Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,992
- 5,665
Sababu kubwa ya rasilimali za Tanzania kusimamiwa na Wageni ni kukithiri kwa tabia ya uhujumu na uharibifu unasosababisha Serikali isifikie malengo
Kumekuwa na malalamiko mitandaoni kuwa kiwanja cha ndege KIA kukabiziwa Waarabu, TAZARA kukabiziwa Wachina, Bandari kukabiziwa Waarabu huku wengine wakidai Serikali inauza rasilimali za nchi
Habari hizi za kuuzwa hazina ukweli wowote bali ni kuwa miradi hii tulikabiziwa Wazawa zaidi ya miaka sitini iliyopita lakini matokeo yake hakuna maendeleo yeyote tuliyoleta wala kuboresha zaidi ya kuhujumu na kuharibu
Serikali huwa inataka kufikia malengo yake hasa faida inapotokea malengo hayo hayafiki basi inachukua hatua za kubadilisha usimamizi, mara kadhaa wasimamizi wa miradi hii wamekuwa wakiachishwa kazi na kufunguliwa mashtaka ya uhujumu lakini juhudi hizi hazikufua dafu
Matokeo yake Serikali imejikuta kila ikianzisha miradi inakufa kwasababu ya tabia ya uhujumu iliyokithiri kwa wazawa
Hivi sasa Serikali imeamua kuwa makini na maswala ya miradi na kuhakikisha tatizo hili halitajirudia tena kwa kuwakabizi Wageni waliobobea kwenye maswala ya Uchumi
Hatua hii iliyochukuliwa na Serikali italeta manufaa makubwa sana katika Taifa hili kwani tabia ya uhujumu itakuwa imefikia kikomo
Afrika Kusini ilifanikiwa baada ya kusimamiwa na Wazungu ukweli ni kuwa ingelikuwa ni sisi Waafrika tunasimamia miradi ya Afrika Kusini tusingeweza kuifikisha pale kwasababu ya Tabia mbaya ya uhujumu