KERO Mgao wa maji Dar na Pwani; Ratiba inatoka lakini maji hayatoki, hii ni danganya toto!

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) ilitangaza ratiba ya mgao wa maji kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Dar es Salaam na Pwani. Hata hivyo, utekelezaji wa ratiba hiyo haujakidhi matarajio ya wananchi.

Wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya mikoa hiyo wamekuwa wakilalamikia kutopata huduma ya maji pale inapofika zamu yao kulingana na ratiba iliyotolewa. Wapo wanaodai maji hayatoki ikifika zamu yao, wengine wanasema yanatoka kwa muda mfupi sana, huku baadhi wakisema maji hutoka usiku wa manane kwa presha ndogo, wakati ambao wengi wao tayari wamepumzika.

Soma Pia: DAWASA yatoa ratiba ya mgawo wa maji Dar

Hali hii imeibua maswali kuhusu uwezo wa DAWASA kuzingatia na kutekeleza ratiba waliyoiweka wao wenyewe, jambo linaloendelea kuwakatisha tamaa watumiaji wa huduma hiyo muhimu. Wananchi wanaona bora kununua kwa wauzaji binafsi ambao nao wanauza kwa gharama kubwa mpaka Tsh. 50,000 kwa unit moja (Lita 1000)

Nachoka sana,
kaka yenu Mwizukulu wa Buganda, Mpao

Maji dawasa.jpg
dawasa 2.jpg
 
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) ilitangaza ratiba ya mgao wa maji kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Dar es Salaam na Pwani. Hata hivyo, utekelezaji wa ratiba hiyo haujakidhi matarajio ya wananchi.

Wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya mikoa hiyo wamekuwa wakilalamikia kutopata huduma ya maji pale inapofika zamu yao kulingana na ratiba iliyotolewa. Wapo wanaodai hupata maji kwa muda mfupi sana, huku wengine wakisema maji hutoka usiku wa manane, wakati ambao wengi wao tayari wamepumzika.

Soma Pia: DAWASA yatoa ratiba ya mgawo wa maji Dar

Hali hii imeibua maswali kuhusu uwezo wa DAWASA kuzingatia na kutekeleza ratiba waliyoiweka wao wenyewe, jambo linaloendelea kuwakatisha tamaa watumiaji wa huduma hiyo muhimu. Wananchi wanaona bora kununua kwa wauzaji binafsi ambao nao wanauza kwa gharama kubwa mpaka tsh 50 kwa unit moja (Lita 1000)

Nachoka sana,
kaka yenu Mwizukulu wa Buganda, Mpao

hahahahhahaha daaaah ratiba inatoka maji hayatoki hahahahahahahaha daaah watu mnachekesha kqel yan...!
 
Tutoke tuandamane twende na ndoo zetu Dawasco, ile kampeni ya kumtua mama ndoo imefikia wapi?
Halafu mlikuwa mnalaumu Gen Z kuchoma ofisi za Dawasco sasa ndio mtaanza kuwaelewa vizuri kuwa walikuwa wanaangalia nchi kwa jicho la tatu.
 
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) ilitangaza ratiba ya mgao wa maji kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Dar es Salaam na Pwani. Hata hivyo, utekelezaji wa ratiba hiyo haujakidhi matarajio ya wananchi.

Wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya mikoa hiyo wamekuwa wakilalamikia kutopata huduma ya maji pale inapofika zamu yao kulingana na ratiba iliyotolewa. Wapo wanaodai hupata maji kwa muda mfupi sana, huku wengine wakisema maji hutoka usiku wa manane, wakati ambao wengi wao tayari wamepumzika.

Soma Pia: DAWASA yatoa ratiba ya mgawo wa maji Dar

Hali hii imeibua maswali kuhusu uwezo wa DAWASA kuzingatia na kutekeleza ratiba waliyoiweka wao wenyewe, jambo linaloendelea kuwakatisha tamaa watumiaji wa huduma hiyo muhimu. Wananchi wanaona bora kununua kwa wauzaji binafsi ambao nao wanauza kwa gharama kubwa mpaka tsh 50 kwa unit moja (Lita 1000)

Nachoka sana,
kaka yenu Mwizukulu wa Buganda, Mpao

Amani Amani Amani
 
Ndo haki watu wanazosema lakini kuna mijitu inakenua meno na neno amani. Hakuna matunda(amani) bila mti(haki). Sasa mtu anakwambia tu amani. Je wanajua amani inapatikanaje au wao wanajua tu ni kwa mitutu ya bunduki. Popote pale haki ndo uinua taifa si kwa mafedha, hapana ni kuinuka kwa amani, upendo, kuvumiliana, etc. Siyo kwa bunduki na matisho mengi.
 
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) ilitangaza ratiba ya mgao wa maji kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Dar es Salaam na Pwani. Hata hivyo, utekelezaji wa ratiba hiyo haujakidhi matarajio ya wananchi.

Wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya mikoa hiyo wamekuwa wakilalamikia kutopata huduma ya maji pale inapofika zamu yao kulingana na ratiba iliyotolewa. Wapo wanaodai hupata maji kwa muda mfupi sana, huku wengine wakisema maji hutoka usiku wa manane, wakati ambao wengi wao tayari wamepumzika.

Soma Pia: DAWASA yatoa ratiba ya mgawo wa maji Dar

Hali hii imeibua maswali kuhusu uwezo wa DAWASA kuzingatia na kutekeleza ratiba waliyoiweka wao wenyewe, jambo linaloendelea kuwakatisha tamaa watumiaji wa huduma hiyo muhimu. Wananchi wanaona bora kununua kwa wauzaji binafsi ambao nao wanauza kwa gharama kubwa mpaka tsh 50 kwa unit moja (Lita 1000)

Nachoka sana,
kaka yenu Mwizukulu wa Buganda, Mpao

Waziri mwenyewe wa maji ni yule ? Akiongea anapaza sauti kama mpiga ramli?
Hamna kitu hapo
 
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) ilitangaza ratiba ya mgao wa maji kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Dar es Salaam na Pwani. Hata hivyo, utekelezaji wa ratiba hiyo haujakidhi matarajio ya wananchi.

Wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya mikoa hiyo wamekuwa wakilalamikia kutopata huduma ya maji pale inapofika zamu yao kulingana na ratiba iliyotolewa. Wapo wanaodai maji hayatoki ikifika zamu yao, wengine wanasema yanatoka kwa muda mfupi sana, huku baadhi wakisema maji hutoka usiku wa manane kwa presha ndogo, wakati ambao wengi wao tayari wamepumzika.

Soma Pia: DAWASA yatoa ratiba ya mgawo wa maji Dar

Hali hii imeibua maswali kuhusu uwezo wa DAWASA kuzingatia na kutekeleza ratiba waliyoiweka wao wenyewe, jambo linaloendelea kuwakatisha tamaa watumiaji wa huduma hiyo muhimu. Wananchi wanaona bora kununua kwa wauzaji binafsi ambao nao wanauza kwa gharama kubwa mpaka Tsh. 50,000 kwa unit moja (Lita 1000)

Nachoka sana,
kaka yenu Mwizukulu wa Buganda, Mpao

ni wahuni, ukidaiwa hata 5,000 wanakata maji. Mda mgao simu hawaokoti
 
Back
Top Bottom