Magufuli hakuwa Dikteta kama baadhi ya wananchi walivyokuwa wakimlaani
Alikuwa akichukizwa na watu vigeugeu au wasaliti
Alitaka akiagiza tufanye kazi basi tufanye wote sio wengine waende kinyume
Na jambo jema ni kuwa maagizo yake yalikuwa ya kuleta maendeleo
Tatizo la Watanzania 80% ni...
Nimefika huu mkoa naambiwa maji hamna kwa zaidi ya wiki mbili sasa. Nipo maeneo ya soweto, block Q.
Niliwahi kuishi hapa karibu miaka 10 kipindi cha nyuma na hapajawahi kuwa na tatizo la ukosefu wa maji hata siku moja.
Ni kipi Rais anakiweza?
Huwa najiuliza sana lakini sipati majawabu, lakini naomba wasomi wa humu ndani mnisaidie.
Hivi Mzee Nyerere alikuwa ana roho ya namna gani kuona mambo kama haya yakitokea kwa wananchi lakini bado hataki kubadilika na akaendelea kutumia mkono wa chuma kuhakikisha anasigina kabisa uwezo binafsi...
Inawezekana tukifanyia mabadiliko madogo Katiba yetu, 2025 tukaunda Serikali ya Mseto.
Zanzibar ya leo, siyo ile tuliyoiona au kuijua enzi za ngangari na ngunguri za kina Mahita. Siri kubwa nyuma yake nionavyo ni mshikamano wa "KWELI" kupitia "SERIKALI YA UMOJA/ MSETO"
Tanganyika ina bahati...
Urais wake unaweza kuwa unatishiwa na nani? kwa maana nguvu kubwa inatumika kumfanyia kampeni kila mahali t shirt zinavaliwa mabango kila mahali sasa against who?
Kutoka vyama vya upinzani pia sioni mpinzani kwani hata vyama vingine vinampigia kampeni na kumtetea, sasa hofu ya nini na kwa...
Raisi Putin aelezea umuhimu wa nchi kuwa huru na kutetea uhuru huo. Pia asema SMO itasita pale tu malengo ya Russia juu ya Ukraine yatapotimizwa ambayo ni kuondoa unazi denazification, uwezo wa kijeshi demilitarizing Ukraine na mwisho kuhakikisha Ukraine yabakia kuwa Neutral bila kujiunga EU na...
Huku kuwachokoza Wana jumuiya ya Afrika mashariki,
“Mmesikia kuhusu safari zangu za kwenda maeneo mbalimbali Nje ya Nchi mara kwa mara. Ninasafiri kwa Mipango, Mimi sio Mtalii” William Ruto
Naomba kufahamishwa inawezekana vipi mtu mwenye wadhifa wa Umakamu wa Rais kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja eti kwa shughuli maalumu.?
Hata Katibu Mkuu tu wa wizara ni nadra kuweza kukaa mwezi mzima, sasa iweje kwa Makamu wa Rais?
Ni kazi gani hiyo?
Makamu wa Rais anaweza kuwa mtendaji wa...
Great Thinkers.
Naamini humu kuna wajuzi na wafuatiliaji wa taarifa mbalimbali.
Anayejua aliko Dkt. Mpango kwa shuguli za kiserikali atujuze..
Mi mashetani yangu yamegoma yanasema hayupo kikazi anaywhere.
Mimi binafsi nimetembelea vituo kadhaa vya BBT kwa upande wa Unenepeshaji mifugo kwa lengo la kujifunza. Vikiwemo Kikulula- Karagwe,Mabuki- Mwanza nk. Nimegundua yafuatayo;
1. Vijana wengi waliochaguliwa kushiriki BBT wamekata tamaa . Walichoitiwa sicho walichokikuta. Wameongezewa muda wa kukaa...
Sijasema wakubwa wasiende ila napenda watakaokuwa front ndio watangulie plus Mahitaji ya Waathirika badala ya kwenda kuleta taharuki nyingine.
Huko PM yupo
Mkuu wa Majeshi yupo
Mawaziri wapo
Na wengine wanaendelea kumikinika ,Sasa sijajua Kama Kasi ya wakubwa kumikinika inaendana na Kasi ya...
Kasim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt Isdory Mpango ni mzima wa afya na yupo nje ya nchi kimajukumu.
Waziri Mkuu amesema kuwa watanzaia waachane na ule mtandao unaosema maneno ya ajabuajabu na wasiwe wasiwasi wowote Kwa kuwa Makamu wa Rais Dk. Mpango ni mzima na...
hanang
hata
jambo
kassim majaliwa
magufuli
majaliwa
majukumu
makamu
makamu wa rais
mochwari
mpango
mzima
ofisini
philip mpango
premier
rais
raisi
serikali
tayari
wahanga
wakati
wapi
waziri mkuu
yuko
yuko wapi
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Wakati Rais wa awamu ya tano mheshimiwa John P. Magufuli anaingia madarakani, miongoni mwa vitu vya kwanza kabisa alivyovifanya katika uongozi wake ni kupiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa akiamini kwamba mikutano hiyo ilichangia uzorotaji wa kuleta maendeleo...
Kwako mkuu wa nchi hii Rais SAMIA.
Katika mashirika ya serikali ambayo wafanyakazi wake wengi ni wazembe basi Ttcl wanaongoza. Hili Shirika limejaa uzembe wa kupitiliza hadi unakela.
Dunia ya sasa wanategemea sana INTERNET ili shughuli zao ziende kwa wakati. Watanzania wengi wanapenda kuingiza...
Kama uzi unavyosema hapo juu,
Rais Samia, kuna hawa watu wanaoendesha utaratibu mzima wa kutoa ajira kwa vijana wa Tanzania (secretariat ya ajira), hawa wamekuwa tatizo kwa vijana wanaojitafuta kwenye Secta ya Ajira.
Haiwezekani mtu afanye usahili alafu akae zaidi ya miezi sita wakati...
Rais ongea na Waziri mwenye dhamana ya ajira aongee na hawa secretariet ya ajira waache kutesa wadogo zetu.
Kama uzi unavyosema hapo juu mheshimiwa Rais. Kuna hawa watu wanaoendesha utaratibu mzima wa kutoa ajira kwa vijana wa Tanzania (secretariat ya ajira), hawa wamekuwa tatizo kwa vijana...
Huenda anafanya kwa Lengo zuri. Huenda anataka kukisaidia chama lakini Lazma ajue kujizuia. Kuwa maarufu kuliko Rais ni kama uhaini kisiasa.
Walio karibu na Makonda wamwambie hatakiwi kuwa Maarufu kuliko Rais. Kisiasa huo ni kama uhaini
Ama ajizuie au atazuiwa soon. Au....
Alitaka awe hivyo...
Wakuu nawasalimu kwa jina la JMT.
Jana nilifanikiwa kufika Wilayani Mwanga katika Kijiji cha Mangyo, kitongoji cha Vongo B. Kuna Mama mwenye umri wa zaidi ya miaka 80, ambaye tarehe 01/11 majira ya saa 1:45 Usiku, wakati akipika chakula chake cha usiku, alivamiwa na kuchinjwa shingo yake kama...
Nimefuatilia kila mtu anashangaa inakuwaje nchi ya kidemokrasia Raisi ana nguvu hivi. Ndiyo maana ni muhimu kubadilisha katiba
https://www.youtube.com/live/IYfoTqmzPv0?si=LhXMtnbTxR3ff56N
Uwekezano wa kuingizwa mjini na Samia ni mkubwa sana. Tunahitaji tumpate Rais wazalendo 2025 akauchunguze huu mkataba wa Bandari.
CCM Hawaaminiki na hawajawahi kuaminika kamwe. Mpaka 30 iishe robo tatu ya tuliomo humu aidha tutakuwa tumeshakufa au tu wazee sana.
Hiyo miaka 30 ikiisha hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.