Akizungumza na Wahariri wa vyombo vya habari leo Novemba 25, 2025 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali iytatumia nguvu na jitihada yoyote ile ili kulinda nchi na raslimali za Tanzania
"Wanaotumwa na wanaomezea mate never on earth, tutatumia jitihada na nguvu zote na
gharama yeyote kulinda rasilimali za Tanzania na Tanzania yenyewe"- Amesema Mwigulu
"Wanaotumwa na wanaomezea mate never on earth, tutatumia jitihada na nguvu zote na
gharama yeyote kulinda rasilimali za Tanzania na Tanzania yenyewe"- Amesema Mwigulu