyika ndani ya saa 1. Baada ya hapo, akasafirishwa hadi Pemba. Ratiba yao ilionesha wangetumia nusu saa viwanja vya Gombani na wangetumia nuu saa nyingine msikitini!! Kama angefia Pemba, sidhani kama wangempeleka Unguja let alone Dar es salaam.
 
Na mwili mtupu ulokuwa hauna tena roho mnauweka wa kazi gani..... Mwili wenyewe haukawii kuoza na kunuka inakuwa kazi ya kuuweka madawa na kuurudisha Mochwari kwenye majokofu tu.
Imagine mtu anakufa na kuzikwa baada ya siku 10!!!![emoji15]
 
1.Tunaamin kuwa duniani tunapita na malipo halali na ya haki hutoka kwa mungu,hivyo mtu anapokufa huwa anaona nini anachoenda kukipata hasa kama ni wa peponi huwa anaona mnamchelewesha kwenda kukutana na pepo yake

2. Kwenye mwili wa binadamu kinachotoka ni roho hivyo mwili wake unahisi na kushuhudia kila kitu hvyo kama ukimfinya ataumia,ukimsema atasikia hivyo ukimpeleka kwenye friji yale maumivu atayaskia vile vile kama yuko hai tofauti yake itakuwa ni hawezi kusema tu, hivyo tunaamini kumtembeza na yote hayo ni kama mateso kwa marehemu
Kwa hiyo akizikwa pia anasikia maumivu ya kukandamizwa na udongo, joto na vinginevyo kama kuliwa na wadudu? Tupe elimu zaidi hapa
 
Ila inabidi ili suala waliangalie upya, yaani rais azikwe tu chap chap kama raia wa kawaida? Imagine kama Magufuli angekuwa muislamu, yani tungemzika saa 4 asubuhi ya tarehe 18 sidhani kama kiu ya Watanzania ingekatika kirahisi.
Kwa Mungu wote tuko sawa! Kwa hiyo taratibu za kidini zitafuatwa kwa muislamu yeyote!
 
Utaratibu wa dini na msimamo wa familia utamfanya maiti azikwe mapema sana.

Wakati mwingine hizi mbwembwe za kusubirishana zinatokana na udhaifu wa ndg wa marehemu na kukosa msimamo wa kutawala msiba.

Maafsa akifa mkubwa kwao ni dili la kutengeneza hela, wapo tayari kumuacha maiti hata asizikwe milele kama farao ili abaki maonesho watengeneze hela.

Angalia walivyo mtaabisha maksudi MamaJaneth.
Ni utaratibu Wa serikali na utamadun wetu waafrika
 
Unaweza nipa sababu ya why mnazika mapema? Sababu yenye mantiki na sio sababu ya utamaduni kama kufuga ndevu, au kuvaa suruali fupi au kuvaa kanzu.

Nipe kitu chenye mashiko like, why so necessary
Swali lako umauliza kwa kukalipia sana , punguza sauti kidogo
 
Mimeona maoni ya wadau wetu kweli ni mazuri lakini nataka niseme kwamba Sisi kama serikali hatutafumbia macho mtu yeyote ataye kwamisha shughuli za wananchi wasikini[emoji3] tumejipanga na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vipo imara, watakaoleta fujo wapigwe tu na mimi nasema muwapige eeh, eeh maana ukiambiwa usifanye hiki ukafanya utapigwa tu, eeh!
 
Ngoja tusubiri tuone itakuaje, maana hata ukisema kwa Marais wastaafu trends ilivyo ni kama hapa chini,

Rais wa Kwanza - Nyerere - Mkristo-Kafariki,
Rais wa Pili - Mwinyi - Muislam-Yuko Hai
Rais wa Tatu-Mkapa-Mkristo-Kafariki
Rais wa Nne-Kikwete-Muislam-Hai
Rais wa Tano-JPM-Mkristo-Kafariki
Rais wa Sita-Samia-Muislam-Hai
Yaani ni 3-0 mpaka sasa
 
Unaweza nipa sababu ya why mnazika mapema? Sababu yenye mantiki na sio sababu ya utamaduni kama kufuga ndevu, au kuvaa suruali fupi au kuvaa kanzu.

Nipe kitu chenye mashiko like, why so necessary
Ktk uislam tunaambiwa mambo miongoni mwa mambo muhimu anayopaswa kufanyiwa mwanadamu ni kua akifa azikwe haraka sana,kingine yule ameshakufa hana chake dunia hvyo azikwe ili mengine yaende then tunaambiwa km Shari akakutane nayo au km kheri akakutane nayo kaburini!
 
Ninahitaji kufahamu kama ikiwa tumepata msiba wa rais ambaye ni muislamu,je atapata heshima ya kuagwa kama anayoipata rais ambaye si muislamu?

Au taratibu za kidini zitafuata mkondo wake? Mfano Rais afariki asubuhi mchana wa saa saba azikwe na habari yake iishie hapo?
Tunaassume watafanya kama walivyofanya kwa hayati Maalim Seif
 
Ninahitaji kufahamu kama ikiwa tumepata msiba wa rais ambaye ni muislamu,je atapata heshima ya kuagwa kama anayoipata rais ambaye si muislamu?

Au taratibu za kidini zitafuata mkondo wake? Mfano Rais afariki asubuhi mchana wa saa saba azikwe na habari yake iishie hapo?
Ndio hivyo kila mtu anazikwa kutokana na taratibu za Dini yake.

Akia asubuhi saa 10 watu wanafukia shimoni nduuki!
 
Back
Top Bottom