Ni ipi rangi ya ulimi wenye afya?
Machapisho ya kisayansi na tafiti zinabainisha kuwa rangi ya ulimi wenye afya inapaswa kuwa ya ‘Pink’. Ulimi wenye afya pia huwa na vipele vidogo vinavyoitwa papila kwenye uso wake wote. Papila hizi husaidia katika kuzungumza, kuhisi ladha, kutafuna na kumeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.