rasilimali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Watanzania ni Watu wa ajabu. Wanapigiaje kelele jambo dogo la Bandari, lakini Mambo Muhimu ya Msingi kama Katiba na Uhuru wao wapo Kimya?

    Wanabodi Nipashe la leo, Kama kawaida yangu kila Jumapili, huwaletea makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, kuzungumzia jambo lolote la kisiasa, kiuchumi na kijamii lenye maslahi kwa taifa. Mada hizi huwa zina, swali , na hoja, kisha jibu, utalitoa wewe msomaji mwenywe. Swali la leo ni kutuhusu...
  2. B

    Ya Bandari, Rasilimali za Taifa, Umasikini na Rushwa: Je, sisi ni Taifa huru? Aina tatu za uhuru

    Asalam, bado naendelea kujiuliza uliza, je tuna uhuru wa aina gani? je jirani yangu yuko huru? je Mzee Mwanakijiji yuko huru? Je FaizaFox Yuko huru? na Mzee Paschal Mayala yuko Huru? Vipi Mamdenyi na Esta hapa? Uhuru wa Kisiasa Uhuru wa kisiasa ni uhuru ambao watu binafsi wanao kushiriki...
  3. C

    Vizazi vijavyo vikikuta rasilimali si zao vitaanzisha uasi na kuingia msituni kuipinga serikali

    Angalizo. Wajukuu na watoto wetu baadae wakija kupata akili wakaona rasilimali za ardhi yao kama bandari si yao tena, ardhi si yao tena, mbuga za wanyama hawana umili nazo tena lazima moto uwake. Katika kila uwekezaji lazima tuzingatie 50/50 yaani wakija kukuta wana asilimia 50 ya umiliki hapo...
  4. Mashirika ya umma na rasilimali za nchi zinazoendelea kuuzwa kwa kivuli cha mikataba

    Ni uchungu sana kuona kwamba rasilimali za taifa, mashirika ya umma na hata utu na uhuru wetu unaendea kuchezewa na wachache au yeyote atakayepewa mamlaka ya urais wa nchi hii. Yaani yeye na watu wake kwa kipindi chake. Kila rais anayeingia madarakani hupiga pake na kutulia kimya akijua...
  5. M

    SoC03 Maboresho yenye tija

    Ni muhimu kwa Tanzania kuendelea kufanya marekebisho ya sera na sheria zake za usimamizi wa rasilimali ili kuhakikisha uwazi, uwajibikaji na ufanisi katika matumizi ya rasilimali za umma. Katika usimamizi mzuri wa rasilimali serikali unatakiwa kufanya yafuatayo. Serikali inapaswa kuweka mifumo...
  6. M

    Wabunge wenye maono ya Magufuli wamenyimwa nafasi kuchangia muswada wa Bandari au Wamepuuza udalali wa rasilimali za nchi?

    Mle bungeni kuna wabunge ambao hawakubaliani na ugawaji holela wa uendeshaji wa bandari yetu. Wabunge hao wamejikuta wanatengwa na Spika kwa kuwanyima fursa ya kuchangia muswada wa bandari ili kutoa nafasi kwa wabunge wenye kuweka mbele masilahi yao binafsi ndani ya chama kuchangia. Leo hii...
  7. Changamoto za Muungano wetu

    Vitu vingine tinavisbabisha wenyewe wenzenu kule hawataki tuguse hata mali yao hata moja lakini wao wakija huku bara wanataka kila kitu tena wanapewa nafasi ya upendeleo kuliko mzawa. Mimi kilichoniuma zaidi mwaka juzi dogo langu alikuwa anafukuzia JKT sasa wapo kwenye mchujo. Mchujo wenyewe...
  8. Njia kuu za Kiuchumi, Rasilimali na Usalama wa Nchi Kimataifa Kubinafsisha Wageni Sio Sahihi

    Wakuu Kama mada ilivyopandishwa hapo juu, yafuatayo ni masuala hatari sana kuyakabidhi kwa wageni kukodi, kubinafisisha au kuuza kwao maana yanahatarisha usalama wa nchi na uchumi wake wa ndani na nje 1. Usafiri wa anga 2. Usafiri wa maji wa nchi kutoka nchi moja au bara kwenda kwingine 3...
  9. R

    Katiba Mpya inakuja kutusaidia nini kama tumeuza madini, gesi, mbuga, visiwa na bandari?

    Tumeuza visiwa, tukauza gesi, tukauza madini na sasa bandari; je, hii Katiba mpya inakuja kusimamia nini au kutusimamia tusipingane na wanunuzi? Tunaposema Katiba mpya huku tukiwa tunaingia mikataba ya kuuza rasilimali zetu, means Katiba haitasema jambo na ikisema jambo halitatekelezeka.
  10. K

    Umuhimu wa motisha kwa wafanyakazi

    Motisha kwa wafanyakazi ni kitu kinachowafanya wafanyakazi kuwa hamasa ya kufanya kazi kwa bidii na ufanisi. Motisha inaweza kuwa katika malipo, au kutambulika katika mchango walio nao. Katika Tanzania, kuna umuhimu mkubwa wa wafanyakazi kupewa motisha ili kuchochea maendeleo na uwajibikaji...
  11. Mbowe ataka rasilimali watu ikomboe Afrika kiuchumi

    Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na akiwa Afrika ya Kusini, Mbowe Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Vyama vya Demokrasia Afrika (DUA), ametoa wito huo nchini Afrika Kusini, akifungua kongamano la kujadili usalama na ulinzi, demokrasia na biashara barani...
  12. Kuna umuhimu wa sote kubeba jukumu la kutunza Rasilimali za Maji

    Mamilioni ya watu duniani kote hawana ufikiaji wa kutosha wa mojawapo ya vitu muhimu zaidi katika maisha - yaani maji safi. Ingawa serikali na taasisi za kimataifa zimesaidia wengi wanaoishi katika maeneo yenye tatizo la maji kupata huduma kwa kadiri inavyowezekana, bado tatizo hilo linatarajiwa...
  13. Je, ungefanya nini kama ungekuwa na rasilimali zisizo na kikomo?

    Fikiria kwa muda kwamba una rasilimali zisizo na kikomo - muda usio na kikomo, pesa zisizo na kikomo kumzidi hata Elon Musk, maarifa yasiyo na kikomo zaidi ya watu maarafu kama kina Isaac Newton, na uwezo usio na kikomo. Ungefanya nini na wingi huu? Ungesafiri kwenda sehemu zote duniani...
  14. Wizara ya mafuta na gesi (Ministry of Oil and Gas) itataleta maendeleo makubwa na ya haraka zaidi kwenye sekta ya mafuta na gesi

    Maoni yangu kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano na Wizara ya Nishati Mimi nashauri tungeanzisha wizara ya mafuta na gesi (Ministry of Oil and Gas). Wizara ya nishati igawanywe mara mbili kuwa wizara ya mafuta na gesi (Ministry of Oil and Gas) na wizara ya nishati (Ministry of Energy). Wizara ya...
  15. Nape: Rasilimali za nchi kutumika vibaya ni kwasababu wanahabari wamefumba macho

    Waziri wa habari, Nape Nnauye akizungumza kwenye kongamano la habari leo, tar. 17, 12, 2022 lenye kauli mbiu isemayo, habari kwa maendeleo endelevu. Nape amesema, rasilimali za Taifa kutumika vibaya ni kwasababu wanahabari wamefumba macho, hawatumii kalamu zao kuibua ubadhilifu. Amesema...
  16. Taifa lolote linapokosa kiongozi mwenye msimamo thabiti na madhubuti raia wake huangaika hata kama kuna utajiri wa rasilimali

    Angalia Drc wakati wa Mobutu wa Zabanga. Pamoja na utajiri wake wote ule raia wake waliishi kwa tabu na umasikini mkubwa. Mpaka leo hii imekuwa ni kama laana. Huko Afrika ya kati mataiafa kama Niger ni aibu kwa Africa yetu. Leo hii taifa kama Tanzania pamoja na kuwa na rasilimali lukuki...
  17. Utajiri wa nchi ni akili za Watu sio rasilimali kama madini na nyinginezo

    UTAJIRI WA NCHI NI AKILI ZA WATU, SIO RASILIMALI KAMA MADINI N.K. Anaandika, Robert Heriel. Huwaga namshangaa mtu anayesema nchi yetu ni Tajiri. Kwa kweli sio tuu anachekesha Bali pia anaonyesha jinsi alivyokuwa mjinga na asiyeweza kufikiri sawia. Kama nikiulizwa hivi leo sababu gani...
  18. Tanzania, je hatuoni aibu kuendelea kulilinda na kulienzi jina la mwizi wa rasilimali zetu?

    Tarehe 4 Januari 1917, vita ilikuwa imepamba moto. Majeshi wa Uingereza dhidi ya majeshi ya kijerumani katikati ya nchi ya Tanganyika eneo la mto Rufiji. Askari wa kingereza, jina lake Frederick, alikuwa amejificha mahali kukabiliana na askari wa kijerumani. Akachukua "darubini" kutazama ni...
  19. M

    Kwa mabeberu: Ni haki wao kudhulumu ardhi na rasilimali za nchi zingine, bali ni dhambi kwa wengine kukaribishwa na nchi nyingine kuwa washirika!

    Mpaka leo Marekani inakalia kwa nguvu sehemu kubwa tu ya ardhi ya Syria na wanachimba mafuta huko kwa kuwatumia waasi!! Hutawasikia umoja wa mataifa ukilalamikia hilo!! Marekani iliingia Syria kwa nguvu kwa lengo la kumng'oa rais Saad wa Syria. Urusi ilialikwa na syria ili itoe msaada na urusi...
  20. J

    Bunge limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Usimamizi wa Rasilimali za Maji ya mwaka 2022

    Bungeni Dodoma Leo tarehe 15 Agosti, 2022 Bunge la limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Usimamizi wa Rasilimali za Maji ya mwaka 2022 (The Water Resources Management Act, 2022). Kupitishwa kwa sheria hii kutaimarisha Bodi za mabonde ya Maji katika kusimamia Rasilimali za Maji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…