Je, ikitokea Rais Muislam amefariki, atapewa heshima zote kama heshima anayoipata Rais asiye Muislam?

Ila inabidi ili suala waliangalie upya, yaani rais azikwe tu chap chap kama raia wa kawaida? Imagine kama Magufuli angekuwa muislamu, yani tungemzika saa 4 asubuhi ya tarehe 18 sidhani kama kiu ya Watanzania ingekatika kirahisi.
Eti kiu ya watanzania isingekatika... kiu ya kuzungusha maiti?

Pathetic...
 
Lazima serikali ijipange yaani afariki asubuhi jioni azikwe? Basi akifariki tutafichwa mpaka waweke mambo hata mwezi [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Unaweza nipa sababu ya why mnazika mapema? Sababu yenye mantiki na sio sababu ya utamaduni kama kufuga ndevu, au kuvaa suruali fupi au kuvaa kanzu.

Nipe kitu chenye mashiko like, why so necessary
Uislam ni submission. Ni kukiri kwamba hakuna mola anaepaswa kuabudiwa isipokuwa Allah. Kuabudiwa maana yake ni kufuatwa kila amri inayotolewa.

Sisi tunalelewa kutii yale yote ambayo dini yetu inatuelekeza hata kama akili zenu za kibinaadam zinaona hakuna mantiki. Akili zetu za kibinaadam kuna mambo haziwezi kuyang'amua. Huu ndio ukweli hata kama mtapinga namna gani. Kwahiyo Sisi tumeelekezwa kwamba mtu akifa tumzike haraka iwezekanavyo.

It's a matter of time, it's just a matter of time.

Hapo zamani mtume Muhammad (s.a.w) alipowaambia watu juu ya sifa ya Allah kwamba Qur an 55:19 "anaeziendesha bahari mbili zikutane" na Qur an 55:20 " baina ya hizo bahari mbili kipo kizuizi zisiingiliane" basi watu wale kwa akili zao walimuona huyu anaongea nini???

Kwahiyo sikushangai wewe Leo eti kusema sababu yenye "mantiki"
 
Utaratibu utafuatwa... Protocal na heshima zote zitafuatwa... kelele yazikosekani...
 
Ila inabidi ili suala waliangalie upya, yaani rais azikwe tu chap chap kama raia wa kawaida? Imagine kama Magufuli angekuwa muislamu, yani tungemzika saa 4 asubuhi ya tarehe 18 sidhani kama kiu ya Watanzania ingekatika kirahisi.
Hakuna cha kiu yo yote! Hicho unachokiona ni mbwembwe tu za serikali vinginevyo angeshazikwa na tungeshasahau. Propaganda za serikali ni hatari kupita ukimwi!
 
Mimi kama mimi, siwezi kulalamika kwa nini marehemu hazungushwi kila sehemu/Mkoa kama alivyo fanyiwa magufuli! Kwa mtazamo wangu, hii mizunguko aliyofanyiwa Hayati Magufuli, ni mateso tu kwake na pia familia yake! Na hasa mke wake.

Inatakiwa mtu akifa, pasipo kuangalia wadhifa wake, azikwe mapema. Na sidhani kama ni lazima kila mtu kumuona akiwa ndani ya jeneza.
Naungana nawe, itifaki protocal sijui nini zinaumiza sana, kiukweli mkewe kuna saa pale Dodoma nilifikiriaa anazimia.
Kimuonekano sidhani kama alikuwa ameafikiana na hii mizunguko yote.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Nini hasa dhamira ya mada yako? Unataka mipangilio ya kiserikali ichukue kipaumbele juu ya imani ya mhusika au kinyume chake? Unataka kugonganisha vyombo tofauti kabisa. Tusubiri, ikitokea hivyo viongozi wa wakati huo wataona kipi kinafaa.

Siyo lazima kuandika kwenye 'Standing Orders' kwamba kiongozi akifariki ifanyike kadha wa kadha. Hayo yaishie kwenye kutafuta mrithi na si kuhusu mazishi. Hekima ya viongozi wa wakati husika itumike kufikia muafaka.
Mleta Uzi jibu la Uzi wake anajua sana. Ameleta hapa Jukwaani kuangalia tu reaction ya members.
Siamini kuwa mleta Uzi hajui kuwa mazishi ya kiongozi awaye yote hutegemea misingi ya imani yake.
 
Hakuna cha kiu yo yote! Hicho unachokiona ni mbwembwe tu za serikali vinginevyo angeshazikwa na tungeshasahau. Propaganda za serikali ni hatari kupita ukimwi!
Unajua maana ya 'propaganda' au unajiandikia tu neno lolote lile linalo gonga hodi kwenye kichwa yako?
 
Uislam ni submission. Ni kukiri kwamba hakuna mola anaepaswa kuabudiwa isipokuwa Allah. Kuabudiwa maana yake ni kufuatwa kila amri inayotolewa.

Sisi tunalelewa kutii yale yote ambayo dini yetu inatuelekeza hata kama akili zenu za kibinaadam zinaona hakuna mantiki. Akili zetu za kibinaadam kuna mambo haziwezi kuyang'amua. Huu ndio ukweli hata kama mtapinga namna gani. Kwahiyo Sisi tumeelekezwa kwamba mtu akifa tumzike haraka iwezekanavyo.

It's a matter of time, it's just a matter of time.

Hapo zamani mtume Muhammad (s.a.w) alipowaambia watu juu ya sifa ya Allah kwamba Qur an 55:19 "anaeziendesha bahari mbili zikutane" na Qur an 55:20 " baina ya hizo bahari mbili kipo kizuizi zisiingiliane" basi watu wale kwa akili zao walimuona huyu anaongea nini???

Kwahiyo sikushangai wewe Leo eti kusema sababu yenye "mantiki"
Tumien akili..Mungu kawapa akil muweze kuchakata mambo sio mnaenda kama maroboti..tumien akili muslim..ndomana dunia nzima iko against nyiny sabab ni kama maroboti..mnaambiwa jilipue unajilipua kwel.[emoji16]
 
wanaozungusha na wasiozungusha wote ni kwa ajili ya tamaduni, iweje uhoji tamaduni za wengine na hutaki za kwako zihojiwe?
Si kwel...hata wew ukifiwa na mwanao jion hii roho yako haitotaka mtoto umfukie immediately..ila utataka uwe nae mwanao angalau for sometime...kwahyo hyo si utamadun.ni human nature.we grief...sasa bado nataka sabab yenye mashiko y mnawahisha hvyo?

Nmekwambia vaa viatu vya mwanao wa kumzaa kafa sasa hiv.utataka umzike fasta hvyo...kuwa muwaz...manaa kuna kutaka na kuna kufanya sabab sheria inataka..sasa sema kwel...na kama utasema ungependa mwanao azikwe immediately. Basi nadhan dishi litakua limeyumba ama ni robot kama robot ama una roho mbaya snaa
 
Back
Top Bottom