The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Kumbaff. Mnaona mali ndo muhimu kuliko wenye mali yaani watanzania mnaowaua kama kuku mashetani nyie? Sheenzi kabisa na kumbaff kuba sana tena mafi ya kuku.Akizungumza na Wahariri wa vyombo vya habari leo Novemba 25, 2025 Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali iytatumia nguvu na jitihada yoyote ile ili kulinda nchi na raslimali za Tanzania
"Wanaotumwa na wanaomezea mate never on earth, tutatumia jitihada na nguvu zote na
gharama yeyote kulinda rasilimali za Tanzania na Tanzania yenyewe"- Amesema Mwigulu