Wageni wanapewa dhamana ya kusimamia rasilimali zetu kwa sababu wazawa wamekuwa wakihujumu shughuli za Kiserikali

Wageni wanapewa dhamana ya kusimamia rasilimali zetu kwa sababu wazawa wamekuwa wakihujumu shughuli za Kiserikali

Mmh,kweli mkuu!mimi hata sielewi naona mtoa Mada anawasifia tuu kwa kukabidhisha ...kumbe ndo maana
Sio kuwasifia mkuu, tuna zaidi ya miaka 60 hii miradi inaliwa na Wazawa kama mchwa, imekufa kabisa
 
Loh kwamba hatuwezi kitu........ Basi hao mabwanyenye wapewe mamlaka za maji na umeme pia maana kero zimezidi.
 
Lakini wao hawajakabidhi rasilimali zao kwa mwafrika yeyote.
kwa akili gani ulinayonayo mbugila wewe ukabidhiwe rasilimali km muda wote unawaza sakata la Simba na yanga linaisha vipi na bado kichwa kinawaza demu lenye matako makubwa
 
kwa akili gani ulinayonayo mbugila wewe ukabidhiwe rasilimali km muda wote unawaza sakata la Simba na yanga linaisha vipi na bado kichwa kinawaza demu lenye matako makubwa
Hayo yanayokutoka ndo yamejaza akili na moyo wako.
 
Sio kuwasifia mkuu, tuna zaidi ya miaka 60 hii miradi inaliwa na Wazawa kama mchwa, imekufa kabisa
Ikiwa serkali inawapa watu wake mammlaka /kazi na wakashindwa nani wa kulaumiwa mkuu??
 
Umeandika kufurahisha CCM.
Ukiwa muwekezaji mzawa uwezi kupewa uwekezaji hata kama unapesa ya kuwekeza.
Ila akija muwekezaji mgeni sababu ni mzungu,mchina au muhindi toka ulaya ijalishi kaja kujifunza au pesa yake ndogo unaona no mwekezaji .

Umenikumbusha miaka mkapa serikali iliwapa shirika la leli wahindi fulani walichofanya vile vichwa vya treni walipeleka kwao na wakatuletea vya kwao vibovu.
Pili cha kuchekesha serikali ya mkapa ikawakopea tena pesa wawekazi hao waendeleze shirika la reli
Hadithi za Abunuwasi. Hp ndani kuna nani anaweza kuwekeza kwenye hiyo miradi ya matrilioni? Acheni kujidanganya. Mtanzania yupi anaweza hata kupewa kandarasi ya kujenga barabara ya lami ya Km 50?
 
Kwahio kuwakabidhi mali yako wajomba ndio italeta ufanisi😁?!

Ungesema sheria ya kusimamia rasilimali imebadilishwa na kuwekwa strong restrictions kwa watendaji na wasimamizi wa rasilimali hizo kunyongwa na kuuwawa endapo wakifanya ubadhirifu wowote angalau ingekuwa ina make sense.

Kama sheria iko vile vile basi hakuna jipya, ni sawa na kubadilisha mfumo wa ulaji tu. Ila kuliwa kuko pale pale.
Ufanisi umeshaonekana, hiyo sheria ikiwekwa wa kwanza kuja kulalamika humu ni watu km wewe. We fanya unachokiweza mengine makubwa watafanya wenye uwezo bora tunapata huduma bora yenye ufanisi mkubwa
 
Ufanisi umeshaonekana, hiyo sheria ikiwekwa wa kwanza kuja kulalamika humu ni watu km wewe. We fanya unachokiweza mengine makubwa watafanya wenye uwezo bora tunapata huduma bora yenye ufanisi mkubwa
Ingelikuwa mtu anayemiliki Ubongo ni wewe pekeyako basi ningekubaliana na wewe bila shaka.
 
Back
Top Bottom