raisi

  1. R

    Kwa hili la mtoto albino Kagera, mheshimiwa Rais weka saini adhabu ya kifo

    Siku zote huwa nawaonea huruma sana wafungwa wanaponyongwa ila kwa hili la mtoto albino aliyeuawa na kukatwa viungo huruma imenitoka. Mheshimiwa Rais wakithibitika mahakamani ukiletewa karatasi weka saini wanyongwe. Kama sehemu tu ya huruma yangu naomba wasinyongwe kwa kamba. Kiti cha umeme...
  2. PureView zeiss

    RAISI mpya wa Senegal afuta Kodi za bidhaa muhimu ili kupunguza gharama za maisha

    Ili kupunguza ugumu wa maisha unaochangiwa na Ukosefu wa ajira na mfumuko mkubwa wa bei za bidhaa huko Senegal, Bassirou Faye Rais mwenye Umri mdogo kuliko wote Afrika, ameamua kuondoa kodi katika bidhaa muhimu kama vile Mchele, Mafuta ya kupikia, mkate, mbolea nakadhalika. Wakati hayo...
  3. EDIGAR JO

    Uporwaji wa ardhi utaisha lini dodoma? Naumia sana raisi samia alione hili

    Samahani . Poleni na kazi Waheshimiwa Natumaini mkheri wa afya Naomba msaada wako kwa kunisaidia mawasiliano ya simu ya viongozi hawa, 1.Waziri wa Ardhi wa Tanzania wa sasa Mheshimiwa Jerry Silapha. 2.Mheshimiwa .Poul Makonda Mi nilikuwa naomba msaada wenu kwenye jambo hili ili kisiharibike...
  4. BIG STONE AND CONER STONE

    Ndoto Juu ya nchi Yangu (I have a Dream )

    Naota kuna Raisi Ajaye ambaye Atakuwa zaidi Ya Magu🔒 Kwa tabia ma Matendo ila sio mwongeaji ni vitendo tu. Kwa matendo na kwa kusimamia sharia, misimamo mikali. Ataunda uchunguzi wa karbu kila kitu' mikataba yote..uhalali wake , faida na hasara zake. Atafumua mikataba yote Ya kinyonyaji kuanzia...
  5. BLACK MOVEMENT

    Raisi wa nchi kuwa ndani ya nchi nyingine kwa ziara wiki nzima ni maajabu sana, only in Tanzania

    Ukitoa ugonjwa ni ngumu sana Mkuu wa nchi kuwepo ndani ya nchi nyingine kwa wiki nzima akifanya ziara labda awe anaumwa hivyo anatibiwa. Ila kwa Tanzania naona inaelekea kuwa jambo la kawaida sana kiongozi wao kufanya ziara na kukaa wiki nzima ndani ya nchi nyingine. Kumbuka na uzinduzi wa...
  6. BLACK MOVEMENT

    Waliohusika ufisadi report ya CAG mwaka huu walisha ombewa msamaha kwa Raisi hivyo wako huru

    Hii nimepenyezewa jioni hii, na mdau wangu wa muhimu sana. Wahusika wote waiotajwa kwenye report ya CAG mwaka huu wamesamehewa na Mh Raisi hii ni baada ya kamati ya kuwaombea msamaha kuwa na jukumu zito sana la kuwahoji kabla ya kumuomba Raisi awasamehe na awape onyo kali sana. Kamati...
  7. Webabu

    Ebrahim Raisi atakumbukwa kama kiongozi jasiri zaidi wa Iran aliyeikuza nchi yake kiteknolojia

    Pamoja na kukalia kiti cha uraisi kwa kipindi kifupi, marehemu Ebrahim Raisi wa Iran aliyekufa kwa ajali ya helkopta atakumbukwa kama mmoja wa viongozi mashujaa wa nchi hiyo. Katika kipindi chake vitu vingi visivyotarajiwa kufanywa na nchi ambayo haijatajwa kama nchi iliyoendelea kama zile za...
  8. GENTAMYCINE

    Kwanini 50% ya Raia wa Iran wamefurahia na hadi Kukufuru kabisa Kifo cha Rais wao Raisi?

    Nasubiria hizo sababu kwani hata Mimi GENTAMYCINE najiandaa kuwa Rais nchi moja hivyo sitaki Niwaudhi Wananchi.
  9. Kaka yake shetani

    Kama kifo ni mipango ya Mungu, mbona imani yenu wa Iran inaonekana kukataa kuhusu kifo cha Raisi?

    Nimeshangaa sana jaziba za wairan wakiona kama kifo kimepangwa na wabaya wao au kosa lilofanyika ni kama mungu kakosea. Sasa imani ina maana gani kama kifo mtaki kuamini kipo.
  10. Webabu

    Helikopta iliyomuua Raisi isingeweza kupaa zaidi ya futi 10,000

    Tofauti na ndege za abiria kubwa,helkopta inaruka kwenda juu sawa na ndege ndogo za abiria.Si zaidi ya futi 10000. Ziko chche ambazo zimewekewa injini za turbine ambazo ni za kisasa ambazo zinaweza kufika mpaka futi 25000,lakini haifikii hata siku moja futi 40000 zinakopita ndege za abiri za...
  11. TODAYS

    HII NDIYO ROBOTI: Ilichukua Jukumu Muhimu Kutambua Mabaki ya Rais Raisi.

    Kwa waturuki wao wanasema ni hatua kubwa waliyofikia kwa mara ya kwanza katika historia ya dunia. AKINCI UAV ya Uturuki ilichukua jukumu muhimu katika kutambua mabaki ya helikopta ya Rais wa Iran Raisi. Ni operesheni ya utafutaji na uokoaji ilitangazwa moja kwa moja 'LIVE COVERAGE' kupitia...
  12. D

    Hakuna Waziri aliyeweka rekodi ya kutaja Jina la Raisi mara nyingi kama Bashungwa!

    Huyu Mheshimiwa ukisikiliza hotuba zake zote hawezi kuzungumza dakika 5 bila kulitaja Jina Mheshimiwa Raisi Samia. Hii trend amei maintain toka enzi za JPM. Huyu ni kati ya mawaziri wachache sana wasio na unafiki kwa mabosi wao!
  13. A

    TANROADS na Mamlaka za Majiji wanavyo mzalilisha Makamu wa Rais kwa uharibifu wa mazingira

    Siku hizi kumezuka Tabia za malorry makubwa kwa magari kuegeshwa pembezoni mwa barabara au kwenye njia za waendao kwa miguu, hivyo kujaribu mazingira, kwani sehemu hizo sio hazikujengwa kuhimili uzito huo na kwa madhumuni hayo na pia zina kiuka haki za watumiaji wengine wa sehemu hizo, iwe...
  14. Mr Dudumizi

    Pre GE2025 Jinsi Rais Samia alivyomsaidia Lissu kutoka mafichoni

    Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam zangu kwenu, ningependa kuendelea na mada yangu nzuri hapo chini. Wakuu kwa wale wajuzi wenzangu wa mambo mbali mbali yanayoendelea duniani, nafikiri mshawahi kuusikia ule msemo unaosema kuwa "Paka akitoka, akiondoka au kuondolewa sehemu, basi...
  15. S

    Kauli ya Lissu ya Rais Mzanzibar ni matokeo ya kufumba masikio Tanganyika kuwa na Serikali yake na viongozi wake watakaoamua mambo yao, asilaumiwe!

    Kwanza niombe moderators muiache hii thread ijitegemee, inaenda mbali zaidi ya kauli ya Lissu. Kama una akili timamu na za kutosha, utakuwa umegundua kwamba suala la kusema kero za muungano zinatatuliwa limekuwa ni suala la kuzidi kuipa Zanzibar mamlaka yake kama nchi kamili na kuiondoa kwenye...
  16. kipara kipya

    Raisi kemea haharani kwa kukataa sifa za mchawa wanakuhujumu

    Hili walilofanya gazeti la mwananchi lilikuwa ni kusudio kuu la kujaribu kuzidi kumtukana Raisi Samia kupitia mtangulizi wake marehemu Magufuli. Kama walivyosema familia kila anayemdhihaki marehemu Magufuli wao hawatamjibu watamuachia Mungu ajibu dhihaka zao, Nina hakika kuna kigogo alitumia...
  17. DeepPond

    Rais Biden kuwafungia sola kaya 900,000 masikini nchini Marekani

    Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter (x), Rais wa mmarekani JOE BIDEN amesema serikali yake inakusudia kupitisha dola bil. 7 kwa ajili ya kugharamia Sola 900,000 kwa ajili ya kaya maskini. Amesema kwenye program hiyo mpya itawawezesha wamarekani wa kipato cha chini kumiliki Sola kwenye mapaa...
  18. winnerian

    Nikiwa Rais

    Uturuki itakuja kununua nguo Tanzania. Made in Tanzania. Watazigombania nguo za Made in Tanzania Ukiwa Uturuki tu utasikia "dont want if not Made in TanzaniA" Mmesikiaa wanangu?
  19. Ileje

    Lema awataja Mawaziri wanaomtukana Rais Samia

    Sikiliza hapa: Katika Mkutano huo wa Hadhara jijini Arusha Gobless Lema amedokeza kuwa wapo baadhi ya Viongozi wa Serikali wanamtulana Rais Samia. Akifafanua jambo hilo Lema anasema: "Natoa maelekezo kwa Viongozi wa Kanda na Makatibu Rais Samia yupo Arusha apewe Kadi ya CHADEMA. Anatukanwa...
  20. Dr Akili

    Hili la Makonda kuwataja hadharani anaowatuhumu kumtukana raisi mtandaoni, linaweza kumletea matatizo makubwa ya kisheria

    Katika hafla ya kumbukizi ya siku ya kifo cha Sokoine leo, Makonda amesema tarehe 15 April atawataja hadharani anaowatuhumu kufadhili wanaomtukana rais mtandaoni. Kwamba anawajua na baadhi yao ni mawaziri. Hili inaweza kumletea matatizo makubwa ya kisheria. Linaweza hata kupelekea kuwekwa tena...
Back
Top Bottom