Ni ngumu sana kupata mwekezaji atakajenga kiwanda cha kuongeza thamani ya madini na rasilima zinazochimbwa afrika
Kama nchi kuna sehemu tumekosea unamkataaje mwekezaji wa usd billion 17 sababu tokea tupate uhuru hakuna mwekezaji ambaye amewekeza kwenye kiwango hiki cha fedha
Na anachojenga...
Kwa jinsi wenzetu wanavyojipenda na kututazama kwa dharau, naamini kama chanzo cha Mto Nile kingekuwa Misri, basi hali ingekuwa tofauti kabisa.
Waafrika wa chini ambao mto huo unapita wangekuwa mateka wa masharti yao.
Kwa sababu ya tamaa, ubaguzi na roho mbaya, bila shaka tungetozwa kodi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.