1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,802
- 10,307
Ye
Yesu alikufa na kuzikwa fasta.
Hizi mbwembwe ni upagani wa kizungu uliotawala dunia.
Mtu akifa ukurasa wake duniani umefungwa.
Msiba unaochukua muda mrefu unaumiza watu sana na hata kumkufuru Mungu.
Mfano Msiba wa Juzi wekufa watu wengi kwa uchungu jambo ambalo lingeepukika kwa kuzikwa mapema.
Kama mtu alizunguka akiwa hai na kusalimiana na watu inatosha.
Wakristo wameweka mambo mengi na kuyafanya kuwa ibada. Yanamchukiza Mungu wakati mwingine mana watu wanatoa maneno ya Kukufuru.
Mtu aliyezaliwa na mwanamke kuna siku atakufa au ataondoka kwa kupaa kama Nabii Eliya au Henoko, kwa vyovyote atafikia mwisho wa kukaa hapa Duniani.
M
Kifo kinawakumbusha wanadamu kuwa maisha haya yanapita kwa kasi. Wakristo wengi wa uongo wakipata maisha mazuri hua wanajisahau na kudhani kuwa maisha hayana mwisho ndio maana wengi wanaishi kwa anasa za mambo ya Dunia na kujilimbikizia mali nyingi kwa ubinafsi mkubwa.
Ukitenda Mema duniani haihitaji watu kuandamana na kujipiga chini ndipo Mwenyezi Mungu aone! Mungu anajua kila kitu hata kile tunachowaficha watu wengine.
Hivyo Wema wa mtu tuuseme akiwa hai na akikosea tumwambie ili atubu. Tusiache mpaka akafa mana hatuna pa kumpeleka zaidi ya Kaburini.
Mungu ndiye mwenye mamlaka ya mwisho na anajua pa kumpeleka mwanadam anapofikia mwisho wa maisha yake hapa duniani.
Tubuni kwa maana ufalme wa Mungu umekaribia sana.
Unaweza nipa sababu ya why mnazika mapema? Sababu yenye mantiki na sio sababu ya utamaduni kama kufuga ndevu, au kuvaa suruali fupi au kuvaa kanzu.
Nipe kitu chenye mashiko like, why so necessary