Jana nilicheki mechi baina ya Real Mallorca vs Real Madrid, gemu iliisha kwa sare ya bao 1 -1, mpira mwingi ulipigwa na Real Mallorca jana na almanusura Madrid walie dakika za mwisho, Real Madrid ndio mabingwa wa soka duniani, ndio timu yenye mafanikio makubwa namba duniani, timu yenye makombe...
𝗥𝗘𝗖𝗢𝗥𝗗: Real Madrid inaandika historia ya kuwa klabu ya kwanza kutwaa mataji mengi ya UEFA Super Cup (mara 6)
Real Madrid imetwaa kombe la UEFA Super Cup kwa mara ya sita kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Mabingwa watetezi wa Europa League, Atalanta katika dimba la PGE Narodowy mjini Warsaw...
Leo saa 4:00 Usiku kwa masaa ya Afrika ya Mashariki, kutakuwa na pambano la Uefa Super Cup katika dimba la taifa la Poland.
Bingwa wa Uefa Champions League atamenyana na bingwa wa Uefa Europa League.
Real Madrid Vs Atalanta
Dunia inaenda kumshuhudia Mbappe kwa mara ya kwanza akiwa ndani ya...
Klabu za Hispania, #RealMadrid na #FCBarcelona zinaendelea kumfuatia kwa ukaribu beki wa pembeni wa #Liverpool, Trent Alexander-Arnold (25), ambaye mkataba wake unatarajiwa kumalizika mwishoni mwa Msimu wa 2024/25.
Inadaiwa Liverpool ipo tayari kumpa mkataba mpya utakaomfanya alipwe Pauni...
Simba na Yanga ni timu kubwa zisizo na vyanzo vya mapato vinavyoeleweka hii ni kutokana na ukosefu wa mipango ya kueleweka , lakini pia kuwa na viongozi wabovu .
Ingawa na siasa inachangia pia , mikataba inatekelezwa kimaneno hakuna vitendo .
Hatumuelewi Mzee Magoma sababu ya umasikini wa...
Mbali na Real Madrid kuchukua kombe msimu huu kutokana na kuwa na bahati tu ila ukija kwenye ubora wa timu basi Manchester United ni zaidi ya Madrid
Kwakuangalia uwezo wa nchezaji mmoja mmoja kati ya United na Madrid utagundua kuwa Manchester United wana qualities player kuliko Real Madrid
Pia...
Club ya Real Madrid ya Hispania imetangaza rasmi kuwa imefikia makubaliano ya kumsajili Kylian Mbappe kwa mkataba wa miaka mitano.
Mbappe anajiunga na Real Madrid baada ya kucheza PSG kwa miaka 7 toka pale alipojiunga nao 2018 akitokea Monaco kwa uhamisho wa euro milioni 180 ambapo hadi...
Muda mchache ujao, saa 4:00 Dortumd watamenyana na Real Madrid katika dimba la Wembley pale London.
Ni fainal ya Uefa Champions League, karata yako unampa nani? Twende kazi…
⚪⚪ Real Madrid C.F. wameanza kuandaa harusi katika uwanja wao wa Bernabeu kama njia mojawapo ya kukusanya fedha ya kulipa mikopo ya mabilioni ya fedha waliyokopa kwa ajili ya kufadhili ukarabati wa uwanja huo.
•Kwa mujibu wa Mundo Deportivo Klabu ya RealMadrid sasa ina deni kubwa zaidi kuliko...
Muda mchache ujao kutapigwa mechi za robo fainali katika Uefa Champions League.
Arsenal Vs Bayern Munich
Real Madrid Vs Man City
Karata yako unatupia kwa nani?
Klabu ya Real Madrid inadaiwa kuwa inamfuatilia beki wa pembeni wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold (25) ambaye amekuwa tegemeo katika kikosi ch Liverpool tangu Mwaka 2016.
Mkataba wake unatarajiwa kumalizika Mwaka 2025 na inadaiwa mazungumzo ya kuuongeza bado hayajafanyika.
Alexander-Arnold...
Real Madrid thought they had scored a late winner but the referee had already called for full time.
Jude Bellingham gets a red card for his reaction.
Valencia 2 vs Real Madrid 2
Hugo Druro. ⚽ Viniciu jr ⚽⚽
Roman yeremchuk⚽
Nyota wa Real Madrid, Vinicius Junior ametoa pongezi kwa Sevilla kwa kuchukua hatua haraka kumtoa na kumripoti shabiki wake kwa mamlaka kwa madai ya kumtusi kwa ubaguzi wa rangi.
Taarifa ya Sevilla baada ya mchezo baina ya timu hizo uliomalizika kwa sare ya 1-1, imeeleza "Kuna mtu alitambuliwa...
Baada ya Al Ahly kutua airport huku wakionekana wamebeba mapipa makubwa kuelekea mchezo wa dhidi ya Simba, mwandishi mkongwe wa michezo kutoka Clouds Fm, Alex Luambano apigwa na butwaa.
Sijawahi kuwaona Real Madrid wakiwa wamebeba mapipa, sasa hii Al Ahly ambayo ni miongoni mwa timu kubwa...
FEBRUARY 14,2018 kwenye mchezo kati ya Real Madrid na PSG lilitokea tukio ambalo lilileta utata sana na wengi wakibakia na mshangao mkubwa huku likihusisha nguvu za giza (Uchawi).
ILIKUWA ni tukio la penati aliyopiga Cristiano Ronaldo 🇵🇹 kwenye ushindi wa Real Madrid wa goli 3-1 dhidi ya PSG...
Real Madrid na Eden Hazard wamefikia makubaliano ya kuvunja mkataba wa Mchezaji huyo kuanzia Juni 30, 2023 huku akiwa amebakiwa na mwaka mmoja
Hazard aliyejiunga Madrid kutoka Chelsea kwa ada ya Pauni Milioni 150, amekuwa akipata majeraha ya mara kwa mara yaliyomfanya kutofikia kiwango chake...
Ubatizo ni kuzamishwa hadi usionekana, ndicho kilichofanyika kwa Real Madrid, amezamishwa! Ukiwauliza watakuambia huo moto waliobatizwa nao si wa kitoto.
Hongera Man City, ila chonde chjonde usije ukamla ngo'mbe mzima ukashindwa kumalizia mkia!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.