real madrid

  1. Teko Modise

    Baada ya Liverpool kutolewa jana, leo ni zamu ya Real Madrid kuaga mashindano

    Jana kulikuwa na mechi nzuri sana kati ya Liverpool dhidi ya PSG katika usiku wa Ulaya. Mechi ikaisha kwa PSG kushinda kwa matuta huku wakiubonda sana mpira mwingi. Ikawashtua mashabiki wengi wa soka ambao hawakutarajia kama Liverpool ingeondolewa hasa katika uwanja wake wa nyumbani. Leo ni...
  2. Camilo Cienfuegos

    Full Time: Real Madrid 3 - 1 Man City | UCL | Knock out stage | Estadio Santiago Bernabeu | 19.02.2025

    Leo kuna mchezo wa marudiano baina ya Real Madrid vs Man City. Ni mchezo wa aina yake mara baada ya mechi ya kwanza ambapo Real Madrid aliibuka na ushindi wa 3-2. Je Man City wafanyeje ili waweze kufuzu? Mechi ni saa 5:00 usiku
  3. T

    Makocha wa vilabu vikubwa (Barcelona, Real Madrid) huwa wanawafundisha nini wachezaji wao? Mbona kama wote wanajua?

    Luis Figo, Zinedine Zidane, Rolando De Lima, Raul Gonzalez, Gonzalo Higuain, Ronaldinho Gaucho, Steve MacManaman, Michael Owen, Patrick Cluvert, Rivaldo, Ricardo Kaka na wengineo wengi, watu kama hawa huwa makocha wanawafundisha nini?? Kocha kama wa Ihefu au Ken Gold at least utasema kocha ana...
  4. Damaso

    El Clásico: The Ultimate Derby in the World of Football

    Katika dunia ya soka, hakuna mechi inayosikika sana, kuvutia mashabiki wengi, na kuwa na mvuto mkubwa kama El Clásico, mechi kati ya FC Barcelona na Real Madrid. El Clásico ni moja ya michezo inayohusisha siyo tu timu mbili kubwa za Hispania, bali pia ni tukio la kihistoria, lenye mvuto mkubwa...
  5. JanguKamaJangu

    Real Madrid yakata tamaa kumsajili Trent Alexander-Arnold katika dirisha la Januari

    Imeelezwa kuwa Klabu ya Real Madrid imekata tamaa zoezi la kumsajili beki wa pembeni Trent Alexander-Arnold kutoka Liverpool katika Dirisha Dogo la Usajili wa Januari, hiyo ni baada ya ofa yao ya Pauni Milioni 20 kudaiwa kukataliwa. Trent (26) anaelekea mwishoni mwa mkataba wake na kama...
  6. Acehood

    Chaneli gani inaonyeshwa fainali ya supercup Barcelona vs real Madrid

    Chaneli gani inaonyeshwa fainali ya supercup Barcelona vs real Madrid
  7. M

    SI KWELI Roberto Carlos anatumia eneo la mazoezi ya klabu ya Real Madrid kama makazi baada ya kutaka kutalikiana na mkewe

    Nyota wa zamani wa Real Madrid, Roberto Carlos anadaiwa kuingia kwenye mgogoro na mkewe hali iliyopelea atumia majengo ya uwanja wa mazoezi wa Real Madrid kama makazi wakati akishughulikia suala lake la talaka na mkewe waliodumu kwa miaka 15 Wenzi hao, waliofunga ndoa mwaka 2009, sasa...
  8. Shooter Again

    Hivi Kuna klabu kubwa na Bora duniani zaidi ya real Madrid

    Naomba kujibiwa hili swali wakuu hivi Kuna klabu kubwa na Bora duniani zaidi ya hii timu ya real Madrid hapa tunaongea ki mpira na si kishabiki
  9. Shooter Again

    Rasmi nimeongeza timu ya kushangilia ambayo ni Real Madrid ili nifurahie makombe

    Siku ya Leo kwa akili zangu timamu rasmi NIMEONGEZA TIMU ya kushangilia ambayo ni real Madrid sitaki ushauri wowote sababu arsenal siioni ikichukua kombe la UEFA hivyo nimeona Madrid ni timu sahihi kwangu kunipa furaha sababu ni wababe wa dunia kwenye suala la soka na niseme ukweli tu nilikua...
  10. Minjingu Jingu

    Hii Yanga ya sasa ikikutana na Real Madrid, Barcelona, Liverpool isipozifunga hizo team nipigwe ban milele

    Hii Yanga unaifungaje? Dube gari limewaka moto. Majini yote yametoka baada ya kuombewa na wachezaji wengine wamemwelewa kocha. Aziz Ki mnamwona? Hatari sana Chama je? Ikitokea Yanga hii inacheza na Real Madrid au Liverpool au Barca. Isiposhinda Yanga nipigwe ban. Sifai kabisa kuwemo humu. Hizo...
  11. Damaso

    Kylian Mbappé na Mgogoro Wake katika Real Madrid

    Kylian Mbappé, mmoja wa wachezaji bora zaidi wa soka duniani, amekuwa katika hali ngumu tangu kujiunga na Real Madrid akitokea PSG. Licha ya uzoefu wake mkubwa na uwezo wake wa kuamua mechi, amekuwa akipitia kipindi kigumu cha kutengeneza matokeo katika timu yake mpya. Kuhama kutoka klabu kubwa...
  12. Waufukweni

    Vinicius Jr hatasafiri kwenda Paris kwa vile anajua "Hatashinda" Ballon d'Or mwaka huu

    Mchezaji nyota wa Real Madrid, Vinicius Jr, hatasafiri kwenda Paris kwa ajili ya hafla ya utoaji tuzo ya Ballon d’Or baada ya kujua hatashinda tuzo hiyo mwaka huu. Uongozi wa klabu hiyo umeamua kwamba hakuna mwakilishi yeyote wa Real Madrid atakayehudhuria hafla hiyo ya kifahari. Soma Pia...
  13. Waufukweni

    Vipigo vikubwa alivyowahi pokea Real Madrid dhidi ya FC Barcelona kwenye El Clasico

    Baada ya jana kuchapika bao 4-0 pale pale Bernabeu. Hivi hapa ndio vipigo vikubwa alivyowahi pokea Real Madrid dhidi ya FC Barcelona kwenye El Clasico
  14. Teko Modise

    Full Time El clasico: Real Madrid 0-4 Barcelona | La Liga | Santiago Bernabeu | 26.10.2024

    Saa 4:00 usiku wa leo, kunapigwa mchezo mkubwa wa el clasico. Real Madrid dhidi ya Barcelona kule Santiago Bernabeu, Barcelona wako form huku Madrid wakiwa wa moto. Ni El clasico nzuri baada ya miaka mingi sana kuwa mechi ya kawaida. Nini kitatokea? Nani atafungwa? Huku kuna Mbappe, Vini Jr...
  15. mdukuzi

    Kwa sasa hakuna mchezaji bora zaidi ya Vinicius Junior(vini jr)

    Mpappe,Messi,Robaldo,taja mwingine,ukuwajumlisha kwa pamoja kwa sasa ndio unampata Vini Jr
  16. JanguKamaJangu

    Deschamps ashangaa Mbappe kuipotezea Ufaransa upande wa pili akubali kuichezea Real Madrid

    Kocha wa Timu ya Taifa ya Ufaransa, Didier Deschamps amesema ameshangazwa na uamuzi wa Kylian Mbappe kuomba kupumzishwa katika Timu ya Taifa ili awe fiti baada ya kupona majeraha lakini mchezaji huyo ameonekana akicheza klabu yake ya Real Madrid. Mbappe (25) alipata majeraha ya thigh injury...
  17. oko majimaji

    Thibaut Courtois alitupiwa mfuko wenye Kinyesi

    Jana tarehe 29 Septemba kwenye Madrid derby golikipa wa Real Madrid, Thibaut Courtois alitupiwa kifuko cha Kinyesi a.k.a Nnyaa na mashabiki wa Atletico Madrid.
  18. Chachu Ombara

    Raphael Varane atangaza kustaafu mpira wa miguu wa Kulipwa Akiwa na Miaka 31

    Raphael Varane, beki wa Ufaransa, ametangaza rasmi kustaafu kutoka mpira wa miguu wa kulipwa akiwa na umri wa miaka 31. Varane soka lenye mafanikio makubwa, akishinda mataji mengi, ikiwa ni pamoja na mataji manne ya UEFA Champions League na mataji matatu ya La Liga wakati akiwa Real Madrid. Pia...
  19. SAYVILLE

    Real Madrid ilipomaliza mechi bila kuwa na shot on target hata moja

    Kuna wakati unasikiliza baadhi ya watu huku mitandaoni unabaki kujiuliza hawa watu wanaujua kweli mpira au naongea na bots (kwa wasiojua bots ni mifumo ya kicomputer inayoact kama binadamu mitandaoni ikiwemo kupost comments). Mambo mengi ambayo tunashadadia ni ya kawaida sana kwenye ulimwengu...
  20. Eli Cohen

    Aisee Barcelona msimi huu hawataki mchezo azidi kutembeza vipigo

    Kama mshabiki wa R Madrid roho yangu ipo juu juu
Back
Top Bottom