raisi

  1. Roving Journalist

    Utiaji saini Mkataba wa Tanzania na DP World: Mkataba utakuwa wa miaka 30 na utendaji kazi wake utapimwa kila baada ya miaka 5 na sio miaka 100

    Fuatilia yanayojiri kutoka Ikulu kwenye Halfa ya utiaji saini wa Mikataba mahsusi 3 ya uwekezaji Bandari ya Dar es salaam, leo Oktoba 22, 2023. https://www.youtube.com/live/N6izYMjIOaI?si=O_YQZdZcwAOJWWpD MKURUGENZI MKUU WA TPA, PLASDUCE MKELI MBOSSA Uwekezaji huu wa Serikali kupitia TPA...
  2. Webabu

    Mfalme Abdallah wa Jordan na Rais El Sisi wa Misri waitaka Israel ifungue mpaka haraka

    Juhudi za kuwafikishia raia wa Palestina misaada kwa haraka zimepata nguvu baada ya washirika wawili muhimu wa Israel kupaza sauti zao kwa pamoja. Mfalme Abdallah hapo juzi Alkhamis alitua Cairo bila mwaliko akitokea Italia,Uiengereza na Ujerumani kushauriana na viongozi wa nchi hizo kuhusiana...
  3. Mr Dudumizi

    Hii ndio sababu inayofanya Rais Samia apendwe na kuchukiwa na baadhi ya watu

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Wakuu mimi sio mwanasiasa, na wala sijawahi kujishughulisha na mambo yoyote ya kisiasa. Ila nimekuwa mfuatiliaji na msomaji wa mambo ya kisiasa kupitia vyombo vya habari, mitandao, mikutano mbali mbali ya wanasiasa. Na kiukweli katika kusoma na kufuatilia mambo...
  4. Webabu

    Rais Biden ndiyo kalikoroga kabisa. Asema watakuwa pamoja na Israel kwa kila hali. Na Israel sio waliopiga hospitali ya Gaza

    Raisi Biden haonekani kuwa tofauti na mtangulizi wake raisi Trump.Wote hawachagui lipi la kusema na wakati wa kuyasema maneno yao. Japo taarifa za kukataliwa kutua katika baadhi ya nchi za kiarabu alizopanga kuzitembelea anazo na bado alipotua Israel maelezo yake hayakuwa ya kutuliza hasira...
  5. Webabu

    Rais wa Israel asema Netanyahu ataondoka tu

    Raisi Isaac Hezrog wa Israel amethibitisha kuwa nchi hiyo haijawahi kupata kipigo na madhara tangu vita vya Yom Kipur isipokuwa mwaka huu wakati wa waziri mkuu Benjamin Netanyahu. Katika kumfafanua waziri mkuu huyo, Hezrog amesema Netanyahu ameweza kuhimili misukosuko mingi katika kipindi chake...
  6. Webabu

    Mbwa wa Biden aondoshwa ikulu kwa kung'ata ovyo mpaka walinzi wake

    Jibwa hili linalojulikana kama Commander ameshang'ata wafanyakazi wa ikulu karibia mara 15 Kabla ya Commander, Biden alikuwa na mbwa mwengine aliyeitwa Champ ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 13. Mkasa uliopelekea commander kuondoshwa ni pale mnamp septemba 25 mnyama huyo aliyemng'ata...
  7. Nsanzagee

    Raisi wetu Samia Suluhu, tumwombee dua gani Watanzania ili aachane na Viongozi wasiofaa?

    Tanzania ni nchi moja nzuri sana tena saaana, ila haijabahatika kuwa na mwendelezo wa viongozi wazuri wenye uchungu na nchi Ukweli napenda nisisitize, 17 march 2023, TANZANIA ilipoteza kiongozi mwenye TANZANIA yake hata kama hatutakubaliana wote. Kwa mara ya kwanza nilisikia na kuona maajabu...
  8. Kijakazi

    Kwanini Rais Samia hateui Wanawake wengi na kuwapa nafasi?

    Rais Mwanamke wa kwanza Tanzania lakini cha ajabu wakati Dunia nzima mpaka hata ikijitahidi kuongeza quota za Wanawake kisheria kwenye nafasi za Uongozi huku wengine hata wakiweka kwenye Katiba Tanzania zao ambapo Rais wake ni Mwanamke ndiyo nchi yenye Wanawake wachache karibia klk zote Afrika...
  9. Mr Dudumizi

    Hii ndio mikoa ambayo Rais Samia amewekeza nguvu kubwa kuiletea maendeleo

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Wakuu.... wengi wetu hapa JF na nchini kwa ujumla, tunajua kwamba raisi wa JMT mh Samia S. Hassan anapambana usiku na mchana, ili kuhakikisha serikali yake inaleta maendeleo katika wilaya, mikoa na nchi yote ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Lakini kama ilivyo...
  10. green rajab

    Mapinduzi ya Kijeshi yadaiwa kupangwa kutokea Congo Brazzaville. Serikali yakanusha

    BREAKING: Military coup in Congo at this moment. The country's president is in New York, the military is taking control of key facilities in the capital. Congo borders the Central African Republic, where there is a strong Russian presence. DDGeopolitics UPDATES Serikali imekanusha teteai...
  11. V

    Vibali vitumike kwa wakulima wa mbaazi

    Wananchi na wakulima wa zao la mbaazi wanaomba kauli ya Mheshimiwa Rais ya kushauri wakulima wa korosho wasafirishe korosho zao kwa vibali. Pia itumike kwa wakulima wa mbaazi wilayani Kiteto kuruhusiwa kuuza mbaazi zao kwenye masoko yenye bei kubwa, kuliko kulazimishwa na watu wachache kuuza...
  12. S

    Injinia Hersi akikabidhi Jezi ya Yanga kwa Raisi kagame

    Waziri wa michezo wa Rwanda Akipokea kwa niaba ya Raisi Kagame . https://m.youtube.com/watch?v=OKCQOPb1DkM Rais wa Yanga SC, Eng. Hersi Said mapema leo ametoa zawadi ya jezi kwa Rais wa Rwanda Paul Kagame kama sehemu ya kutambua mahusiano mema na mapenzi ya Kagame katika michezo. Zawadi hiyo...
  13. S

    Rais wa Yanga, Eng. Hersi amelipa Tsh. Milioni 40 kununua tiketi za mchezo wa leo

    Taarifa hii ni kwa mujibu wa Msemaji wa Yanga, Ally Kamwe ambae anasema Raisi huyo wa Yanga aliamua kufanya hivyo kuondoa usumbufu na pi imesaidia kukabiliana na zile njama/mbinu za kupandisha viingilio katika hii mechi. Ally Kamwe amesema haya wakati akihojiwa baada ya mechi kwisha.
  14. K

    Rais Samia nakuomba usitupoteze sisi ambao tunakuombea mafanikio!

    Sisi ambao sio washabiki wa vyama bali washabiki wa nchi “ Independent “ tunapata wakati mgumu maana kuna wakati tunamtetea Raisi na wakati tunampinga kwa hoja. Lakini wengi wetu na mimi binafsi nimekuwa namuunga mkono sana Raisi Samia kwenye mambo mengi na kumpinga kwenye mambo machache...
  15. Roving Journalist

    Rais Samia: Hatukutoa fursa ya Mikutano ya hadhara watu wakavunje sheria, wasimame kutukana, kukashifu na kuchambua dini za wengine

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama va Siasa na Wadau wa Demokrasia katika ukumbi wa JNICC leo tarehe 11 Septemba, 2023 katika viwanja vya Ikulu, jijini Dares Salaam...
  16. The Burning Spear

    Rais Samia anatakiwa kujitokeza hadharani kutuomba radhi watanzania kwa kuikashifu Katiba

    Rais Samia kashafanya mambo mengi sana tena mengi mno. Lakini hili la kukashifu katiba ya nchi is beyond the red line. Katiba ndiyo kitabu chetu kitakatifu kwa watanzania amabacho kinatuunganisha wote... Ile Dhihaka haivumiliki hata kidogo ni dharau iliyopita kiwango kwa katiba yetu, Kama...
  17. Dr Akili

    Hivi CHADEMA wamemuelewa kweli Rais wetu? Kwamba hicho wanachozunguka kukihubiri ni ukiukaji wa malengo ya kuruhusu mikutano ya hadhara

    Rais aliruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ili vikatangaze sera za vyama vyao kwa wananchi ili kuwavutia kuwaunga mkono kwenye harakati za kushika dola kwenye chaguzi zijazo. Chama cha siasa ni sera yake na si vinginevyo. Rais aliruhusu ruzuku ya Serikali kwa Chadema iliyokuwa...
  18. winnerian

    Siku ikatokea nikawa Rais wa nchi nitahakikisha haya yanatokea. Weka yako pia tuchuane kuipa nchi mawazo chanya

    Pita yote usiachie nusu tafadhali 100. Kutoa motisha kwa vijana kwa kila namna inayowezekana kupenda mambo ya msingi. Hii itawezesha kuwafanya wapende kujihusisha na ubunifu, uzalendo, kujitegemea, kutoa mchango mkubwa kwa taifa lao. Sio kama hali ilivyo sasa wengi wao wanatamani na kujitahidi...
  19. S

    Ushauri: Rais Samia itisha kura ya maoni kupitia akaunti yako ya X kuhusu suala la Bandari, utapata picha halisi na ikusaidie kufanya maamuzi

    Rais Samia kama unavyopenda kutumia mtandao wa X kuelezea mambo yanayohusu nchi na Watanzania ikiwemo kutoa taarifa mbalimbali za Serikali yako, nakushauri utumie mtandao huo kupata maoni ya wananchi ni namna gani wameupokea mkataba wa Bandari ambao umekuwa gumzo kuu hapa nchini. Rais Samia...
  20. Mr Dudumizi

    Ulikuwa mpango wa Mungu kuhakikisha Magufuli anakuwa Rais kwanza ndio afariki

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Kama ilivyo ada au desturi, leo nimekuja na maono mengine ambayo nina amini hapo kabla Hakuna aliewahi kuwa nayo. Maono yenyewe ni kuhusu namna John P. Magufuli alivyokuwa raisi na baadae kufariki. Ni hivi.. kabla ya hayati John P. Magufuli kuwa raisi wa JMT, nchi...
Back
Top Bottom