ramadhani

Ramadhani may refer to the following people

Given nameRamadhani Athumani Maneno, Tanzanian politicianSurnameJohn Ramadhani (born 1932), Tanzanian Anglican archbishop
Nabeel Siddiq al-Ramadhani (born 1954), British businessman
Nia Ramadhani (born 1990), Indonesian actress, singer, rapper, and dancer
Samson Ramadhani (born 1982), Tanzanian marathon runner
Sara Ramadhani (born 1987), Tanzanian long-distance runner
Waso Ramadhani (born 1984), Burundian football defender

View More On Wikipedia.org
  1. Tathmini ya Utendaji mbovu wa Ramadhani Hamis wa Kitengo cha Habari na Mwanahabari wa Moshi Manispaa.

    Katika muktadha wa utawala na usimamizi wa habari, suala la uwazi na ukweli linapewa kipaumbele cha juu. Hii ni kutokana na umuhimu wa habari sahihi katika kuimarisha uhusiano kati ya serikali na wananchi. Hata hivyo, katika Moshi Manispaa, kuna masuala yanayoonekana kuathiri ufanisi wa...
  2. Ramadhani na Kwaresma kugongana je is it a coincidence? The evidence says No!!!

    Hoja za Alberto Rivera kuhusu Uhusiano Kati ya Ukatoliki na Uislamu zina fikirisha sana. Alberto Rivera ambae alikuwa jasusi wa Vatican anasema Dini ya kiislamu ilianzishwa na Holy Sea ( Vatican). Anasema Bi Khadija mke wa kwanza wa Prophet Muhammad ( Peace be upon him) alikuwa ni mtawa wa...
  3. Nigeria: Waislamu 20 wakamatwa kwa kula hadharani wakati wa Ramadhani

    Polisi wa Kiislamu katika jimbo la Kano, kaskazini mwa Nigeria wamewakamata Waislamu 20 waliokutwa wakila mchana hadharani wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan ambapo pia Watu watano wamekamatwa kwa kuuza chakula huku Naibu kamanda wa Polisi Mujahid Aminudeen akisisitiza kuwa msako huo utaendelea...
  4. Je, ni sahihi mkristo kufunga ndoa mwezi huu wa ramadhani?

    Je ni sahihi mkristo kufunga ndoa mwezi huu wa ramadhani? Maana miongoni mwa watu waliomchangia pesa ya harusi ni waislamu na waislamu muda huu wapo kipindi cha mfungo na hata baadhi ya wakristo nao wanawasindikiza waislamu katika ibada hii ya mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani. Hivyo kufunga...
  5. Serikali ya Singida yaonya Wafanyabiashara dhidi ya kupandisha bei za vyakula kipindi cha Ramadhani na Kwaresma"

    Serikali mkoani Singida, imeonya wafanyabiashara watakaopandisha bei za vyakula kuelekea mfungo wa Ramadhani, kwa Waislamu na Kwaresma kwa Wakristo, huku ikisema haitavumilia hatua yoyote ya kujinufaisha kipindi hicho, kwa gharama kubwa ya wananchi. Soma Pia: Mufti na Sheikh Mkuu Abubakar...
  6. Kipindi cha mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani unapendelea kupika au kula futari yenye mchanganyiko gani?

    Jamani wanajukwaa! Kesho Waislamu wanaingia kwenye mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Sasa tunajuwa muda ule wa kufuturu lazima kwenye jamvi lazima vyakula visheeni, Je unapendelea kupika au kula futari yenye mchanganyiko gani? Soma Pia: Mufti na Sheikh Mkuu Abubakar Zubeir: Mwezi haujaonekana...
  7. M

    Nitakuwa likizo ya ramadhani JF

    Nitakuwa likizo ya Ramadhani. "Enyi mlio amini! Funga imeandikwa kwenu kama ilivyokuwa imeandikwa kwa wale waliokuwa kabla yenu ili mpate kumcha Allah." (Qur'ani, Surah Al-Baqarah, 2:183)
  8. Rais Mwinyi: Wafanyabishara hakikisheni hampandishi bei za bidhaa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewahimiza Wafanyabiashara kujiandaa na Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kufanya biashara kwa uadilifu, huruma na kuacha tabia ya kupandisha bei bidhaa kwakuwa wanaoumia ni wananchi. Alhaj Dkt. Mwinyi ametoa tamko...
  9. Yupo wapi Refa wa Yanga Ramadhani Kayoko?

    Mara ya Mwisho kumuona ni mechi ya derby. Baada ya hapo sijamuona tena huyu refa wa Yanga Ramadhani Kayoko. Yupo wapi?
  10. Akumbukwe: Ramadhani Singano "Messi"

    Huyu dogo alikuwa na kipaji sana. Sana walimwita Messi. Ramadhani Singano. Alipotelea wapi? Anafanya nini kwa sasa? Kizazi chake katika soka ni akina Mohammed Hussen kama sijakosea. Hawa tunawaona bado. Yeye yu wapi?
  11. M

    Ramadhan Kayoko ndiye mwamuzi mbovu katika NBC Premier League! Freekick uliyowazawadia Yanga imeigharimu Simba

    Yaani baada ya kuona TFF imemchagua Kayoko kuwa mwamuzi katika mechi ya Derby ya Kariakoo moja kwa moja nikajua Simba hashindi mechi hii. Yaani kila nikirejea picha za tukio ambalo ameizawadia Yanga freekick sioni kosa alilolifanya Okejepha. Na baada ya kuona Chama ameingia na anaenda kupiga...
  12. Ramadhani Bakari Iddi ahukumiwa jela maisha kwa kulawiti mtoto

    Mahakama ya Wilaya ya Muheza Mkoani Tanga imemuhukumu kwenda jela kifungo cha maisha Ramadhani Bakari Iddi (46) mkazi wa Kilapula kata ya Ngomeni Wilayani hapo kwa kosa la kumlawiti mtoto mwenye umri wa miaka 13. Akitoa hukumu hiyo leo hii Hakimu mkazi wa mahakama ya Wilaya hiyo Mh. Geofrey...
  13. Ulaya kuzuri; Maimamu 13 waliotumwa kwa ajili ya Ramadhani watokomea

    Maimamu ambao waliondoka nchini Morocco ili kuendesha ibada kwa Wamorocco wanaoishi Ulaya katika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, wametokomea kusikojulikana na hawajarejea nyumbani hadi leo. Taarifa kutoka Morocco zinasema Maimamu 13 waliotumwa na Wizara ya inayojihusisha na mambo Kidini...
  14. Nini kifanyike Simba waweze kutwaa Ramadhani cup na Masoko cup msimu ujao?

    Baada ya msimu unaoelekea kumalizika, timu hii kupoteza matumaini ya kutwaa ubingwa wa Ligi kuu na kushinda taji la muungano, Nini kifanyike ili kujihakikishia kwamba michuano ijayo ya Ramadhani cup, Masoko cup, Diwani cup n.k iweze kuokota vikombe vingi zaidi?
  15. Ramadhani in Dar es Salaam, Once Upon a Time

    Makala hii nimeiandika miaka michache nyuma kwa ajili ya gazeti moja Ulaya na ndiyo sababu iko kwa Kiingereza. RAMADHANI IN DAR ES SALAAM THROUGHOUT THE YEARS Observation of the holy month of Ramadhan in actual fact begins when the moon is sighted at the end of Shaaban. Soon after Magrib...
  16. Ramadhani ile haipo

    RAMADHANI ILE HAIPO TENA NCHI HII Kuna watu waliohai hivi sasa walioshuhudia katika nchi hii Mwezi Mtukufu wa Ramadhani hapakuwa kunachezwa mpira wa mashindano viwanjani wala dansi kupigwa katika kumbi. Haya yalidumu kwa miaka mingi sisi tunazaliwa tumeyakuta na halikadhalika waliotuzaa sisi...
  17. Kumbukumbu ya Iftaar Nyumbani kwa Balozi Ramadhani Kitwana Dau Yanga Kids Walipofuturu Pamoja

    Utangulizi Kuna wako wanaomtazama Dr. Dau kama ''Lecturer'' Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam. Kuna wengine wanamtazama Dr. Dau kama Mkurugenzi wa Masoko Tanzania Ports Authority (TPA) na wengine wanamtazama kama Mkurugenzi Mkuu wa NSSF. Wako wanaomtazama Dr. Dau kwa kujenga daraja maarufu la...
  18. Sijui wenzangu mmeliona hili kwa wanawake wanaofunga Ramadhani

    Wanawake wanaofunga kisawasawa huwa wananawiri zaidi na kuwa na nyuso zenye mng'aro na nyororo kuliko siku za kawaida. Uwezekano wa kupata mimba huongezeka zaidi mara baada ya mfungo huo mtukufu kuliko miezi ya kawaida. Nimezungumza hivyo kwa utafiti wangu mwenyewe na kwa kuona matokeo kwa...
  19. Kumbukumbu ya Mfungo wa Ramadhani: Futari Nyumbani kwa Mayor Kitwana Kondo Oyster Bay na Upanga

    KUMBUKUMBU ZA RAMADHANI: FUTARI NYUMBANI KWA MAYOR KITWANA SELEMANI KONDO OYSTER BAY NA UPANGA Katika makala fikra zangu zinarudi nyuma miaka mingi sana Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kama huu. Wakati huo Mzee Kitwana Kondo alikuwa Mayor wa Dar-es-Salaam na akiishi Oyster Bay. Mimi na wenzagu...
  20. Ridhiwani Kikwete na Wana Chalinze wa Tarafa za Kwaruhombo na Msata wajumuika kwa futari ya pamoja kipindi hiki cha Mwezi wa Ramadhani

    KUMI LA PAMOJA CHALINZE Wana Chalinze wa Tarafa za Kwaruhombo na Msata wamejumuika na Mbunge wao ambaye ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete katika futari ya pamoja kipindi hiki cha Mwezi wa Ramadhani. Futari hii iliyokutanisha Masheikh na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…