Given nameRamadhani Athumani Maneno, Tanzanian politicianSurnameJohn Ramadhani (born 1932), Tanzanian Anglican archbishop
Nabeel Siddiq al-Ramadhani (born 1954), British businessman
Nia Ramadhani (born 1990), Indonesian actress, singer, rapper, and dancer
Samson Ramadhani (born 1982), Tanzanian marathon runner
Sara Ramadhani (born 1987), Tanzanian long-distance runner
Waso Ramadhani (born 1984), Burundian football defender
Mbali na kuzuwiwa kwa vyakula kuuzwa mchana wa ramadhani katika baadhi ya maeneo, lakini bado zuio hili halijatendewa haki.
Waislamu tunaamini kwamba ukifunga basi hata ukila ile punje ya karanga tu na ukameza kwa makusudi basi umefungua sio mpaka ule biriani au urojo bakuli zima.
Sasa ni...
Ramadhan ni mwezi wa Baraka kwa Waislamu wote duniani. Katika kipindi chote cha mwezi mtukufu wa Ramadhan, Waislamu wanafunga na kusali ili kuomba msamaha kwa Mungu wafutiwe dhambi zao. Kawaida kila mwislamu duniani anajiandaa mapema kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Waislamu wa China nao...
Mimi ni mkristo. Nimewahi kushiriki kama wiki nzima kushiriki Mfungo huu.
Asubuhi SAA 9-11 tulifuturu Msosi mzito. Wali, nyama,samaki,tambi,uji,juice,matunda mbalimbali, maji ya kunywa, mboga za majani na Kachumbari mzigo.
Jioni SAA 12 tulifuturu vitu simple simple tu futari.
SABABU KWA NINI...
Ratiba ya Ramadhani, tushirikishane kwa pamoja, yangu imekaa hivyo,
Day1:
Tende
Shurba
Chapati
Maharagwe ya nazi
Samaki wa kukaangaa
Day2:
Kaimati
viazi karai
Chapati na Mbaazi
Fruit Custard
Day3:
Bajia
Cutlets
Shurba
Chapati
Viazi vya Rojo
Nyama ya kukangaa
Day4:
Vitumbua
Mchuzi wa...
RAMADHANI MAREKANI: TARWEH TIMES SQUARE NEW YORK
Allah Muweza.
Nani angewaza hata katika ndoto zake za wazimu kuwa ipo siku pataadhiniwa Times Square usiku wa Ramadhani na patasaliwa sala ya Tarweh barabarani huku ''neon lights'' za New York zikiwaangazia Waislam?
Times Square ni sehemu...
Niwatakie mfungo mwema.
Nimesikia kwenye kipindi cha njiapanda leo huyo mdada alikaribishwa na mwenyeji wake huko dar, lakini juzi wakati mfungo unakaribia mwenyeji wake akamwambia aondoke maana mfungo unaanza!
Sasa mwezi mtukufu na kutimua wageni inakaaje kaaje hii? Ukizingatia mgeni mwenyewe...
Habarini za kutwa nyote.
Naomba niseme kwamba katika dini yetu ya uislamu hakuna pahala mtume kamkataza asiyekuwa muislamu kula mchana wa ramadhani.
Na wala hakuna pahala qurani imekataza asiye muislamu kula mchana wa ramadhani.
Na wala hakuna sehemu wakati wa mtume imeonesha kwamba...
Nawatakeni radhi wasomaji wangu kwa kuandika kwa Kiingereza na Kiswahili:
RAMADHANI IN DAR ES SALAAM THROUGHOUT THE YEARS
''Leo Chungu Tatu Ramadhan 1436 Dhuhr imenikuta Ubungo/Mandela.
Takbir za sala nazisikia zikirindima kutoka vipaza sauti lakini msikiti wenyewe siuoni.
Nikauliza na...
Habari!
Kuna matukio lukuki ambayo yanaweza kutumika kama mifano ya unafiki wa baadhi ya Waislamu katika kipindi cha Ramadhani.
Mimi leo nitatoa mfano mmoja tu ambao nimeushudia leo SOKO LA STEREO Temeke.
Kuna mdada anauza uji katika soko la STEREO sasa leo kapigwa marufuku kwakuwa ni msimu wa...
Ekari tano kulima ilinigharimu laki nne, nilipata vijana wanne kwa makubaliano unawapa sehemu ya kulala, wanatembea na kapu lao ndani wana sufuria. Wanaamaka asubuhi wanakwenda kulima mpaka saa tano wamemaliza. Wakirudi wanapika chakula chao wenyewe. Iliwachukua siku tatu kumaliza ekari tano...
Habari za muda huu ndugu zangu.
Kwa kweli Kwa Hali ilivyo, inabidi jambo kubwa sana lifanyike katika nchi yetu kubadili mifumo yetu ya ulinzi na usalama wa raia.
Asubuhi ya Leo, nasikiliza Power Breakfast ya Clouds FM, kuna habari ya kijana ISSA, ambaye amefanyiwa ukatili uliopitiliza na...
Tangu mwaka jana nimekuwa nikimsikiliza mfanyabiashara Ramadhani Ntunzwe anavyosumbuliwa bila kupata ufumbuzi.
Nina imani kabisa rais wa wakati huo kama kweli alikuwa na nia ya kumaliza jambo hilo lisingechukua muda mrefu kiasi hiki.
Pia nadiriki kusema mateso aliyoyapata huyu mfanyabiashara...
Ramadhani Kabwili alizaliwa tarehe 11 Desemba 2000, na ni mchezaji wa soka wa kulipwa kutoka Tanzania. Ramadhani Kabwili ambaye ni mzaliwa wa Dar es Salaam anaichezea Young Africans kama Golikipa.
November 20, 2021 amefuta page yake ya Instagram pasipo na taarifa yoyote kamili kuhusiana na...
Huu ni ushauri wangu mfupi tu kwako IGP, huyu bwana atakuharibia kazi yako. Kama kweli inavyotajwa na Mashahidi alichukua shilingi 260,000 za mtuhumiwa Adamoo, ingawa huu ni ushahidi lakini tayari imeshamtia doa na hataaminika popote. Arudishe pesa za watu, hata akizikana lakini tayari...
NOTE:
å Nadhani hii ndiyo imefanya jamhuri kuanzisha fujo leo mahakamani ili tu kuzuia usikilizwaji wa kesi inayomkabili m/kiti wa CHADEMA (taifa) ndugu Freeman Mbowe ushindwe kuendelea...
å Ni jambo jema kuwa haya mambo yanafanyika mchana kweupe kila mtu akiona. Na uzuri ni kuwa hapa ni...
Mazingira ya maisha hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo wa Ramadan kwa Wakristo ni magumu sana hasa kuhusu suala la chakula,kwa sisi ambao tuko kikazi huku na familia zetu ziko bara ni shida.
Mfano kupata chakula inabidi uende kwenye lile kanisa ambapo zamani kulikua na soko la watumwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.