Vitu vya salon ya kiume vinauzwa viko Goba kwa moga
1.Kiti cha kunyolea 220,000
2.sink la kuoshea 200,000
3.vioo viwili kila kimoja 40,000
4.mashine za charge moja 45,000 na mashine ya waya 20,000 pamoja ya kuchongea 10,000
5.kochi 60,000
Mabechi mawili ya wateja kusubiria 100,000
6.kiti cha...
Ndio Mama ni kama ameshindwa sasa kutatua changamoto za umeme na Siasa chafu.
Huu ukatikaji wa umeme tena masika ni wa kiwango cha juu mnoooo toka nizaliwe. Sio mgao ni ukatikaji umeme.
Sipo kwenye bwawa ila nahisi vitu vitatu.
1. Tumenunua mitambo chakavu bwawa la mwalimu nyerere
2...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atazindua Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, leo, Aprili 3, 2024, Ukumbi wa JNICC.
Tume hii ina majukumu muhimu kama kusimamia sheria na kushughulikia malalamiko. Muundo na taratibu za Tume zimekamilika na zinazingatia haki za faragha...
Mkoa wa Arusha ni mkoa wa kitalii, unapokea maelfu ya watalii kutoka Ulaya na Marekani. Ni vyema basi, kutokana na mabadiliko ya kiutawala, na watalii huwa hawapendi rabsha, wamekuja kupumzika na kula raha, Dodoma(makao makuu) jicho lao liwe Arusha.
Hata vyombo vya dola Arusha vikipewa amri na...
Leo nimerudi kwa upande wa ushauri na hivi vitu navyoshauri kila moja ni kitabu chake lakini nitaweka hapa mambo makubwa ambayo Raisi Samia akivifanya vitabadilisha nchi yetu kwa miaka mingi sana ijayo
1. Boresha sheria mbovu ya uchaguzi iliyopitishwa Bungeni kwa kuongeaza chaguzi za serikali...
Yaani kuzungumza na watu wawili ndio imekuwa "Wakazi wa Dar"? Jambo mmeanza kuzingua.
=====
Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kutokana na huduma ya umeme kurejea baada ya kuwapo kwa hitilafu katika gridi ya Taifa...
Naanza kuelewa Sasa, huwenda ni kweli kwamba Watanzania ni watu wa hovyo na ambao hawawezi Kila kitu na hawawezi Kuibadirisha nchi Yao kutoka Hali mbaya ya umasikini na kuwa nchi yenye neema na uchumi mkubwa
Tumeshindwa kuendesha bandari zetu wenyewe, mbuga zetu tunawapa wageni, Bado tutawapa...
Niaje waungwana,
Kiukweli mimi sio mwanasiasa, wala mfuatiliaji wa mambo ya siasa hapa JF. Hivyo nimesukumwa tu na uzalendo wangu mwenyewe kuandika haya niliyoandika. Kwa kawaida nchi yetu ina mawaziri zaidi ya ishirini na manaibu wake (hapo sijazungumzia makatibu wakuu na manaibu). Kikawaida...
Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam ningependa kuendelea na mada yangu hapa jukwaani.
Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Wakati raisi Samia alipoingia madarakani, haikupita hata miezi sita akaanza pangua pangua ya viongozi wakubwa pale ikulu akiwemo aliekuwa...
Raisi Samia Suluhu Hassan alilipa billion 14 za mapunjo ya madai ya kustaafu waliokuwa wafanyakazi wa Air Tanzania Company Limited tarehe 27/12/2023 kwenye mfuko wa PSSSF.
Hadi muda huu ni asilimia thelathini tu ya Wastaafu ndio wamelipwa wengine wanapigwa dana dana hawalipi. Hawa ni pamoja...
Habari
Ukifuatilia Historia ya DRC utaona inaongozwa na viongozi wengi wasio na uwezo wa kufanya CONGO kua nchi yenye nguvu kiuchumi, Kisiasa, Kiintelligencia na kijamii nchi ya CONGO imekua shamba la bibi yenye serikali zilizofeli muda wote.
Mpaka sasa kuna makundi 120 yanatawala sehemu...
Magheto na uharibifu wa mji wa Dar ulianzishwa na Rais wa awamu ya pili Ali Mwinyi.
Rais Mwinyi ndiye aliyeruhusu fukwe zetu kuvamiwa kwa kuruhusu hoteli kujengwa beach kinyume na sheria zetu za 50 meters ktk ufukweni, Rais Mwinyi aliruhusu white sands hotel kujengwa kinyume na sheria...
Habari wa kuu zangu?
Nimechunguza nimejikuta nagundua kwamba viongozi wetu/ma raisi wetu Wana TABIA zinazo fanana na TABIA zenyewe ni hizi zifwatazo
1.Hawajiamini..
Wafikapo madarakani huelekeza sana nguvu kwenye ukaribu na vyombo vya Dola kuliko Wananchi wao walio wachagua kuwa tumikia sjui...
Tanzania imewahi kuwa na Rais shabiki wa Simba?
Nyerere - Yanga
Mwinyi - Yanga (hata kwenye mazishi wajukuu zake waliweka wazi)
Mkapa - ????
Kikwete - Yanga
Magufuli - Yanga (kuna siku alifurahi sana kuona Simba kafungwa, aliwapiga Simba kijembe "Kagera sugar wametoboa tundu la Simba" huku...
Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika kuhani msiba wa Hayati Ali Hassan Mwinyi huko Mikocheni Dar es Salaam ameonekana akiwa na huzuni kubwa sana na masikitiko makubwa akiwa anaongea na vyombo vya habari
Jakaya Kikwete amekiri kuwa yeye hakuwa lolote bali alikuwa...
Jana nimeona clip ya mh rais wetu mpendwa mheshimiwa ukht Samia kuhusu taarifa ya kifo cha mzee Mwinyi
Clip ile inamakosa yamejitokeza ambayo mh rais hakupenda yafike kwa jamii lkn yamefika. Wakosoaji wa kisiasa wanatumia fursa hio.
Ushauri
Taarifa kama zile zisiwe live zirkodiwe zieditiwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.