Wanasheria wetu wanaonisoma, naombembeni mlisaidie Taifa kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote inayohusu rasilimali zetu ambazo utawala wa Rais Samia umesaini ipelekwe bungeni.
Tunajua kuwa ipo sheria inayohusu rasilimali na Soveregnty ya nchi, inayotaka mikataba yote inayohusu rasilimali...
Ukikaa vijiweni, baa au kwenye maofisi ya umma, mjadala ni namna CHADEMA wanavyopambana kulinda rasilimali za Tanzania.
Utasikia watu wakisema nilikuwa naichukia CHADEMA ila kwa hili.
Nilikuwa namchukia Lissu ila kwa hili.
Mwisho kabisa wanakamilisha mjadala kwa kusema. Mama anatumiwa na ...
Tangu mimi binafsi nimezitambua na kuzionja siasa za Vyama vingi hapa Tanzania tangu ianzw rasmi 1992 nakiri kabisa hakujawahi kuwa na umoja kama huu.
Vyama mbali mbali vya siasa na asasi za kiraia mbali mbali zimekuwa zikielimisha wananchi kuhusu elimu ya kiraia na kutanabaisha ipo siku...
I. UTANGULIZI
Aya ya 19(2) katika Katiba ya Tanzania (1977) inaizuia serikali kujitenga na ubaguzi wa kidini na kuhimiza usawa wa kidini kwa kutumia maneno ifuatayo:
"Bila ya kuathiri sheria zinazohusika za Jamhuri ya Muungano, kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni...
Hii ndio Taarifa ya sasa tunayokunong'oneza kutoka kwenye vyanzo vyetu vya Uhakika zinadai Kwamba Balozi Dkt. Wilbrod Slaa ambaye ni miongoni mwa Watetezi wa Bandari za Tanganyika, anasafirishwa Usiku huu kuelekea Mbeya, kwa lengo la kuunganishwa na 'wahaini' wenzake ili wafikishwe Mahakamani ...
Nijijibu mwenyewe kuwa ukubwa wa timu ya Azam UPO KWENYE RASILIMALI HASA KIWANJA, TV NA VIWANDA NA WALA SIO UWANJANI.
Uwanjani Timu ya Azam ni sawa tu na Coastal Union, Moro Utd, Mtibwa , Ruvu shooting nk
Kweli wamedhamiria, mnaalikwa kwenda kutoa maoni juu ya mabadiliko ya sheria mbalimbali kama tangazo linavyoonekana.
Miongoni mwa sheria zinazobadilishwa ni 'The natural wealth and resources act".
Ni wazi kuwa mabadiliko hayo yanafanyika ili kuhalalisha haramu ya mkataba wa DPW.
Kazi kwenu...
Kama viongozi wameshindwa kuondoa somo la Historia linalopotosha ukweli wa asili ya binadamu wanaweza kutetea rasilimali zetu?
Kama viongozi wetu wanaamini Afrika haiwezi kuendelea bila wazungu na kwao mzungu yoyote ni tajiri na mtu mwema; wataweza kulinda rasilimali zetu mbele ya wazungu...
Utawala Bora na Uwajibikaji katika Kuenzi Rasilimali za Asili na Uhifadhi wa Mazingira
Utangulizi
Rasilimali za asili na mazingira ni hazina muhimu kwa maendeleo na ustawi wa jamii na taifa. Kuhifadhi na kuenzi rasilimali hizo ni jukumu letu sote. Katika makala hii, tutajadili jinsi utawala...
Utangulizi
Rasilimali za taifa ni tunu muhimu ambazo zinapaswa kutumiwa kwa manufaa ya wananchi wote. Kwa miongo mingi, suala la uwazi na uwajibikaji katika matumizi ya rasilimali za taifa limekuwa likikumbwa na changamoto nyingi, zinazosababisha wananchi kushindwa kunufaika ipasavyo na utajiri...
Kama watanzania wengi wakiwemo viongozi wa dini wamekataa kuuza au kukodisha bandari kwanini wanasiasa wasiwaache wabaki na umaskini wao? Maendeleo gani ya kulazimishana?
Kwanza hatujawahi kuwauliza kama wanataka fedha nyingi kama hayo matrilioni. Tumeshawaonyesha njia wamekataa kuipita...
Kwa mujibu wa hotuba ya mh. Pius Msekwa katibu wa bunge kipindi cha kusaini hati ya muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar amedai kwamba baada tu ya muungano huo rais wa Zanzibar Mzee Karume alijihudhuru cheo chake cha urais na kuwa Makamo wa rais wa Kwanza wa JMT chini ya rais Mwl. JK...
Tuna rasilimali nyingi sana Tanzania,
Naomba kufahamishwa hata kama ni Kwa miaka mitano mitano top five ya sekta zilizoonogoza kwenye makusanyo mengi ya mapato (Kwa tshs),
Mfano wa sekta mojawapo ni kama.
1. Mbuga za wanyama Kwa ujumla
2. Bandari Kwa ujumla
3. Mifugo Kwa ujumla
4. Madini...
Mkuu wa Kitengo cha Rasilimali watu Benki ya Maendeleo ya Kilimo Noelah Ntukamazina anashirikiana na afisa mwandamizi wa rasilimali watu Abraham Mwakasungula kupata fedha kwenye taasisi ya serikali bila kufuata taratibu za mikopo ya wafanyakazi.
Mwaka 2023, Afisa mwandamizi wa rasilimali watu...
Lissu alipokuwa katika mkutano wa hadhara Kisarawe jana 9/7/2023 alisema, Magufuli alitufanyia mambo mengi sana mabaya, aliongoza nchi kama mali yake binafsi, lakini asisingiziwe kwenye kufanya biashara na Raslimali za nchi yetu kama alivyofanya Mwinyi, Mkapa au Kikwete, na kwamba aliwavuruga...
Watanzania wapendwa,
China ilipokuwa na nia ya kuwekeza 35% katika bandari ya Hamburg ambayo ni bandari kubwa kabisa Ujerumani, bunge la Ujerumani, wizara sita za Serikali ya Ujerumani na Usalama wa Taifa (yaani Foreign Intelligence Service) ya Ujerumani na European Commission wote walikataa na...
Utangulizi
Nimesoma machapisho mbalimbali kuhusiana na utajiri wa Afrika, nikagundua Bara la Afrika ni Tajiri kuliko mabara yote duniani. Tumebarikiwa kwa Ardhi kubwa yenye rutuba; na yenye rasilimali nyingi.
Sasa utajiuliza, kwa nini Bara la Afrika pamoja na utajiri wake ni maskini kuliko...
si kila mtu anaweza kuwa kiongozi, na wote hatuwezi kuwa viongozi lakini kiongozi mzuri ni yule mwenye haiba ya (stewarship) kutunza rasilimali za watu wake, lakini pia kukubali kukosolewa na kuwa tayari kutumia karama za wengine na kuchanganya na zake ili aweze kusaidia watu anaowaongoza...
Ndugu zangu nimeona nami nianzishe huu uzi ili tusaidiane kuwaza na kusafiri pamoja.
Hoja yangu inaanzia kwenye hili jambo la Bandari na huu uwekezaji wenye utata.
Mosi: nadhani kama kuna watu wa kubeba lawama ni wale waliyopewa dhamana ya kuongoza serikali kwa kushindwa kusimama kwenye nafasi...