ratiba mgao maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania KERO Mgao wa maji Dar na Pwani; Ratiba inatoka lakini maji hayatoki, hii ni danganya toto!

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) ilitangaza ratiba ya mgao wa maji kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Dar es Salaam na Pwani. Hata hivyo, utekelezaji wa ratiba hiyo haujakidhi matarajio ya wananchi. Wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya mikoa hiyo wamekuwa wakilalamikia kutopata...
Back
Top Bottom