rasilimali za tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania John Heche: Magufuli alikuwa bora kusimamia rasilimali na kurekebisha ujinga

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, ametoa uchambuzi wake kuhusu jinsi viongozi waliopita walivyoshughulikia rasilimali za nchi. Heche akiwa Kilwa mkoani Lindi, Juni 3, 2026 alikiri kuwa ingawa walikuwa na tofauti kubwa ya kimtazamo kuhusu masuala ya demokrasia na haki za kisiasa...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mange Kimambi: Ujambazi wa rasilimali za Tanzania unaendelea kwa kasi

    Kwa mtakaokumbuka mtakumbuka kuwa kipindi cha kampeni niliwaambia kuwa Aiport ya KIA inaenda kuuzwa kama ilivyouzwa bandari. Kuna wapuuzi na machawa waliniona mimi mchochezi na kwamba natunga vitu ili kujenga chuki. Haya Oneni hii. Kipindi cha kampeni wamefungua kampuni kabisa brela, inaitwa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Tutatumia jitihada, nguvu zote na gharama yoyote kulinda rasilimali za Tanzania

    Akizungumza na Wahariri wa vyombo vya habari leo Novemba 25, 2025 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali iytatumia nguvu na jitihada yoyote ile ili kulinda nchi na raslimali za Tanzania "Wanaotumwa na wanaomezea mate never on earth, tutatumia...
  4. JamiiForums Tanzania Wageni wanapewa dhamana ya kusimamia rasilimali zetu kwa sababu wazawa wamekuwa wakihujumu shughuli za Kiserikali

    Sababu kubwa ya rasilimali za Tanzania kusimamiwa na Wageni ni kukithiri kwa tabia ya uhujumu na uharibifu unasosababisha Serikali isifikie malengo Kumekuwa na malalamiko mitandaoni kuwa kiwanja cha ndege KIA kukabiziwa Waarabu, TAZARA kukabiziwa Wachina, Bandari kukabiziwa Waarabu huku wengine...
  5. JamiiForums Tanzania Rasilimali za Tanzania na mchango wake katika katika uchumi wa taifa

    Tanzania, nchi yenye mandhari ya kuvutia na utajiri mkubwa wa rasilimali za asili, inajivunia kuwa na mchango mkubwa katika uchumi wake kutokana na sekta mbalimbali kama madini, gesi asilia, kilimo, utalii, uvuvi, misitu, nishati, na mafuta. Rasilimali hizi zimeweza kusaidia katika kukuza uchumi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tuweke rekodi sawa, Chini ya Hayati Nyerere na Magufuli, Rasilimali za nchi zilikaa katika mikono salama

    Salaam, Shalom!!! Kiongozi katika eneo, au JAMII, Nchi nk nk, Huwa ni reflection ya watu anaowaongoza Hasa alikotoka!! Nimewahi kuishi mikoa Fulani kijana anapata shida kidogo tu ya pesa, Badala ya kuvumilia na kuumiza KICHWA, Yuko radhi auze vyote alivyo navyo, ikibidi hata viatu alivyovaa...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia amechafuka kipindi cha majaribio. Je, tumpe tena mitano au asipewe fomu?

    Miaka ya majaribio madini na bahari mapori vyote vimeuzwa kwasasa Tanzania ina deni la trilioni 91 hii maana yake ni kwamba kwa Watanzania milion 60 kila mmoja anadaiwa Tsh 1,500,000/=. Kwanza hapo ulipo hiyo pesa unayo? Kwangu mimi naona chawa wapunguze mihemko mama ana kila sababu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…