The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Kwa jinsi wenzetu wanavyojipenda na kututazama kwa dharau, naamini kama chanzo cha Mto Nile kingekuwa Misri, basi hali ingekuwa tofauti kabisa.
Waafrika wa chini ambao mto huo unapita wangekuwa mateka wa masharti yao.
Kwa sababu ya tamaa, ubaguzi na roho mbaya, bila shaka tungetozwa kodi ya maji au hata kutawaliwa.
Yote kwa sababu tungetegemea maji yanayotoka kwao