rasilimali za umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Samia ahimiza usimamizi wa rasilimali za umma katika mkutano wa IPU

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameyataka mabunge kuimarisha usimamizi wa rasilimali za umma na uwajibikaji wa serikali, akisisitiza kuwa wananchi wanatarajia wawakilishi wao kulinda maslahi yao na kuhakikisha mahitaji yao yanazingatiwa katika maamuzi. Rais...
  2. JamiiForums Tanzania Dk Nchimbi amepigia jibu mstari. Kiongozi kama Hayati Magufuli na Sokoine ndio Mwl Nyerere aliwahitaji kulinda rasilimali za umma.

    Ni wazi ameweka ukweli kwa umma wa Watanzania kuwa uongozi uliopo sasa hivi haupo kulinda rasilimali za umma. Wizi upigaji na mtandao wa wanaCCM wezi wa mali za umma ndio waliopo madarakani. Hayati Julius Nyerere alitaka Sokoine awe mrithi wake lakini akafa kwa ajli yenye utata. Hayati...
  3. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliwashinga nguvu CHADEMA kwa wanancho sababu alidhibiti ufisadi na kusimamia rasilimali za umma

    Ikumbukwe kuwa CHADEMA walishawahi kuwabana CCM juu ya kashifa nyingi za ufisadi kiasi kwamba watu wakaichukia CCM. CCM iliyokuwa chini ya Kikwete ilichukiwa kama mavi. Magufuli alipoingia madarakani akapambana na ufisadi. Akasimamia vyema rasilimali za umma wananchi wakampenda. Akaleta...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Matumizi mabaya ya rasilimali za umma katika matumizi ya chama

    CCM mtuambie hizi ndege zimetoka kwenye taasisi gani?! Tunaozijua tumeshajua zimetoka wapi, maana hazina utofauti na zile zilizotumika kutoa msaada kwa wahanga wa maporomoko ya Mlima Hanang Mkoani Manyara, na zile zinazotumika na taasisi za ulinzi Tanzania licha ya kupakwa rangi za CCM bado...
  5. JamiiForums Tanzania LGE2024 Makamu Mwenyekiti wa ACT Bara: CCM imekuwa ni genge la wahalifu. Kazi pekee wanayoweza ni kuiba rasilimali za umma!

    Wanaukumbi, ACT imeendelea kutoa spana kwa chama tawala yaani CCM. Akiwa anazungumza kwenye kampeni Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita alitoa tuhuma kali dhidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), akidai kuwa chama hicho kimegeuka kuwa genge la wahalifu linalojinufaisha na...
  6. JamiiForums Tanzania Lucas Mwashambwa toa maoni yako kuhusu kauli ya Rais Paul Kagame

    "If the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their minds”
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…